marekani

  1. Jimena

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kwenda kufundisha Kiswahili Marekani

    Habari wana jamvi, Serikali ya Marekani kwa mara nyingine tena imetoa fursa kwa watanzania kwenda kufundisha lugha ya kiswahili nchini Marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja, ukipata nafasi hii basi utaenda kufundisha katika chuo kikuu, Hii ni njia nzuri kwa wale wanaopenda kutoka nje ya...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

    Marekani ambayo kabla kupata uhuru mwaka 1776 , ilitawaliwana Uingereza na wakapata Rais wa kwanza George Washington. Tangu wapate uhuru, haijawahi kutokea Rais yeyote , awe msomi wa chuo, daktari wa hospitali[MD] au wa falsafa phD,au mjuzi wa hesabu [CPA] ambaye amewahi kujinasibu na prefix ya...
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi huko Marekani hawana misosi mingine zaidi ya mikate na jamii ya vyakula vya ngano?

    Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano. So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kulalamika vita vyake na Houth. Yasema haijawahi kupigana vita kama hivyo tangu vita vya pili vya dunia

    Mambo yamekuwa mambo ! Vice Adm. Brad Cooper wa jeshi la wanamaji wa Marekani amesema nchi yake haijawahi kupigana vita vikali vya majini tangu vita vya pili vya dunia kama mwaka huu na wanamgambo wa Houth. Amesema wakirusha kitu na wao wanarushiwa Maneno hayo yamekuja wakati ambapo vikosi vya...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran yazindua mtambo wake wa ulinzi wa anga mfano wa Iron dome na Patriot. Saudia wazidi kununua kachara kutoka Marekani na kukaribisha wanenguaji

    Leo sitaki niseme mengi.Mtajionea wenyewe hapo chini Iran unveils air defence systems as Middle East tensions soar Saudi Arabia signs $3.2B deal for South Korean air defense systems Saudi Arabian GP 2024: 3 international music stars will perform
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani wateka meli ya Iran iliyokuwa inapeleka silaha hatari kwa magaidi wa Houthi

    Us forces seized advanced conventional weapons and other lethal aid from Iran that were bound for Houthi-held areas of Yemen on a vessel in the Arabian Sea on Jan. 28, the US Central Command said in a statement on Thursday. Over 200 packages containing medium-range ballistic missile components...
  7. ward41

    JamiiForums Tanzania Je unajua maziwa makubwa duniani yako Marekani? Na yote yameunganiswa na mifereji

    Kuna propaganda kubwa sana wa Africa IPO miongoni. Tumeaminishwa kwamba utajiri wa marekani unatokana na wizi wa madini Africa bila kujua kwamba marekani kuna kila aina ya malighafi. Wengi wetu ukitaja maziwa makuu, atakwambia ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa. Tumedanganywa sana. Maziwa makubwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Putin angependa kuona Rais Biden (badala ya Trump) akirejea tena madarakani nchini Marekani

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema angependelea urais wa Joe Biden badala ya Donald Trump kabla ya uchaguzi wa Marekani mwezi huu wa Novemba. Bwana Biden alikuwa mtu mwenye uzoefu zaidi, anayeweza kutabirika, alisema kwa maneno ambayo hakika yatainua nyusi. Kabla ya Bw Trump kugombea urais...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zaizuia Marekani kutumia ardhi zao kupigana na Houth huku Erdogan aungana na Elsisi kuionya Israel isiendelee kupiga Rafah

    Nchi kadhaa za kiarabu zimeanza kuingia akili kwa kukataa kuachia Marekani kutumia ardhi zao kuanzisha mashambulizi dhidi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen.Hatua hiyo itaifanya Marekani kushindwa kuwazuia Houth na itakuwa ni msaada wa nchi hizo kwa Palestina. Nchi hizo ni zile ambazo zimekuwa...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu wa kutokea China wajaribu kutumia Mexico kuingia Marekani

    Kila mtu anataka kuzamia Marekani, hata Wachina wambao tunaambiwa jinsi uchumi wao umeboreka..... Chinese migrants flock to U.S.-Mexico border on economic pressures Their encounters with American authorities jumped 10-fold in 2023 People from China and elsewhere who are suspected of illegally...
  11. ward41

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli mtu anaamni Marekani hakuna madini? Africa tujitathmini sana

    Jana nilipost ugunduzi wa madini ya RE-E rare earths nchini marekani Jimbo la Wyoming. Kuna baadhi ya watu walibisha kwamba marekani ni waongo. Hawana hayo madini. Nilijiuliza sana uwezo wa Hawa watu wa kufikiri. Ukubwa wa USA🇺🇸 ni karibia 10 million km2 za mraba. Ina maana ukubwa wa USA ni...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

    $60 billion Ukraine $14 billion for Israel $9 billion Gaza + West bank $4.83 billion Taiwan --- Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific. Meanwhile Biden is putting veterans behind...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Walimu changamkieni hizi fursa za kwenda Marekani: Je, una uzoefu wa kufundisha wa miaka 5 na zaidi?

    Kwa waalimu wenye uzoefu wa kufundisha wa miaka 5 na kuendelea kuna fursa nzuri sana hapa Login » IREX - International Research & Exchanges Board: Fulbright Online Application System. Kama upo interested chukua hatua kuapply na pia unaweza kupata usaidizi kupitia ResearchLink International. Pia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yakiri Urusi kutumia makombora ambayo hawezi kuyadungua

    Experts say the Zircon, if it lives up to what the Russian government says about it, is a formidable weapon. Its hypersonic speed makes it invulnerable to even the best Western missile defenses, like the Patriot, according to the United States-based Missile Defense Advocacy Alliance (MDAA)...
  15. ward41

    JamiiForums Tanzania Marekani wamegundua 2.3 billion tons madini aina ya rare earths

    Jimbo LA Wyoming nchini Marekani wamegundua madini ya aina ya rare earths. Haya madini ni ya kimkakati sana katika tasnia ya sayansi na technology. Ugunduzi wa 2.3 billion tons unaifanya Marekani kuwa na reserve kubwa sana ya aina hii ya madini. Rare earth ni madini yanayotumika kwenye...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Marekani kuondoka Iraq na Syria ndani ya siku 90

    Wanaukumbi. Marekani kuondoka Iraq na Syria ndani ya siku 90 Marekani inajiandaa kuondoa vikosi vyake vyote au sehemu yake kutoka Iraq na Syria ili kukabiliana na ongezeko la mashambulizi ya vikosi vya upinzani vya Iraq, kwa mujibu wa maafisa wakuu wa Marekani. Bunge la Iraq kwa sasa...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Lissu: Watoto wangu wana uraia wa Marekani, mbona Makonda kama ana Wivu

    Akifanya mahojiano na Mwanahalisi, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amejibu maswali kuhusu uraia wa watoto wake na pia kufunga ndoa na Mzungu. Akijibu maswali hayo, Tundu Lissu amesema watoto wake ni Raia wa Marekani kwa kuzaliwa, na pia kuhusu kuoa yeye alimsikia Makonda "Makonda...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

    Kwa kweli kiaina hata mimi nimeanza kupata kaukakasi fulani, jameni mpaka sasa sidhani kama kuna yeyote hajapata adabu yake pale Gaza, hata hao HAMAS kama kuna siku nyingine wataichokoza Israel nitawakubali kweli ni ving'ang'anizi. Watu wa Gaza wameteseka vya kutosha, wamepigika na kubamizwa...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani wamuua kamanda wa Kataib Hezbollah

    Kawahishwa kwa mabikira, ni mojawapo wa makundi yanayofadhiliwa na Iran. =========== A commander from Kataib Hezbollah, an Iran-backed armed group in Iraq that the Pentagon has blamed for attacking its troops, was killed in a US strike on Wednesday, the US military said. "(US) forces...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Houthi wa Yemen walishambulia meli nne za kivita za Marekani katika Bahari Nyekundu

    Wanakumbi. Waasi wa Houthi wa Yemen walishambulia meli nne za kivita za Marekani katika Bahari Nyekundu katika muda wa saa 24 zilizopita Ndege ya Jeshi la Wanamaji la Uingereza HMS Diamond iliripotiwa kuharibiwa vibaya. Ingawa Uingereza inakanusha uharibifu wowote, meli iliondolewa kutoka eneo...
Back
Top Bottom