marekani

  1. L

    Marekani yatambua kuwa bila mawasiliano na China ni vigumu kufanikisha utatuzi wa changamoto zinazoikabili dunia

    Muda mfupi baada ya mkutano kati ya Rais Xi Jinping na Rais Joe Biden wa China kukutana na kufanya mazungumzo mjini San Francisco nchini Marekani wachambuzi na wadau mbalimbali wa mambo ya siasa na uchumi wamekuwa wakitafsiri umuhimu wa mkutano kati ya viongozi hao wawili, na matokeo yake kwa...
  2. UMUGHAKA

    Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!. Hili Taifa la...
  3. Webabu

    Saudia na Marekani wanaisaidia Israel kuua watoto na kuiangamiza Palestina

    Yako mataifa kadhaa ya kiarabu na mataifa ya kiislamau ambayo yameonekana kufanya uzembe katika vita vya Gaza.Hata hivyo taifa la Saudia linaongoza kwa kusaidiana na Marekani kuipa nguvu Israel iue na kuangamiza mpango wa kuundwa kwa taifa la Palestina. Iran iliahidi mstari mwekundu ukivukwa...
  4. Erythrocyte

    Hii Challenge Coin aliyopewa Sugu na Balozi wa Marekani ina maana gani?

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN. Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
  5. F

    Rais Samia awe makini asije akatuletea "Sabaya" mwingine. Je, ni kwanini CCM wanamtumia Makonda hata baada ya kupigwa ban na Marekani?

    Mpaka sasa wenye uelewa wa kawaida tu wanafahamu ni nini mama Samia anakiandaa kwa siku zijazo hususani 2025. Mama na CCM wanajua fika kuwa bila rafu mambo yatakuwa magumu sana 2025. Kila wakati historia imeonesha kuwa pamoja na CCM kuwa madarakani na kujinasibu kama chama makini na kujiuza kwa...
  6. L

    Umuhimu wa ushirikiano kati ya China na Marekani wazidi kuonekana kwenye mkutano kati ya Rais Xi nchini Marekani

    Rais Xi Jinping wa China na mwenyeji wake Joe Biden wamekutana na kufanya mazungumzo ya ana kwa ana yaliyokuwa yanasubiriwa kwa muda mrefu na wadau wengi wa mambo ya uchumi na siasa. Kwenye mkutano huo Rais Xi amemwambia Rais Biden kuwa dunia ni kubwa na ina nafasi ya kutosha kwa nchi hizo mbili...
  7. L

    Rais wa Marekani apaswa kuafikiana na Rais wa China ili mkutano wao upate matokeo ya kunufaishana

    Rais wa China Xi Jinping amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani Joe Biden kabla ya Mkutano wa Viongozi wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasific (APEC) wa mwaka huu, ambayo yamefuatiliwa sana na jamii ya kimataifa.. Mazungumzo yao yanfanyika kwa wakati sahihi kwa upande wa...
  8. L

    Mkutano unaotarajiwa kufanyika kati ya marais wa China na Marekani unasubiriwa kwa hamu duniani

    Rais Xi Jinping wa China anatarajiwa kufanya ziara nchini Marekani kati ya Novemba 14-17 ambalo atakuwa na mkutano na mwenzake wa Marekani na pia kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi la Asia-Pasific (APEC). Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Rais Xi kufanya ziara nchini...
  9. Erythrocyte

    Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo. Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala...
  10. L

    Marekani inapaswa kukutana na China njiani ili kutafuta jinsi ya kuelewana

    Tarehe 15, Novemba kwa saa za Marekani, dunia nzima inaelekeza macho Philori Manor mjini San Francisco, ambapo Rais Xi Jinping wa China alialikwa na kuwa na mkutano wa saa nne na rais Joe Biden wa Marekani. Huu ni mkutano mwingine wa ana kwa ana kati ya wakuu wa nchi hizo mbili mwaka mmoja baada...
  11. L

    China na Marekani zaafikiana kuhusu suala ya hali ya hewa

    China na Marekani zimefikia makubaliano kuhusu suala la mabadiliko ya tabianchi, na kuleta msukumo mpya katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na changamoto hiyo. Baada ya duru mbili za mazungumzo, China na Marekani huko California zimetoa taarifa ya pamoja ya kuhusu kuimarisha ushirikiano...
  12. Ritz

    HABARI HII: Taarifa za Mabadilishano ya Wafungwa wa Hamas ya Israel na Marekani

    Wanaukumbi. It is important to note that there is an alleged Israeli media blackout surrounding the exact details of the exchange. However, some sources are publishing indications that suggest there is an alignment on a potential prisoner exchange, and it is getting closer: - Netanyahu's...
  13. MK254

    Umati wa watu takriban 300,000 waandamana mji wa Marekani kuunga Israel mikono

    Israel kamatia hapo tu... Hauwezi kuiondoa Israeli kwenye ramani ya dunia, amini usiamini itakupa tabu...Bahati Bukuku https://www.youtube.com/watch?v=vbRCT38Y-Gs Nearly 300,000 people rallied in Washington on Tuesday at the March for Israel, calling for the release of the hostages held by...
  14. Kingsmann

    Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

    Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB. Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi...
  15. comte

    Marekani hata mjukuu wa Rais analindwa na ulinzi mkali

    Halafu watu wazima wanasema hana mamlaka makubwa --- Secret Service agents protecting Biden's granddaughter open fire when 3 people try to break into SUV Secret Service agents protecting President Joe Biden’s granddaughter opened fire after three people tried to break into an unmarked Secret...
  16. Webabu

    Meli za kivita za Marekani zaingia kwenye 18 za Hizbullah, Askari watano waangamia

    Sayyed Hassan Nasrala katika hotuba yake wiki iliyopita aliionya Marekani kutokana na uungaji wake mkono maafa kwa wapalestina akiiambia kuwa tayari wana kitu mkononi kwa meli zake za kivita zilizotia nanga karibu na nchi hiyo. Kitu hicho kizito inaaminika ni aina ya makombora mazito ya...
  17. NostradamusEstrademe

    Israel - Marekani: Ipi siri ya uhusiano wao usiochuja?

    Siku chache tu baada ya shambulio la Hamas tarehe 7 Oktoba, Rais wa Marekani Joe Biden alifika Tel Aviv na kueleza mshikamano wa Marekani na Israel. Aliwaita Hamas ni 'mashetani' na kusema Marekani iko pamoja na Israel katika kila hali na itapata kila msaada. Mwanzoni mwa mwezi Novemba, Bunge...
  18. GoldDhahabu

    Marekani inanufaikaje na misaada inayoipatia nchi maskini?

    Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika! Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba. Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa misaada. Nini sababu ya Marekani kuzisaidia nchi zingine wakati kuna raia wake wanaohitaji...
  19. L

    Mpango wa Marekani kuiondoa China kwenye sekta ya madini barani Afrika ni hatari kwa maendeleo ya Afrika

    Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia duniani, hasa kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za madini adimu zinazotumika kwenye sekta za utengenezaji wa magari yanayotumia umeme na vifaa mbalimbali vya kuvuna nishati ya jua. Afrika, bara lenye utajiri mkubwa wa madini hayo limerudi tena...
  20. FaizaFoxy

    Kishindo kikubwa Houston Marekani

    Baadhi ya wakazi wa Houston alfajiri ya leo 9/11.2023 wametaharuki kwa kuamshwa na kishindo kikubwa kilichofatiwa na moshi mkubwa kilichotokea kwenye kiwanda kimoja cha makemikali. Kishindo na moshi kilisikika na kuonekana karibia Houston yote. Haijajulikana kishindo hicho kimeababbishwa na...
Back
Top Bottom