marekani

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Louisiana: Serikali yaamuru amri kumi za Mungu kubandikwa madarasani Marekani

    Louisiana imekuwa jimbo la kwanza nchini Marekani kutaka kila darasa la shule za serikali, kuanzia msingi hadi chuo kikuu kubandika Amri Kumi za Mungu ukutani. Hatua hiyo iliyochochewa na chama cha Republican na kutiwa saini kuwa sheria na Gavana wa jimbo hilo Jeff Landry (pichani) siku ya...
  2. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Marekani imelaumu Vietnam kumpokea Putin na kusaini ushirikiano

    Marekani siku za hivi karibuni imekua kama mbwa koko kwa kulia lia kila mahala huku asiamini kinachoendelea baada kuzoea kutawala Dunia bila upinzani kwa miongo kadhaa, sasa ivi anaendeshwa kama gari bovu hana uwezo wa kutoa amri tena zaidi ya kubwekea bandani.. 😅😅 US condemns Vietnam for...
  3. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Marekani yataka kupunguza utegemezi wa vifaa vyake vya kijeshi kutoka China

    China kwa sasa ni mzalishaji mkubwa wa vifaa vingi muhimu na vya hali ya juu vinavyoweza kutumika kutengeneza silaha za hali ya juu zaidi. China ina uwezo mkubwa katika critical technologies na Military supply-chain management. Critical technology: technology ambayo inawawezesha kutengeneza...
  4. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Kendrick Lamar aisimamisha Marekani na tamasha lake la POP OUT CONCERT

    Masaa kadhaa yaliyopita Kendrick Lamar ametoka kufanya show ya kibabe sana kwenye viunga vya Los Angeles California. Show hiyo ilipachikwa jina la POP OUT - KENNY AND FRIENDS CONCERT. Mastaa kibao wamehudhuria show hiyo. Jambo lililosisimua watu zaidi ni pale Kendrick alipotumbuiza ngoma ya Not...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni nadra sana kusikia tuhuma za rushwa kwa Rais au waziri Marekani?

    Hivi Marais na mawaziri wa Marekani huwa hawajihusishi na vitendo vya rushwa wakiwa madarakani au wanafanya kijanja sana? Huwa nasikia viongozi hawa wakitajwa kwenye skendo mbalimbali lakini ni nadra sana na sijawahi kusikia kabisa Rais au waziri Marekani anatuhumiwa kwa rushwa zinazohusu pesa...
  6. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Netanyahu aulalamikia Utawala wa Biden kwa kuchelewesha kutuma msaada wa silaha za kivita

    Jamaa bila aibu ameanza kulialia kwenye media kama mwenzake Zelensky akiilalamikia marekani kuchelewesha kutuma silaha za kivita israeli. Hakika mazayuni ni mazayuni. ======== Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu slammed the Biden administration for withholding military aid in a video...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yammiminia Sifa na pongezi Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa Anaendelea kukonga na kukosha mioyo ya watu mbalimbali na mataifa mbalimbali, kutokana na uchapakazi wake pamoja na mapinduzi na mabadiliko mbalimbali ambayo amayaleta katika Secta na maeneo mbalimbali,ambapo yameleta nuru na mwanga katika Taifa letu...
  8. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Yemen wameiangusha ndege ya Marekani ya F-22?

    Kama hizi habari zitathibitishwa itakua ni pigo kubwa mno kwa mabeberu nimequoute kutoka kwenye source muhimu za habari URGENT: Initial reports indicate that the Yemeni Armed Forces have successfully downed an American F-22 fighter jet in the skies over Al Hudaydah Update: Yemen Houthis forces...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Je Marekani itabadili mtazamo wake baada ya mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu akili bandia kati ya Marekani na China

    Matumizi ya Akili Bandia (AI) yanatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani katika siku za usoni. Ushindani wa matumizi haya ya teknolojia umeifanya Marekani ianze kudhibiti mauzo ya nje kwenye chip za hali ya juu, na kuiondolea uwezo China wa kupata chip za hali ya juu...
  10. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Rais Biden ashauriwa kutogombea uraisi wa Marekani, sababu analiaibisha na kulivua nguo taifa lake

    Niaje waungwana, Kusema ukweli kwa hali aliyofikia raisi wa Marekani mhe. Joe Biden, ni vizuri akashauriwa au akajishauri mwenyewe kuacha kugombea uraisi wa Marekani ili apate muda wa kwenda kupumzika nyumbani kwake na wajukuu zake. Ikiwa ataruhusiwa kuendelea kugombea na pengine akashinda...
  11. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Marekani iko nyuma sana kwa China katika nishati ya nyuklia

    Hapa hatuzungumzii mabomu ya nyuklia, tunazungumzia matumizi ya amani ya nyuklia yaani kuzalisha nishati. Kiteknolojia Marekani iko nyuma ya China kwa miaka 10 hadi 15 katika nishati ya nyuklia kwa sasa. Kwa nini? China wamekuja na teknolojia mpya (innovation) ya kwanza duniani iitwayo...
  12. ward41

    JamiiForums Tanzania Defense budget ya Marekani ni kubwa sana

    Marekani wamejizatiti Sana na waki serious. Unachanganya nchi tano kubwa, bado jamaa wako juu.
  13. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Unamjua Mfanyakazi wa ndani (Jane 36) huko Marekani aliyeiba manii ya boss wake kwenye pipa la taka na kujipandikizia mimba na kudai huduma za mtoto?

    Mungu amewaumba wanawake kutokana na sisi na inapaswa kuishi nao kwa makini sana kwani wao ni wepesi kushawishika ingawaje wanaakili nyingi Huko marekani katika viunga vya Los angels mwanadada Jane 36 aliyejipatia utajiri kwa kuiba manii ya boss kutoka kwenye pipa la taka na kujipandikizia...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ukuu wa Dollar ya Marekani umefika mwisho?

    Short story. Nguvu ya Marekani ipo kwenye dollar yake anbayo ndiyo "sarafu ya dunia." Moja ya sababu inayofanya dollar iendelee kuwa sarafu ya dunia ni kutumika kwake kufanyia biashara ya mafuta. Biashara yenye pesa nyingi zaidi duniani. Mwaka 1974 Marekani na Saudi Arabia(Akiwa mzalishaji...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Akili Mnemba haipaswi kuwa chombo kipya kwa Marekani kuchochea "mashindano ya mataifa makubwa" barani Afrika

    "Mustakabali wa akili bandia barani Afrika ni upi?" Wakati swali hili linaingizwa kwenye majukwaa kadhaa ya akili bandia mitandaoni, jibu lake huwa ni: "mustakabali wa akili bandia barani Afrika umejaa fursa… utaonesha nafasi muhimu katika sekta mbalimbali kama vile huduma za afya, kilimo na...
  16. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Marekani nayo yatuma Nyambizi Guantanamo bay Cuba

    Kwa hofu ya kupewa kipigo cha mbwa mwizi Marekani imejitutumua kukwepa aibu na kutuma Nyambizi Guantanamo bay #BREAKING – 🚨🇺🇸⚡The US sends an attack submarine, USS Helena (SSN-725) to Guantanamo Bay, Cuba, while Russian Nuclear-powered submarine Kazan is in Havana.
  17. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Hofu imetanda, Marekani imedeploy ndege wanajeshi Miami Beach

    Baada ya Urusi kupeleka Nyambizi na Meli za Kivita Marekani wameingiwa na uwoga na kuamua kupeleka ndege za Kivita Miami na zinashinda hewani ziki zunguka kwa hofu 🤣🤣🤣🤣🤣 #BREAKING -🚨⚡🇺🇸 The deployment of US navy in Miami due to Russian Warships, 6/12
  18. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marekani huenda ikaiwekea China vikwazo kutokana na teknolojia ya kuponya ugonjwa wa kisukari

    Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia mpya ya kutibu ugonjwa wa kisukari. Timu ya wataalam kutoka Hospitali ya Changzheng ya Shanghai...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwa msaada wa Marekani mateka wanne waokolewa,wanne wafa katika purukushani za uokoaji pamoja na raia 274

    Israel inaposhangilia kuokolewa kwa mateka 4 huku 4 wengine wakishindikana na kufa pamoja na raia 274 ni tangazo la kusema vita dhidi ya Hamas ni vigumu mno. Mateka hao wamepatikana kwa msaada wa askari wa Marekani waliopo Gaza na wenzao wa kiyahudi waliojifanya kama wahamiaji kutoka Rafah...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani Tanzania ina Majaji 31 wakati Supreme court ya Marekani ina majaji 9 tu. Tutaendelea kukopa madeni kwa sana!

    Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha. Utangulizi Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022. Tanzania ina wananchi wapatao Milioni 65+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022. Wakati Marekani ina idadi ya...
Back
Top Bottom