Wakuu, wakati nakuja Marekani nilihakikishiwa uwepo wa watu wengi kusapoti afya ya akili. Kimsingi wameweka misingi mingi mizuri kwamba ukijiona hauko sawa unawacheki wakuweke sawa. Sijawahi kuwa mbali na nyumbani kiasi hiki nimetembea nchi za Afrika, hii ni mara yangu ya kwanza kuwa Marekani...