marekani

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Brazil na Marekani zilivyoficha Siri ujio wa Aliens

    Tukio La Varginha (Roswell ya Brazil). Tarehe 13 Januari 1996 Komandi Ya Anga Ya Anga Ya Amerika Kaskazini (NORAD) ilitoa tahadhari kwa majeshi ya Brazil, kwamba kuna kitu kisichotambuliwa (UFO) kilomita 300 katika anga la mji wa Sao Paulo. Wakati jeshi la Brazil linaanza kuchukua hatua...
  2. JamiiForums Tanzania Rasmi: Marekani yaruhusu Silaha zake kutumika ndani ya Urusi popote pale

    Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
  3. JamiiForums Tanzania Car experts, hii ni gari aina gani na tolel la mwaka gani?

  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Zuio la kusafiri Marekani lilikuja sababu ya kupinga masuala ya ushoga

    Wakuu, Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu. Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha...
  5. JamiiForums Tanzania QUINCY JONES; Panyaroad Wa Chicago Aliyeitawala Dunia Kimuziki

    Katikati ya mdororo wa uchumi, anguko la viwanda lililosababisha Great Depression. Biashara za magendo zikitawala, Magenge ya kimafia yakiwa fasheni ya mitaa. Ni wakati huo alizaliwa mtoto. Chicago, Illinois, ngome kuu ya maharamia wa Chicago Outfit, chini ya underworld chief, Al Capone a.k.a...
  6. JamiiForums Tanzania Angalia umri wa afisa mpya wa mawasiliano/habari wa ikulu ya Marekani (White House) pamoja na elimu yake! Njoo bongo!

    Trump amemchagua afisa habari wa ikulu ya Marekani kwa muhula mpya unaokuja. Ni afisa kijana na siyo mara ya kwanza kwa nafasi yake! Angalia umri wake pamoja na elimu yake, hatishi sana kielimu (mtazamo finyu wa watanzania). Unahisi nini kimembeba?? Pamoja na uzoefu wake akiwa ikulu plus...
  7. JamiiForums Tanzania Urusi yaiwekea Marekani vikwazo vya kuagiza Uranium

    Serikali ya Urusi imeiwekea Marekani Vikwazo vya kununua Uranium toka Urusi. Urusi imeweka vikwazo kwenye uagizaji wa uranium iliyotajwa kwenda Marekani, serikali ilisema Ijumaa, jambo linaloweza kuleta hatari za upungufu kwa mimea ya nishati ya nyuklia ya Marekani, ambayo mwaka jana iliagiza...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Salam kutoka Marekani: Mkisikia nimerudi bila damu ni kwa sababu ya masuala kama haya

    Sijawahi kutoa damu ila kwa hii hela mimi niogope kutoa damu iliweje. Fikiria ukitoa damu unapata dola 10. Nikitoa mara kumi nakuwa na dola 100. Sasa chukua dola mia, nikienda kumuua Yanga akicheza na Tabora hiyo hela itakuwa sh ngapi? Haya bado pia hapo nakuwa nimeingia kwenye bahati ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mafuru, alivyoinusuru nchi na changamoto ya uhaba wa Dola ya Marekani

    Kifo cha Mafuru kimeibua mambo mengi kwa kweli kwenye eneo la uchumi. Huyu Mzee alifanya yake kwenye kipindi cha changamoto wa upatikanaji wa dola. Pumzika kwa amani Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza namna, Lawrence Mafuru, alivyoinusuru nchi na changamoto ya uhaba wa Dola ya Marekani hatua...
  10. JamiiForums Tanzania Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

    Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe. Musk says his dream of...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya ushindi wa Trump hii ndio namna nyepesi ya kufika Marekani

    Nawapa hii mbinu wala msinishukuru. Kuja kwa Turampu ni vere ize. Angalia video below.
  12. JamiiForums Tanzania Trump amteua Matt Gaetz ambaye alikuwa ana kesi ya udhalilishaji wa kingono kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani

    Donald Trump ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kumteua Matt Gaetz, mmoja wa wafuasi wake chawa aliye chini ya uchunguzi wa kufanya ngono na msichana wa miaka 17 pamoja na kutumia dawa za kulevya kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani. Wamarekani mbalimbali kutoka pande zote za Democrats na...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi wa zaidi ya tani 2,000,000,000 za madini adimu ya Dunia yaliyopatikana Marekani unaweza kuifanya nchi hiyo kuwa 'kiongozi mpya wa dunia'

    Inaweza kubadilisha mustakabali wa utengenezaji wa bidhaa nchini Marekani. Kufuatia uchaguzi uliomalizika, bilionea Elon Musk amekuwa akionya kuwa uchumi wa Marekani unaelekea kufilisika na kumtaka Rais Donald Trump kuzingatia Bitcoin kama suluhu la deni linalozidi kuongezeka nchini humo...
  14. JamiiForums Tanzania Trump amteua Elon Musk kusimamia Idara Mpya ya kuondoa Urasimu na Kuhakiki Utendaji wa Serikali

    Rais mteule wa US Donald Trump amemteua Elon Musk kuongoza Idara mpya ya Ufanisi wa Serikali (Doge) kwaajili ya utawala wake ujao. Alitangaza kwamba Vivek Ramaswamy, mwekezaji wa kibayoteki, atafanya kazi na mwanzilishi wa Tesla kwenye mradi wa "kuondoa" urasimu Serikalini US President-elect...
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Nchini Kenya ajiuzulu

    Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ametangaza kujiuzulu tarehe 13 Novemba 2024. Kulingana na taarifa aliyoitoa leo amedai kuwa ameshawasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa aliyekuwa rais wa Marekani Joe Biden na kutotaja sababu ya kujiuzulu kwake. Meg Whitman, amedumu kama balozi...
  16. JamiiForums Tanzania Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani (Marekani ni Taifa la Mungu)

    Rais wa Marekani anaye tarajiwa kuapishwa, Donald Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani. https://youtu.be/R9Nh6v8ivh0?si=i4su5eN3M7E2k_kA
  17. JamiiForums Tanzania Kazi nzito Trump aliyonayo

    Kati ya kazi nzito bwana Donald Trump alizo nazo ukiondoa changamoto za ndani ni kupambana na haya mataifa yanayo tishia usalama wa marekani kwa miaka mingi ijayo. Moja kati ya kazi tukufu uliofanya utawala wa Democrats wa bwana Biden ni kuwaweka karibu zaidi maadui wa marekani. DT kazi ya...
  18. JamiiForums Tanzania "In God We Trust" msingi wa Taifa la Marekani

    Waasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure. Hilo taifa lilikuwa na misingi ya Kilokole. Viongozi hawa walikuwa Wacha Mungu Sana. Kutokana na hilo...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Marekani kuna wizi wa kura, vitambulisho haviruhusiwi kupiga kura kwenye majimbo ya Democrats, Ni Majimbo pekee aliyoshindwa Trump.

    hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
  20. JamiiForums Tanzania Iran wasema hawakuwa na mpango wa kumuua Rais mteule wa Marekani Donald Trump

    Iran imekanusha madai ya Wizara ya Sheria ya Marekani kuwa ilikuwa na mipango ya kumuua Rais mteule wa Marekani, Donald Trump. Taarifa ya Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, imesema madai hayo hayana msingi wowote na kwamba kauli hiyo ina nia ya kusambaratisha zaidi mahusiano kati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…