TikTok imetangaza kusitisha rasmi shughuli zake nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,698
4,527
Kampuni ya TikTok imetangaza kwamba itasitisha rasmi shughuli zake nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025, iwapo Mahakama Kuu haitasitisha au kuchelewesha sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok, kuuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani.

Soma: TikTok yapewa muda hadi Januari 19, 2025 iwe imeuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani au ifungiwe
IMG_2428.jpeg
Sheria hiyo, iliyopitishwa Aprili 2024, inadai kuwa kuna wasiwasi wa kiusalama wa kitaifa, suala ambalo Mahakama Kuu itatathmini ili kuamua kama lina uzito zaidi kuliko uhuru wa kujieleza.

TikTok imesisitiza kwamba haitauza kampuni hiyo kwa sasa, na itafungwa rasmi iwapo sheria hiyo haitapingwa au kucheleweshwa.

==

TikTok says it plans to shut down the social media site in the U.S. by Jan. 19 unless the Supreme Court strikes down or otherwise delays the effective date of a law aimed at forcing TikTok's sale by its Chinese parent company.

In one of the most important cases of the social media age, free speech and national security collide at the Supreme Court on Friday in arguments over the fate of TikTok, a wildly popular digital platform that roughly half the people in the United States use for entertainment and information.

Working on a tight deadline, the justices also have before them a plea from President-elect Donald Trump, who has dropped his earlier support for a ban, to give him and his new administration time to reach a "political resolution" and avoid deciding the case. It's unclear if the court will take the Republican president-elect's views — a highly unusual attempt to influence a case — into account.

TikTok and China-based ByteDance, as well as content creators and users, argue the law is a dramatic violation of the Constitution's free speech guarantee.

"Rarely if ever has the court confronted a free-speech case that matters to so many people," lawyers for the users and content creators wrote. Content creators are anxiously awaiting a decision that could upend their livelihoods and are eyeing other platforms.

The case represents another example of the court being asked to rule about a medium with which the justices have acknowledged they have little familiarity or expertise, though they often weigh in on meaty issues involving restrictions on speech.

The Biden administration, defending the law that President Joe Biden signed in April after it was approved by wide bipartisan majorities in Congress, contends that "no one can seriously dispute that (China's) control of TikTok through ByteDancerepresents a grave threat to national security."

Officials say Chinese authorities can compel ByteDance to hand over information on TikTok's U.S. patrons or use the platform to spread or suppress information.

Source: CBS NEWS
 
Soko kubwa zaidi la TikTok ni Indonesia, pamoja na nchi zingine za Asia na Latin America n.k na kwa ujumla huko kuna watumiaji wengi kuliko watumiaji wa Marekani.
20250110_090558.png

Hakuna sababu ya TikTok kuuzwa kwa Mmarekani wakati inaweza kuendelea kutengeneza pesa nyingi kutoka mataifa mengine duniani

Marekani inajaribu kwa ufanisi kuiba mtandao mkubwa pekee wa kijamii ambao haumiliki

Na hii ni kwa sababu TikTok imeizidi mitandao yote ya kijamii ya Marekani katika AI Algorithm na e-commerce tech

Ndio maana Marekani wanasema ikiwa wanataka TikTok iendelee Marekani basi OS source code iwe chini ya control ya Marekani

Mchina hajawahi kuwa kibaraka wa Marekani wala kuwa U.S vassal state yeye huwa anaenda naye kibabe, ni wazi inapambania kulinda kampuni zake

Ni sawa na leo China ikaiambia Tesla Shanghai, ambayo ni biashara kubwa nchini China: Mtuuzie kampuni au tunawapiga marufuku, pathetic
!
 
Duh aiseee sa itakuwaje kwa wale influencers wa marekani kuturingishia life styles zao
 
Hao wavimba macho ngoja wafukuzwe tu na wenyewe walizifungia mitandao ya kijamii ya Marekani kama Facebook, Twitter, Instagram, U-tube nk sasa wanafikiri wengine ni wajinga.
 
Hao wavimba macho ngoja wafukuzwe tu na wenyewe walizifungia mitandao ya kijamii ya Marekani kama Facebook, Twitter, Instagram, U-tube nk sasa wanafikiri wengine ni wajinga.
Wachina hawajawahi kuzuia mitandao ya Marekani
 
Soko kubwa zaidi la TikTok ni Indonesia, pamoja na nchi zingine za Asia na Latin America n.k na kwa ujumla huko kuna watumiaji wengi kuliko watumiaji wa Marekani.
View attachment 3197176

Hakuna sababu ya TikTok kuuzwa kwa Mmarekani wakati inaweza kuendelea kutengeneza pesa nyingi kutoka mataifa mengine duniani

Marekani inajaribu kwa ufanisi kuiba mtandao mkubwa pekee wa kijamii ambao haumiliki

Na hii ni kwa sababu TikTok imeizidi mitandao yote ya kijamii ya Marekani katika AI Algorithm na e-commerce tech

Ndio maana Marekani wanasema ikiwa wanataka TikTok iendelee Marekani basi OS source code iwe chini ya control ya Marekani

Mchina hajawahi kuwa kibaraka wa Marekani wala kuwa U.S vassal state yeye huwa anaenda naye kibabe, ni wazi inapambania kulinda kampuni zake

Ni sawa na leo China ikaiambia Tesla Shanghai, ambayo ni biashara kubwa nchini China: Mtuuzie kampuni au tunawapiga marufuku, pathetic
!
Kaka ulichotoa mfano ndio itakavyokuwa mchina sio mjinga ukimpiga apa nayeye kashajua Seem muimu anakupiga Mchina yupo kimaesabu sana ndio mana uko marekani wanafanya kabla ya iyo 19 /1/2025 date ya mwisho uwa wanaongeza muda mwengine wanadai kutoa nafasi zaid za majadiliano lkn ukweli marakani ndio wenye Off sababu inaonekana kama China anataka kuitumia iyo kama Sababu nayeye apige kwenye mshono!! Mana mchina na iyo kampuni ya TIKTOK awaonekani kuwa nawasiwasi wowote!!!!!
 
Huo ndio ukweli, machina ni bogus kabisa. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Tupa hiyo takataka ya TikTok huko mbali kabisa.
Westerners ndio bogus walikuwa wanahuhiri kuhusu soko huria na competition ya kibiashara wanazidiwa wanakimbilia tariffs na sanctions
 
Westerners ndio bogus walikuwa wanahuhiri kuhusu soko huria na competition ya kibiashara wanazidiwa wanakimbilia tariffs na sanctions
China ndio alianza kupiga marufuku mitandao ya kijamii ya Marekani na hilo halina ubishi na anayebisha ni kwa ajili ya bangi ya dini tu.
 
Back
Top Bottom