marekani

  1. JamiiForums Tanzania SADC na Marekani kuanzisha jukwaa la majadiliano

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa la Majadiliano kati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Serikali ya Marekani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazotambua Taifa la Palestine, Marekani ikiwa imejitenga kidiplomasia

    Idadi ya nchi zinazotangaza kutambua taifa la Palestina inaendelea kuongezeka, ambapo zaidi ya mataifa 145 sasa yanatoa wito wa kutambuliwa kwake kimataifa Nchi nyingi zilizotambua taifa la Palestina zilifanya hivyo mwaka 1988, baada ya Baraza la Kitaifa la Palestina kutangaza rasmi kuanzishwa...
  3. JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV aongoza kuwa mtu anayependwa zaidi Marekani

  4. JamiiForums Tanzania Elon Musk awa kinara wa kura za maoni za mtu aneyechukiwa zaidi Marekani

    According to Gallup's latest poll, several current and former Trump administration officials have also seen plunging favorability ratings, including secretary of state Marco Rubio, and president Trump himself, setting the stage for a whirlwind midterm election next year. Trump has since tried...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mtanzania, Subiro Mwapinga akabiliwa na Mashtaka Marekani kwa Mipango ya kusambaza Silaha za Kijeshi kwa genge la biashara ya Dawa za Kulevya

    Raia mmoja wa Tanzania ametajwa miongoni mwa watuhumiwa wanne wa kigeni wanaodaiwa kupanga kusambaza silaha za kijeshi zenye thamani ya dola milioni 58 sawa na Sh145 bilioni fedha za kitanznia kwa moja ya magenge hatari zaidi ya biashara ya dawa za kulevya duniani Subiro Osmund Mwapinga...
  6. JamiiForums Tanzania Hii kweli ni New York ya Marekani ?

    Nimeona mtandaoni watu wakiijadili hii picha wakisema ni New York ya U.S.A! Mbona hapa ni kama Mbagala au Karume tu?!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mzozo Mkali unaoendelea kati ya Marekani na Venezuela

    Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
  8. JamiiForums Tanzania Ulanguzi wa Silaha: Serkali ya Marekani imemfungulia kesi Mtanzania Subiro Osmand Mwapinga kwa ulanguzi wa silaha kwa makundi ya ugaidi na uasi dunia

    BBC News, Swahili Ruka hadi maelezo Yaliyomo HabariMichezoMakalaAfyaBurudaniVideoVipindi vya Redio Moja kwa moja, Israel yaua mwanahabari mashuhuri wa Al Jazeera na wenzake 4 katika shambulio lililoelekezwa Gaza Shirika hilo la habari lashutumu vikali ''ushambulizi dhidi ya uhuru wa vyombi vya...
  9. JamiiForums Tanzania Deni la marekani lafikia dollar trilion 37, wachunge sana marekani isije ikauzwa!

    Deni la Marekani Limefikia Zaidi ya Dola Trilioni 37 kwa Mara ya Kwanza Maishani Hapa ikiwa na maana kwamba Deni limekua kubwa mara dufu kuliko Uchumi wao wa Dolla T 30. Unaweza jifunza jambo hapa kwamba Unacho tangaziwa kuhusu Uchumi wa Marekani si halisia, Ni ajabu kwa taifa kama la Marekani...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani kutoza rai wa Malawi na Zambia takriban dola 5,000 hadi 15,000 kuingia Marekani

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza kwamba raia wa Zambia na Malawi watatakiwa kulipia dhamana ya dola za Kimarekani 5000 hadi 15,000 (USD5,000 - 15,000) ili kuruhusiwa kuingia nchini Marekani kwa vibali (VISA) vya biashara au utalii. Utekelezaji wa Uamuzi huo utaanza rasmi Agosti 20...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatuachani na China! Ruto aijibu Marekani

    Rais wa Kenya, William Ruto, amejibu hatua ya Marekani ya kutaka kupitia tena hadhi ya nchi yake ya mshirika mkuu asiye mwanachama wa NATO, akisema kuwa machaguo yake ya sera za masuala ya mambo ya nje yanazingatia kile ambacho kinafaa zaidi kwa Kenya. Akizungumza na sekta za kibinafsi, Ruto...
  12. JamiiForums Tanzania Raia wa Zambia na Malawi watatakiwa ku-deposit 15000 USD kabla ya kupewa VISA

    Sheria mpya kutoka uhamiaji Marekani inawataka raia wa Zambia na Malawi wanaotaka kwenda Marekani kwa kutembea ama kibiashara ku deposit kwanza kiasi cha dollars za marekani elfu 15 kabla ya kupewa Visa ya mwaka mmoja. Baada ya Visa kukaribia kuisha wanatakiwa kuondoka Marekani na kurudishiwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania China yaipiga nyundo Marekani

    Baada ya siku mbili za mazungumzo jijini Stockholm, pande zote zilionyesha nia ya kusuluhisha tofauti zao lakini msimamo wa Washington wa kuitaka China kusitisha biashara hiyo ya nishati bado ni kikwazo kikuu. Msimamo wa China wa kukataa shinikizo hilo unaangazia jinsi Beijing inavyolipa...
  14. JamiiForums Tanzania Mazungumzo ni njia pekee ya kutatua mgogoro wa kibiashara kati ya China na Marekani

    China na Marekani hivi karibuni zilifanya duru mpya ya mazungumzo ya kiuchumi na kibiashara huko Stockholm, nchini Sweden, ambapo pande hizo mbili zilibadilishana maoni kwa kina kuhusu masuala ya kiuchumi na kibiashara. Pande hizo zilifikia makubaliano kwamba, Marekani itaendelea kusimamisha...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani Kupeleka Nyambizi Mbili Kukabiliana na Urusi

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba ameamuru nyambizi mbili za nyuklia za nchi hiyo zipelekwe kwenye maeneo mawili ya kimkakati kufuatia matamshi aliyoyataja kuwa ya "kijinga na uchochezi" yaliyotolewa na Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev. Hivi karibuni Medvedev alitishia...
  16. JamiiForums Tanzania Mulamula alitolewa Marekani akaja akapewa ubunge na uwaziri ila leo anakatwa juu kwa juu , wasomi muwe makini ni ngumu sana kufanya kazi na akil ndogo

    Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe. In short don't trust politicians hasa ukiwa smart . Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
  17. JamiiForums Tanzania Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

    Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Elon Musk Aishabikia urusi katika ugomvi na Marekani.

    Bilonea namba moja duniani na raia wa marekani mzaliwa wa afrika elon musk ameonekana katika kuishabikia russia katika majibizano yanayoendelea huko mtandaoni kwake wa x zaman ukijulikana kama twitter.
  19. JamiiForums Tanzania Iran kuacha kutumia GPS na teknolojia nyingine hatarishi zinazomilikiwa na Marekani na Israel

    Katika tathmini ya vita vya siku 12 kati yake dhidi ya Israel na Marekani,Iran imeamua kuachana na matumizi ya teknolojia ya GPS nyengine kadhaa ambazo imegundua zilichangia kuuliwa kwa makamanda wake wa kijeshi na wataalamu wa nyuklia. Badala yake Iran imeamua kugeukia teknolojia aina hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Samia Aifungulia Russia Mlango wa Uranium Namtumbo: Je, Marekani Itavumilia?

    Katika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya rasilimali nyeti duniani, inayotumika katika uzalishaji wa nishati ya nyuklia lakini pia inaweza kuwa kiungo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…