marekani

  1. JamiiForums Tanzania Marekani njooni muwachukue Samia, Wambura na Mafwele kwa kumteka Raia wenu Thadei Kweka

    Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro. Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani. Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Venezuela na Mke wake wakamatwa na Jeshi la Marekani

    Rais Maduro adakwa US President Donald Trump says the US has carried out "large scale strike against Venezuela" and "captured its leader, President Nicolas Maduro" and his wife. Here's the statement from Truth Social in full: "The United States of America has successfully carried out a...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha mgogoro kati ya Marekani na Venezuela?

    Leo tarehe 3/Januari/2026, vyombo vya habari vya Magharibi vimetoa taarifa ya kushambuliwa kwa Caracas. Mshambuliaji ni Washington. Wanajumuiya wenzangu wa Jukwaa hili maridhawa, ninaomba mwenye nondo za chimbuko la mgogoro huu azishushe hapa ili sote tupate maarifa. By the way...hivi kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Venezuela yashambuliwa na Marekani

    Kuna milipuko mikubwa imetokea mji mkuu wa Venezuela, Caracas. Inaelekea wizara ya ulinzi imeshambuliwa. Bado taarifa rasmi kuhusu shambulio hilo hazijatolewa. Updates:Baada ya mashambulizi yq masaa kadhaa USA wamemkamata nq kumchukua Rais Maduro wa Venezuela. Yuko njiani kupelekwa USA.
  5. JamiiForums Tanzania VIDEO: Marekani yaishambulia Venezuela

    👇
  6. X

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Marekani na China zinatengeneza 44% ya uchumi wa dunia

  7. L

    JamiiForums Tanzania “Jino kwa jino”: Afrika haikubali tena "kanuni za Marekani"

    Sera iliyotangazwa na serikali ya Marekani ya kupanua vizuizi vya kuingia nchini humo hadi nchi 40 kwa kisingizio cha "usalama wa taifa" imeanza kutekelezwa rasmi kuanzia tarehe mosi, Januari ya mwaka huu mpya wa 2026. Kati ya hizo, kuna nchi 27 kutoka Afrika. “Jino kwa Jino”, Niger na Chad...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akutana na Rais wa Marekani Donald Trump

    Rais wa Marekani alipoulizwa kama Iran utaendelea na mpango wake wa Nuclear na makombola itazhambuliwa? Trump Ali jibu kwa makombola ndiyo atashambuliwa lakini kwa Nuclear atashambuliwa harakati sana!!!!
  9. JamiiForums Tanzania Maraisi wazalendo wote Duniani wanashindanishwa kwenye tuzo ngumu na za kibabe hapo utamuona Mrusi, marekani, India, Tanzania, Afghanistan

    Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli. Huwezi ukagusa maslahi ya marekani halafu ukabaki salama Huwezi ukagusa waya wa mrusi halafu ukabaki salama Huwezi ukagusi...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani wamewashambulia "magaidi" wa Nigeria

    Marekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya US imedai kuwa mashambulizi hayo ni endelevu iwapo magaidi hawataacha njia zao ovu.
  11. JamiiForums Tanzania Marufuku ya ndege zisizo na rubani ni kitendo cha kujilinda kibiashara cha Marekani kwa kisingizio cha usalama

    Tume ya TEHEMA ya Marekani (FCC) hivi karibuni ilitangaza kuweka ndege zote zisizo na rubani na vipuri vyake vilivyotengenezwa nje ya nchi kwenye orodha ya kudhibitiwa, kwa kisingizio cha “tisho kwa usalama wa taifa”, na kupiga marufuku ununuzi wa aina mpya za ndege zisizo na rubani kutoka nchi...
  12. JamiiForums Tanzania JasusiTV: Usijibu wala kutuma picha au ujumbe wowote kwenye namba ilizotoa Tume ya Jaji Chande. Ni mtego wa kukamata na kupoteza mashahuda wa mauaji!

    https://youtu.be/7u6YDxC_wp0?si=rbyQ6-9B0eqvLoXY Wanatumia kila mbinu kujaribu kumwokoa Samia dhidi ya uhalifu wa kibinadamu (mauaji) waliyofanya 29/10 hadi 3/11/2025.... Hakuna ubishi wowote kuwa ushahidi unawaelemea na hatia ya kuua iko shingoni mwao imewakaba koo..... Mkakakati ni kutafuta...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani wamepiga ban drones zote kutoka “nje” ya nchi yao!

    Vita ya kiuchumi kati ya USA na China inazidi kupamba moto. Baada ya kuweka vikwazo vingi kwenye magari ya umeme (EV) kutoka China, sasa panga limekuja kwenye drones. Federal Communication Commission (FCC) wametoa tamko kwamba unmanned aircraft systems (UAS) na components zake zote kwa...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Vikwazo tulivyowekewa na Marekani kuanza rasmi tarehe 01/01/2026

    Effective January 1, 2026, at 12:01 a.m. EST, in line with Presidential Proclamation 10998 on “Restricting and Limiting the Entry of Foreign Nationals to Protect the Security of the United States,” the Department of State is partially suspending visa issuance to nationals of 19 countries –...
  15. JamiiForums Tanzania Mwigulu anaongea kama mtendaji wa kata hii Uranium ndo ya kugombaniwa na Marekani

    By Malisa: Kwa dunia Australia inaongoza kwa uranium deposit ya tani 3.6 milion. Kazakhstan inafuata kwa tani 2.9 milion. Kwa Afrika, Namibia inaongoza kwa tani milioni 1. Wote hao Uranium yao haimezewi mate. Sasa fanya kuswipe uone uranium inayomezewa mate na mabeberu Tanzania ni ya nafasi za...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

    Tanzania imejumuishwa kwenye orodha ya nchi 15 mpya zinazokabiliwa na vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump. Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi za Afrika na visiwa vya Karibiani zilizotajwa kuwekewa masharti mapya ya usafiri. Kwa mujibu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani ni kutokana na mauaji, rushwa na udhaifu wa mifumo ya utambuzi

    Tanzania kuzuiwa kuingia marekani ni kutokana na mauwaji, rushwa, udhaifu wa mifumo ya utambuzi, utekaji hii inahatirisha usalama wa marekani. Tanzania sio nchi salama kwa sasa inawapumbavu wengi sana ndio wanaharibu nchi yetu.
  19. JamiiForums Tanzania Moja ya sababu ya Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani ni hii japo imefichwa

    Sababu ni nyingi lakin mojawapo ni matukio ya kigaid, rushwa na utawala mbaya.
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Wajue Maafisa wa Serikali na watu binafsi waliowekewa vikwazo na Marekani

    Baada ya Marekani kuiwekea Tanzania vikwazo, Partial Restrictions, wafuatao ndio watakaoathirika. Partial Restrictions ni marufuku ya viza au wakati mwingine (freeze of property) ambayo serikali ya Marekani huweka kwa watu mahususi badala ya kupiga marufuku au vikwazo vya jumla. Vikwazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…