marekani

  1. JamiiForums Tanzania Racially hate terrorism in US (Ugaidi wa Kibaguzi Marekani)

    Ugaidi wa Kibaguzi Marekani. Biden kasema ni ugaidi. Hii ni baada ya kijana kuua watu kuni huku kuni na moja aliopiga risasi wakiwa na asili ya kiafrika! Kuweni makini mkiwa huko Marekani. Tanzania inatakiwa ku rise threat alert to Level 5 kwa raia wake wanaoelekea Marekani. Na balozi wetu huko...
  2. JamiiForums Tanzania Historia iliyofichwa kuhusu gereza la Alcatraz, lilikua gereza la Marekani lenye sifa mbaya zaidi.

    Wanasayansi wanafichua historia iliyofichwa iliyokuwa chini ya gereza la Alcatraz. Lilikua gereza la Marekani lenye sifa mbaya zaidi. Lili jengwa kwenye eneo lenye mawe katikati ya Ghuba ya San Francisco, kuanzia miaka ya 1930 hadi 1960, Gereza la Shirikisho la Alcatraz lilihifadhiwa kwa ajili...
  3. JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

    Wamarekani na wazungu wengi huwa hawajui kile serikali zao zinachokifanya kwenye mataifa mengine, lakini safari hii ni tofauti sana, wameanza kuufahamu upuuzi wanaofanya wanasiasa wao kwa wengine. Na hii ni baada ya maisha Yao kuguswa na kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na uhaba wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kumbe hata Marekani inaathiriwa sana na vita vya Ukraine, Senator ampinga Biden

    Utelezi huu hata anaanguka. Msikilize huyu Senator Rand Paul anavyomkwamisha Joe Biden kupeleka msaada Ukraine rand paul $40b ukraine aid package
  5. L

    JamiiForums Tanzania Misaada ya Marekani haitanufaisha Ukraine

    Mgogoro wa Ukraine umeendelea kwa zaidi ya miezi miwili. Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani hivi karibuni lilipitia mpango wa msaada wa takriban dola bilioni 40 kwa Ukraine. Mpango huo utakabidhiwa kwa Baraza la Seneti, ambapo unatarajiwa kupitishwa kwa mafanikio. Takwimu zilizotolewa...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani na Umoja wa Mataifa walaani mauaji ya Mwandishi wa Habari wa Al Jazeera

    Marekani na Umoja wa Mataifa wamelaani vikali mauaji ya mwandishi wa habari wa Al Jazeera ambaye alikuwa anaripoti kuhusu operesheni ya jeshi la Israel katika ukingo wa magharibi. Shireen Abu Akleh, m Mmarekani mwenye asili ya Palestina mwenye umri wa miaka 51, alipigwa risasi licha ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani wamekiri kuwa vikwazo walivyowekewa Urusi vinawaathiri wao zaidi kuliko Urusi

    Raia wa marekani wamejikuta wao ndio wamekuwa wahanga wakubwa wa vikwazo alivyowekewa urusi. Pesa ya Urusi imeongezeka thamani baada ya vikwazo kuliko ilivyokuwa kabla ya vikwazo. Hii ni kinyume kabisa cha matarajio ya nchi za magharibi. Wakati huo huo pesa ya marekani imeshuka thamani kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Kijana mwenye asili ya Tanzania aliyejiua kwa kujipiga risasi Marekani azikwa kijeshi

    Kijana mwenye asili ya Kitanzania ambae alikuwa mwanajeshi huko Marekani ambae alijipiga risasi risasi wiki iliyopita na kufa hapo hapo amezikwa kwa heshima za kijeshi huko Los Angeles nchini Marekani. Kijana huyo ameacha mke ambae walioana miaka mitatu iliyopita. Hata hivyo haijajulikana...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani, Joe Biden atangaza kutoa silaha za dola milioni 150 kwa Ukraine

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kutoa silaha zenye thamani ya dola milioni 150 kuisaidia Ukraine katika vita dhidi ya Urusi. "Ninatangaza kutakuwa na mzigo mwingine wa msaada wa ulinzi ambao utahusisha silaha za ziada na rada kwa ajili ya Ukraine," amesema Biden. Kwa mujibu wa ofisa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka chuki ya dhidi ya Russia kwenye mkutano wa kundi la nchi 20

    Fadhili Mpunji Mgogoro wa Ukraine unaendelea kufichua hali ya umwamba kwenye siasa za kimataifa, ambao sasa umefikia hatua ya nchi moja kuzilazimisha nchi nyingine kufuata msimamo wake, na kufanya vitendo vya kulenga nchi zisizokubaliana na hali hiyo. Kwa baadhi ya nchi za magharibi, dhana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tangu mashambulizi ya Urusi yaanze, Ukraine imepokea misaada ya silaha na fedha kiasi cha dola za Marekani zaidi ya bilioni 12! Hizi zote ni mkopo!

    Ukraine received over $12bn in weapons, financial aid since start of war Ukraine has received over $12bn in weapons and financial aid since the start of Russia’s full-scale invasion on February 24, Ukraine’s Prime Minister Denys Shmyhal has said. Speaking at a high-level donors’ conference in...
  12. JamiiForums Tanzania Rais aambiwe ukweli kuwa si vyema kutulinganisha sisi na Marekani

    Mwambieni Colorado kima cha chini cha mshahara ni 15.87$ kwa saa Inamaanisha kwa 8hrs mtu wa chini analipwa 126.96$ kwa Mwezi mtu wa Washington dc analipwa 3,808.8$ ambayo ni sawa na 8,851,484..tsh, Majimbo yanayolipa pesa ndogo kabisa yapo 20 na kwa saa wanalipa 7.25$ kwa 8hrs ni 58$ mara mwezi...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani: Waziri wa Mambo ya Nje akutwa na maambukizi ya COVID-19

    Vipimo vimeonesha kuwa Antony Blinken ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekutwa na maambukizi ya Ugonjwa wa COVID-19, ametakiwa kufanya kazi kwa njia ya mtandao. Licha ya maambukizi hayo, Waziri huyo alipata chanjo mara mbili na nyongeza ya kujikinga na ugonjwa huo. Msemaji wa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

    Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani. Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania. Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani yafungua ubalozi wake Cuba baada ya miaka minne

    Ubalozi wa Marekani Nchini Cuba umeanza kutoa visa wiki hii kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka minne tangu madai ya mashambulizi ya mfumo wa sauti (Sonic Attacks) dhidi ya wafanyakazi wa kidiplomasia. Marekani ilifunga huduma za kibalozi Cuba mwaka 2017 baada ya wafanyakazi wa Marekani na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Wanaomchafua Rais Samia mitandaoni kwamba kamuambukiza Makamu wa Rais wa Marekani Corona wachukuliwe hatua

    Sasa dharau kwa mh.Rais wa JMT ,Bibi Samia Suluhu Hassan zimevuka mipaka. Mh.Rais akiwa ziarani mkoa wa Arusha amelalamikia watu ktk mitandao wakimtuhumu kwa kumuambukiza virus vya Corona makama wa rais wa nchi ya Marekani Bibi Kamala Harris alipokutana naye alipokwenda Marekani kwa ziara ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya shujaa Hotel Rwanda yadai fidia dhidi ya Kagame 400M USD mahakamani Marekani.

    Inakuwaje wanajamvi! Familia ya Hotel Rwanda HeroPaul Rusesabagina 67 ambaye alipata umaarufu kwenye vita ya kimbari Rwanda 1994 kwa kuwasaidia na kuokoa watu 1,200 kwenye Hotel wamemshtaki Kagame, Serikali ya Rwanda na Tiss ya Rwanda mahakamani Washington Marekani nakudai fidia ya dollars za...
  18. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

    Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi! Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira...
  19. 5

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Marekani atua Ukraine na aapa US kuisaidia Ukraine mpaka vita itakapoisha

    Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done' Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done'Close The speaker of the US House of Representatives, Nancy Pelosi, has met the Ukrainian president, Volodymyr Zelensky, in Kyiv. Ms Pelosi said Ukraine was fighting for everyone's...
  20. JamiiForums Tanzania Maisha halisi nchini Marekani

    Habari JF leo Katika mada yangu kichwa tajwa hapo juu, Ningependa nishare nanyi Uzoefu wangu wa maisha ya marekani, maana nimeona watu wengi sana wakijadili namna watu wanavyoishi nje, ajabu kati ya mia, tano tu ndo wanaelewa maisha halisi ya marekani. Licha mimi huwa sipendi kuishi Marekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…