marekani

  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Raia wa Uganda afungwa miaka mitano Marekani kwa ujangili

    Moazu Kromah raia kutoka nchini Uganda amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na Mahakama ya jijini New York kwa kosa la kula njama za kusafirisha Pembe za Faru na Pembe za Tembo. Shehena iliyokamatwa ilikuwa na Kilo 200 za Pembe za Faru na Tani 10 za Pembe za Tembo ambazo thamani...
  2. JamiiForums Tanzania SADC yapinga sheria mpya ya Marekani kuhusu uhusiano wa Afrika na Urusi

    Kama ilivyo kwa kawaida yake kwa Marekani kujipa namlaka ya kumwambia kila mtu cha kufanya na ambacho si cha kufanya. Safari hii hilo limegonga mwamba kwenye kikao cha wakuu wa nchi za SADC kilichofanyika huko DRC Kinshasa. "Si vema na haki kwa nchi za Afrika kuingizwa kwenye mzozo ambao hatuna...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Liberia awasimamisha Kazi maafisa 3 wa Serikali baada ya Kuwekewa Vikwazo na Marekani kwa ufisadi

    Rais George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo kwa madai ya Rushwa na Ufisadi wa mali za Umma Maafisa hao ni pamoja na Nathaniel McGill, Waziri wa nchi na Mkuu wa wafanyakazi wa Rais, anashutumiwa kwa kutishia wapinzani wa kisiasa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Maono: Siku Marekani akichoka visa vinavyofanywa na Korea Kaskazini huenda ataifuta kabisa

    Kila siku Korea kaskazini inajaribu kujitutumua mbele ya Marekani kwa kujaribu kuwatisha Korea Kusini na Japan kwa majaribio ya silaha za nyuklia. Majaribio hayo yanaikera Marekani kwa kiwango kikubwa ila kwa usalama na amani ya dunia anaamua kukaa kimya wala kutokujibu majaribio hayo huku...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden asaini Mswada wa Bilioni 700$ kuboresha Afya, Kodi na Tabia Nchi

    Rais wa Marekani Joe Biden ametia saini mswada wa Dola Bilioni 700 ambao unalenga kupambana na Mabadiliko ya #TabiaNchi na gharama za #Afya huku akipandisha kodi kwa matajiri. Sheria hiyo inajumuisha utekelezaji wa ahadi za miaka kadhaa za Bunge ili kupunguza Bei ya Dawa zinazoagizwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Marekani akutwa na COVID-19

    Ikulu ya Marekani imesema Jill Biden, Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden amepimwa na kukutwa na maambukizi ya COVID-19. Taarifa ya Elizabeth Alexander, Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka ofisi ya Mke wa Rais imesema Jill Biden anakabiliwa na home kidogo na ameanza kutumia dawa ya Paxlovid...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kwa Marekani kuachana na fikra kongwe licha ya kutoa mkakati mpya kuhusu Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Antony Blinken alifanya ziara nchini Afrika Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC na Rwanda wiki iliyopita, ambapo alitangaza "mkakati mpya wa Marekani kuhusu Afrika Kusini mwa Sahara." Hata hivyo, mkakati huo hauna jipya na umeonyesha kuwa serikali...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ubalozi wa Marekani wavisihi vyama vya siasa kufanya kazi pamoja kutatua malamiko ya uchaguzi

    Serikali ya Marekani imemtaka Rais Mteule William Ruto na washindani wake kupitia uchaguzi uliomalizika kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya nchi. Kupitia taarifa yake, Ubalozi wa Marekani umezitaka pande zote kutatua mvutano ulioibuka juu ya Matokeo ya Urais kwa amani na kwa kufuata taratibu za...
  9. JamiiForums Tanzania Yanayotokea katika mgogoro wa Taiwan, China na Marekani. Chanzo na hatima ya mgogoro

    Kwa mara nyingine tena Marekani imetuma wajumbe wa Baraza la Congress kwa ndege ya kijeshi hadi Taiwan tarehe 14 Agosti 2022. Kwa kitendo hiki,Marekani inafanya uchokozi wa wazi kwa China. Ujumbe huu mwingine wa Bunge la Congress ulikwenda Taiwan kwa kutumia ndege ya kijeshi, moja kwa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ubalozi wa Marekani wakanusha Rais Biden kumpongeza Odinga

    Ubalozi wa Marekani jijini Nairobi umekanusha taarifa inayodai Rais wa Marekani Joe Biden alimpongeza Mgombea wa Azimio La Umoja, Raila Odinga kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa 5. Taarifa hiyo pia ilionesha Biden aliwapongeza Wakenya pamoja na Tume ya Uchaguzi kwa kufanya Uchaguzi huru wenye amani...
  11. JamiiForums Tanzania Meli ya Kijeshi USS HERSHEL - Woody Williums kutoka Marekani kufanya ziara ya siku tatu Tanzania

    Ni katika harakati za kuimarisha uhusiano wa kiulinzi meli hii kubwa ya kijeshi kutoka USA inafika bandari Salama ikiwa ni zaidi ya muongo mmoja kutokea kwa tukio hili.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Marekani: Howitzer za Ufaransa (CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zateketezwa vibaya mno Ukraine kwa artillery ya Urusi

    Marekani yaripoti kuwa howotzer za Ufaransa (French CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zinachomwa vibaya na kuangamizwa na MLRS (Artillery) za Urusi nchini Ukraine. Katika kuthibitisha hilo Marekani imeambatanisha na video iliyorikodiwa na drone (video ipo hapo chini) wakati artillery ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

    Mwandishi wa vitabu na makala maarufu Profesa Salman Rushdie amevamiwa na kuchomwa kisu akiwa kwenye mhadhara na anaedhaniwa kua ni muumini wa dini ya kiislamu huko New York. Kwa Tusiofahamu Bwana Rudhdie ndie muandishi wa Kitabu cha Satanic Verses ambacho kinasema kua dini ya kiislamu na Quran...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani yaiba na kutorosha mafuta na ngano kutoka Syria na kuuza

    Syria Wednesday accused the U.S. of smuggling oil out of the country via an illegal crossing into Iraqi Kurdistan. Syrian Ministry of Oil and Mineral Resource reported that more than 80 percent of its oil was plundered by U.S. occupying forces. According to data from the Ministry of Oil and...
  15. JamiiForums Tanzania Urusi yapitisha ndege za Kijasusi Alaska, Marekani

    Jeshi la Urusi limepitisha ndege za kijasusi kwenye eneo la Ulinzi la Marekani la Alaska Air Defence Zone na kuthibitishwa na NORAD Northern Amarican Aerospace Defence Command, Niwazi ndege hizi zilikuwa na Jukumu la kukusanya taarifa zinazohitajika kwa matumizi husika hasa ile ahadi Russia ya...
  16. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani watofautiana kuhusu roketi za Himars, hali itazidi kuwa mbaya Ukraine

    US senators divided over HIMARS ammo for Ukraine – media Disagreements over supplying Kiev with long-range rockets for the system cut across party lines, the Daily Beast reports FILE PHOTO: US military personnel stand alongside a M142 High Mobility Artillery Rocket System (HIMARS) in Saudi...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Blinken anasema Marekani haitaingilia siasa za Kenya

    Blinken amesema ipo tabia mbaya ambapo mataifa makubwa yanapenda kuingilia siasa za nchi nyingine.. Akizungumza jana alipokuwa Afrika Kusini alisema nchi yake haitaingilia masuala ya demokrasi katika nchi ya Kenya na Nigeria. Amesema nchi za Kiafrika zikatae masharti zinazopewa na nchi za...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani anatoa misaada kiduchu hataki Ukraine ashindwe wala kushinda sana, anataka vita iwe ndefu ili kumfanyia utafiti Urusi na Ukraine awe mdaiwa

    Ndicho nachokiona, Marekani anatumia misaada kidogo kidogo lengo ni Ukraine asishinde wala asipigwe, yani vita iwe neutral wawe wanatwangana na mrusi, Nipe nikupe, Marekani akiona Ukraine anazidiwa anamtumia silaha , akiona anakaribia kupata ahueni anazima data rais wa Ukraine anaanza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala mkali Baraza la Seneti Marekani: Je, ni nani ana uwezo wa kupata mimba? Hiyo ndiyo kazi wanayolipia walipa kodi wa Marekani

    Hivi karibuni kulikuwa na mjadala mkali sana kwenye baraza la seneti. Kwenye baraza walitaka kuainisha ni watu gani hasa wana uwezo wa kupata mimba ili wanapopanga bajeti ihusianayo na masuala ya uja-uzito wajue hili suala linawahusu watu wangapi? Republican wakasema wale tu ambao walizaliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume wawili wa Kiislam wafukuzwa katika ndege huko Marekani

    Wanaume wawili ambao walikuwa wakichati kiarabu kwenye simu na pia kuzungumza kiarabu kwenye ndege huko Marekani ya Alaska airlines! Abiria mwingine katika dege hilo aliwaona wakichati na kuongea kiarabu ndipo alipotoa taarifa katika wahudumu wa dege hilo. Nao wahudumu wakatafsiri zile meseji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…