marekani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Air Defenses za Marekani zimeshindwa kulilinda anga la Ukraine dhidi ya makombora ya Urusi!!

    Marekani ilijinasibu sana kuwa imeshapeleka air defense system za hali ya juu lakini bado jiji la Kiev linapata kipigo cha mbwa mwizi kila urusi ikitaka. Ukraine has reportedly received two batteries of NASAMS short- to medium-range ground-based air defense systems from the US. [Twitter]...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani lakamata meli ya Iran iliyosheheni mabomu

    Inapaswa tuwe na mbabe mmoja tu basi... The U.S. Fifth Fleet has indicated in a statement that the 'USS The Sullivans' and a Coast Guard ship intercepted the vessel during the day on November 8 "while transiting international waters". Thus, it has indicated that another U.S. ship and bomb...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za Marekani pasua kichwa, Republican wadhihakiwa

    Mzuka Wanajamvi! Sasa hivi kuna mtifuano ndani ya chama cha Republican. Trump na gengeelake wanamnyooshea kidole senator minority mitch McConnell eti ndie amesasababisha Republican kufanya vibaya na kuifanya Democrats kuchukua senate. Lakini ikumbukwe huyuhuyu Mitch McConnell alitahadharisha...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani: Ndege mbili zagongana angani wakati wa maonesho ya kijeshi

    Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia. Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
  5. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Marekani Midterms: 95% ya Wagombea waliopendekezwa na Trump washinda, Morali ya Trump kurudi 2024 imepanda zaidi

    System inamuogopa sana Trump, wanajua ana support kubwa sana ya wamarekani ukiachana na data zinazopikwa na cnn na ggogle aonekane hapendwi, kwa mara nyingine tena Trump kafumua mshono kajibu kwa vitendo baada ya asilimia 95% a wagombea aliowapendekeza kuchukua ushindi, Jeshi hili la wafuasi...
  6. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Marekani, tunawaangalia!

    Tanzania inafuatilia kwa karibu sana mwenendo wa matukio yote katika uchaguzi wa nchini Marekani ili kuhakikisha kuwa haki inatendeka na uchaguzi huo unakuwa wa ni huru na wa haki. Tanzania haitavumilia vitendo vya uvunjifu wa haki na amani nchini humo. Vyama vyote vipewe haki sawa. Imetolewa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za Marekani: Democrats kampeni yao ni ya kuruhusu ushoga/LGBT na uhuru wa kutoa mimba.

    Mwanadada huyu hapa ana furaha sana mgombea wa Democratic ameshinda kwenye jimbo lake kwa hiyo anafurahia kwenye jimbo hilo kutoa mimba itakuwa ni ruhusa! Alikuwa na wasiwasi kuwa kama angeshinda mgombea wa Republican, utoaji mimba ungepigwa marufuku kwenye ji,mbo lake!! “We won!” That was...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani kusimika TPS-80, nayo Uhispania kusimika TPS-43 pale Romani, maskini Urusi analo

    Madude yanaendelea kumjongea Putin, alilianzisha wenzake wanamalizia, wamehakikisha amedhoofishwa na kataifa kadogo Ukraine, sasa hivi kiuchumi anaendelea kuangukia pua, halafu Warusi wenyewe wamemchoka na mavita yake yanayoendelea kuua watoto wao na kurudisha nchi nyuma, anafukuzia vijana...
  9. JamiiForums Tanzania KISASI: Trump apendekezwa kuwa spika wa bunge la Marekani,

    Hadi sasa ramani inakoelekea ni wazi kabisa Republicans wanaweza kumpendekeza kipenzi chao Mheshimiwa Trump achukue kiti cha uspika ambacho kwa sasa kipi kwa bibie Pelosi anaesubiri kung'oka. Trump kuwa spika inaweza kuwa ni mwiba mkali sana kwa uongozi wa Biden, Trump kuwa spika ni fursa kwake...
  10. JamiiForums Tanzania Warusi wanafuatilia kwa makini uchaguzi wa Marekani, waomba Republicans washinde ili mateso yapungue

    Wanaamini kwa namna fulani Republicans watapunguza misaada kwenda Ukraine, maana madude kama HIMARS yamewatesa sana..... Pro-Kremlin forces in Russia are hoping that the Republicans win control of Congress, an outcome they believe could mean Democratic President Joe Biden faces a tougher and...
  11. JamiiForums Tanzania Democrat yahofia kuangushwa uchaguzi wa kati wa muhula Marekani

    Wamarekani wanapiga kura leo kuwachagua wabunge na maseneta, katika uchaguzi wa katikati mwa muhula wa urais wa Joe Biden. Katika uchaguzi wa leo, viti vyote 435 katika Baraza la Wawakilishi vinapiganiwa, huku kwenye Baraza la seneti, viti vilivyo kwenye kinyang'anyiro hiki vikiwa 35 kati ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei nchini Marekani waathiri vibaya uchumi wa Afrika

    Ili kutatua changamoto ya mfumuko wa bei nchini Marekani, Benki Kuu ya nchi hiyo inayofahamika kama “Federal Reserve” imeongeza viwango vya riba mara sita tangu mwanzoni mwa mwaka huu, ambapo madhara yake kwa nje yameathiri vibaya uchumi wa nchi zinazoendelea hasa za Afrika, na gharama za maisha...
  13. JamiiForums Tanzania Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin

    Baada ya kuona hakuna dalili ya vita kumalizika leo ama kesho. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wanamshawishi rais Ukraine ajongelee kwenye meza ya mazungumzo iwapo rais Vladimir Putin ataendelea kuwepo madarakani. Taarifa hizo zimevuja kutoka kwenye timu iliyoundwa mahususi kwa ajili ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Marekani inaomba "po" kiaina: Inaiambia Ukraine ikubali mazungumzo ya amani na Urusi!!

    Marekani na washirika wake wa NATO waliiandaa Ukraine kupambana na Urusi toka 2014! Wamewekeza sana kupita kiasi walichotazamia lakini hadi kufikia muda huu hawaoni dalili za kuiangiusha Urusi bali kuna dalili ya Ukraine kuanguka na tunapozunguza Crimea iliota mbawa hiyo 2014 na juzijuzi majimbo...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini kuna watu wanachukia Marekani kutetea maslahi yake?

    Kwa nini watu huilaumu Marekani kwa kutetea maslahi yake Ulimwenguni? Kwani kuna nchi inakatazwa kutetea maslahi yake dhidi ya nchi nyingine? Kwani kuna ulazima gani wa kuwa Rafiki wa Marekani au kutii maagizo yake??
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wengi wa wanaoenda Marekani kutafuta maisha huwa wanarudi hawana kitu na kama vile kisaikolojia hawako sawa?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba tujadili hili. Binafsi nimekulia kwenye mkoa wa kitalii ambapo nimeshuhudia vijana wengi wakienda ughaibuni kutafuta maisha.. Arusha na Ulaya zina uhusiano mzuri. Vijana kwenye utalii hupata fursa za kwenda huko. Pia wanamichezo kupitia riadha...
  17. JamiiForums Tanzania Iran inajiandaa kuvamia Saudia, ila Marekani wamesema thubutu kinuke

    Iran wanataka kudiriki kuvamia kule ambako ndiyo chimbuko la dini ya Mwarabu, japo Marekani wamesema watailinda Saudia kwa vyovyote vile. ========= Saudi Arabia has shared intelligence with American officials that suggests Iran could be preparing for an imminent attack on the kingdom, three...
  18. JamiiForums Tanzania Ujerumani inaizunguka Marekani kwa kuzungumza na China

    Ziara ya hivi karibuni ya Olaf Scholz nchini China ni ujumbe kwamba Washington haiwezi kulazimisha sera ya nje ya Berlin. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anatazamiwa kuzuru China wiki hii. Ni alama ya safari yake ya kwanza kabisa katika nchi ya Asia, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani inapata faida gani kugombanisha majirani?

    Kila penye ugomvi duniani unaohusu ndugu na majirani lazima Marekani atakuwepo upande mmoja wapo wa watu hao. Ukienda Pakistan na Afghanistan utamkuta Mmarekani,Ukienda Urusi na Ukraine ni hivyo hivyo na ukienda Korea Kaskazini na Korea kusini hali ni hiyo hiyo. Vivyo hivyo ukienda Palestina na...
  20. JamiiForums Tanzania Uchina yaijibu Marekani kuwa haitafuti Ukuu wa Dunia

    Uchina yasema 'haitatafuta uzushi' Beijing ilijibu baada ya Mkakati mpya wa Kitaifa wa Ulinzi wa Washington kutaja Uchina kama tishio kuu la Amerika Uchina yasema 'haitatafuta ukuu wa ulimwengu”' China imelaani Mkakati mpya wa Ulinzi wa Kitaifa wa Marekani (NDS), ikisema sera ya Marekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…