Hamjambo Wote!
1. Sijui kama naeleweka.
Yaani nikuumize, nikutese, nikuharibie maisha alafu Siku yamenipata ulete ngonjera za ajabuajabu. Sijui UTU. Sijui Imani!
2. Aiseeh! Hakuna cha utu kwa mtu asiye na Utu.
3. Hakuna cha staha sijui stara kwa watu waliokosa stara na stags.
4. Hakuna cha...
MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU SUNZY MWITA CHAMBIRI WILAYANI BUTIAMA, MKOANI MARA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete Leo tarehe 10 Machi, 2026 ameungana na mamia ya waombolezaji waliojitokeza kushiriki Mazishi ya Marehemu Sunzy Mwita Chambiri...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hoja yangu ni fupi na rahisi tu kueleweka.
PhDs zimechemkaje?
1. Kumkamia wasiyempenda zaidi badala ya Faraja kwa anayeagwa na Wanafamilia. Maudhui yote pale, hata kwa mwenye akili kama kisoda (yaani zile za nyumbu wa wanasiasa flani)...
Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana.
Hivi kwanini upande wa Jamhuri kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu wana mambo ya ajabu hivi?
Akaandika Malisa
Kada maarufu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mkamiti Mohamed amedai kuwa ACP Mohamed Said...
Kwanza TEC wanadai serikali yake ni dhalimu na imekuwa ikiteka na kuua watu.
Asingefaa kupewa nafasi ya kwenda kuaga mwili wa huyu kasisi aliyefariki
Alishatamka hadharani kuwa ana kinyongo na Tec
Pumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema.
=====
YAH: TANGAZO LA KIFO
Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es...
Wiki iliyopita niliongoza ibada fupi na zoezi la kuchoma mwili wa raia mmoja wa nje pale Makumbusho
Zoezi lile lilinikumbusha mbali sana enzi za ujana wangu huko ughaibuni nilipokuwa nalifanya kwa raha zangu
Japo kwasasa inachukuliwa kama njia ya kuokoa nafasi lakini haya ni mazishi ya kimapokeo...
Hakuna maumivu makubwa zaidi kuliko kumpoteza mpendwa baada ya wiki au miezi kadhaa hospitalini, ukiendelea kuishi kwa tumaini dhaifu, halafu kifo kinakuja mwishoni mwa kipindi hicho kirefu cha kusubiri.
TANGAZO
Kwa familia nyingi, huzuni haimaliziki kando ya kitanda cha mgonjwa. Inaendelea...
MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU MUNDE TAMBWE, MKOANI TABORA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Mjumbe wa...
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemteua bila kukusudia mtu aliyekufa kuwa mjumbe wa kamati itakayoandaa uchaguzi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Msemaji wa ofisi ya rais amesema hii leo kwamba mamlaka zilipitiwa wakati wa uteuzi baada ya Steward Sorobia Budia, mwanasiasa wa zamani wa...
Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi.
Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
Kama familia inataka autopsy ni haki yao, kama vipi serikali hii haramu isigharamie mazishi ijitoe!
Alafu hawa TISS wa Mombo na Abdul ni wajinga sana - yaani mnapeleka watu wenu hadi vikao vya familia na wanawashtukieni haraka 🙄 mambo ya kizamani haya!.
Mi niliwaambia hiki kifo cha Jenista siyo...
Waliposhika madaraka watu waliwaonya ila wakaona haya yana wahusu wapinzani na wanaotaka kusema ukweli.
Mtakumbuka Marehemu Ndugai alipokuwa spika baada kuona upepo wake na yeye kuwekwa chini ya uwangalinzi ambao hata ukitaka kwenda kwa mchepuko usubiri maagizo.
Viongozi wengi sasa tunayo...
Nafurahia marehemu anavohangaika kuingia kaburini watu wamfukie. imebaki tu kufukia maana kama kufa kashakufa na kuaga tushaaga na sasa ndo tupo makaburini muda huu
Hatuondoki makaburini mpaka na mimi nihakikishe nimetupia chepe langu moja
Joshua Loitu Mollel (Picha Kwa Hisani ya Maktaba)
Mabaki yaliyorejeshwa kutoka Gaza hadi Israel usiku kucha yalitambuliwa kuwa ya raia wa Tanzania Joshua Loitu Mollel, mamlaka ya Israel ilisema Alhamisi.
Wawakilishi wa Jeshi na Wizara ya Mambo ya Nje waliifahamisha familia ya Mollel kwamba...
Mara kwa mara alipokuwa akisali pale Lushoto Cathedral alipomaliza mahubiri alikuwa akiomba Mungu amlinde na kumponya Tundu Lissu.
Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu. Haukupenda dhuluma na kujipendekeza
Hili sakata linaoendelea muda huu .
Kuhusu Justice Rugaibula , ndo huyu muhaya pendeshee ambaye amekuwa akiimbwa na wakongomani katika nyimbo zao.
If yes , basi hili jambo linatafakarisha Sana.
Sarah Agustino Ilomo, mmoja wa watoto wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa Iringa, marehemu Mzee Augustino Ilomo, amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, kuingilia kati mgogoro wa mirathi unaotishia kupoteza mali zote zilizoachwa na baba yao.
Sarah anadai kuwa, licha ya juhudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.