marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Marafiki na ndugu yangu wananirudisha nyuma

    Habari, Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki, lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa; ila nina watu ambao tuna fahamiana sana. Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu, pindi napokuwa mimi nashida hakuna anaenisaidia na kuhisi mimi sina shida natania. Sasa siku mmoja...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimefuta na kublock namba 50 kwenye simu yangu za wanaojiita marafiki zangu

    Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini marafiki wa DRC wanashindwa kuisaidia silaha za kisasa kupambana na adui zake?

    Habari, Kiukweli bado nashindwa kuelewa nchi marafiki wa DRC? Ni nchi gani za kibeberu, Asia, au zilizoendelea ambazo ni marafiki wa DRC? Nadhani hazipo kama zipo pasi imapact yake ndogo. Aidha diplomasia ya DRC katka kutafuta marafiki wa faida ni ndogo. Ikiwa ni nchi iliyogubikwa na majangili...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata marafiki na kushawishi watu

    .Kwa sababu hili ni jukwaa la urafiki na mahusiano, basi itakuwa sehemu sahihi kupitia kitabu hiki. How to win friends and influence people JINSI YA KUPATA MARAFIKI NA KUSHAWISHI WATU DALE CARNEGIE Muandishi: Dale Carnegie, 1936. Mtafsiri: Pictus Publishers ltd Email...
  5. JamiiForums Tanzania Acha Baadhi ya Marafiki wako Waondoke Usiogope

    Haya maisha raha sana, mwaka huu baada ya kutembelea Tunduru miezi kadhaa ilopita, nikarudi town, punde baada ya kurejea sikupata simu, meseji, wala chats toka kwa baadhi ya marafiki wa karibu. Nilijiuliza sana sana niliona kama masihara vile, baada ya siku tatu Mama mchungaji Lt akanipigia...
  6. JamiiForums Tanzania Kashfa ya rushwa kwenye Bunge la Ulaya na marafiki wa CHADEMA

    Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU. Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Mimi natafuta marafiki wakubadilishana mawazo. Sifa awe anajielewa mtaratibu na mwenye heshima . Sichagui jinsia hata wote tu .
  8. JamiiForums Tanzania Inadaiwa Picha maarufu ya Ronaldo na Messi ilikuwa edited bila wao kukutana, kutokuwa marafiki ndio chanzo kikuu

    Ni picha iliyojizolea umaarufu mkubwa watu wengi wakidhani picha hio ilikuwa ni ya kweli na ilipigwa kwa lengo la kumbukumbu, Stori ipo tofauti kabisa. Picha hii imeandaliwa kwajili ya mikakati ya kutangaza na kuifanyia promoshen kampuni kubwa ya nguo "luis vutton", kampuni hii iliingia mkataba...
  9. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwaamini sana marafiki zake Kagame na Bashiru

    Historia inatueleza bayana Hayati Magufuli na Paul Kagame walitokea kuwa marafiki wakubwa kupata kutokea! Urafiki wa wawili hao ulikuwa wa kufa na kuzikana hali iliyopelekea waaminiane kwa kila jambo. Kiungo wa marafiki wale uliunganishwa na rafiki yao mwingine Bashiru Ally. Bashiru Ally na...
  10. JamiiForums Tanzania Shukrani kwa zawadi ya marafiki

    Kuna wakati katika haya maisha unaweza kukutana na changamoto ikakutesa kwa kipindi kirefu, ila siku moja ukakutana na mtu akakutoa kwenye changamoto hiyo kwa kipindi kifupi sana. Tiririka hapa kuonyesha thamani kwa marafiki ambao wamesimama nasi kuliko hata ndugu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kabidhi Imani yako kwa Marafiki ila siyo Ndugu wenye Chuki, Dharau na Unafiki

    Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akakuombea mabaya ila Ndugu kuombeana mabaya hata Kufa Kwako ni Jambo la kawaida. Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akawa Mnafiki dhidi yako ila kwa Ndugu Kukusanifu huku akikuchekea ni Jambo la kawaida. Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akaona kuna Fursa...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa na Marafiki, ila mnatuangusha mno Watanzania hadi kuhisi Mmeshanunuliwa kwa Bei rahisi

    Kwa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania hasa hasa baada ya tarehe 17 Machi, 2022 kuna Chama na Kiongozi wake Tanzania imeshawashinda kiasi kwamba wengine wanatamani tu Tukio lolote litokee ( hasa Ulaya ) ili wakapumzishe Kwanza Akili kwani walichokitegemea sicho. CHADEMA nilidhani Kipindi hiki...
  13. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kuwa na marafiki wa aina zote

    SHUKA NAYO HII NI NZURI KWA KUJIFUNZA👇🏿👇🏿👇🏿 Maisha ni duara, maisha yana kila aina ya Raha na karaha Zake. Hivyo ukipata Bahati ya kuwa umesoma sana na kuwa na kazi kubwa sana au na fedha nyingi kuna jambo moja muhimu sana hupaswi kulisahau. Jambo lenyewe ni kuwa na marafiki wa aina Zote...
  14. JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili marafiki zangu wa kike wasiangukie mapenzini na mimi

    Kiajabu kabisa hili suala linanishangaza, hawa ni marafiki zangu wanajua nina mke pia michepuko, ajabu yake na wao pia huangukia kwenye mlengo huohuo baada ya muda flani, inanitatiza kwakuwa nilishawahi kujaribu kwa wadada wawili kwa vipindi tofauti lakini mwisho wake tulipoteza mapenzi na...
  15. JamiiForums Tanzania Maisha ya kutegemea nyumbani, ndugu, wazazi, jamaa na marafiki 'yamewalostisha' vijana wengi

    Hii tabia ya kukaa nyumbani alafu hujishughulishi na issue yeyote ile ya kukuletea pesa imewarostisha vijana wengi. Maisha ya kukaa kutegemea nyumbani, wazazi, ndugu, marafiki na jamaa wawe ndo wanaendesha maisha yako iko siku utakuja kulostiii alafu hutoamini hapa tulipo kuna jamaa yetu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia sasa unaona umuhimu wa kuwa na marafiki wakweli kama Rais Magufuli

    Rais wangu Samia rudi kwenye misingi uliyoianzisha wewe na rafiki yako Magufuli, huyu ndiye rafiki yako mkubwa kuliko wote ulionao. Kubali kukosana na wachache kwa manufaa ya wengi
  17. JamiiForums Tanzania Ahadi za uongo za marafiki

    Amani iwe kwenu. Ninapitia kipindi cha kuumia sana. Hivi rafiki mnayeheshimiana akikuahidi atakusaidia kutatua tatizo lako la kipesa halafu baadae hapokei simu wala hajibu SMS zako na pesa hakusaidii kama alivyoahidi, ila unaona anaweka status tu WhatsApp huwa mnachukua hatua gani wakuu...
  18. JamiiForums Tanzania Kufurahi na marafiki 'club'

    Club ni eneo la starehe linalokusanya watu mbalimbali kupata vinywaji na kuburudika na mziki, usiku kucha. Watu mbalimbali; waajiriwa, wafanyabiashara n.k baada ya kupambana mchana kutwa, katika kujipatia kipato; hutumia muda wa jioni au usiku kwenda kuburudika na vinywaji au kucheza mziki...
  19. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, Mimi na kaka yangu hatuna ukaribu wa hata kujuliana hali lakini kwenye matatizo tunasaidiana sana kuliko marafiki tuliozoeana sana.

    nina kaka yangu alienizidi miaka 8, kiukweli hatujazoeana sana nadhani hii imesababishwa sana kwa yeye kunionea utotoni maana nimekula sana vipigo vyake, hii hali ilinifanya nimchukie na ikapelekea mpaka mawasiliano yetu kuharibika hadi sasa maisha ya ukubwani... nipo karibu na dada yangu. Yani...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa rafiki yake wa muda mrefu Bw. Sergey Brin muanzilishi mwenza wa Google

    Kwa mpenzi wako au mke wako kua makini sana na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa mshikaji wake Bwana Sergey Brin ambae pia ni muanzilishi mwenza wa Google. Baada ya Elon Musk kumtafuna mke wa Brin urafiki wao wa muda mrefu ukafa baada ya Brin kujua Elon anamla mke wake tena anampiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…