Roho za huruma huangusha wengi, japo kwa imani tunaamini tenda wema malipo yaja. Nimewahi msaidia mtu, nikabaki kupigwa majungu na niliye msaidia.
Hiko hivi ni jamaa tunayejuana naye, siku alipohitajika na wakubwa kazini sikuwa karibu yake kwa kuonyesha kujali ikabidi niwaulize watu kadhaa kea...