mapinduzi

  1. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Michael Jackson kupitia album ya kihistoria ya "Thriller"

    Baada ya Michael Jackson kuachia albamu yake ya tano iliyoitwa Off The Wall mnamo 1979, alikatishwa tamaa na mwenendo wake. Licha ya kusifiwa kuwa albamu hiyo ilifanya vizuri hasa kwa kuuza nakala milioni kumi, alihisi kuwa haikuwa hivyo kwa kuzingatia ukweli kwamba haikushinda Albamu Bora ya...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania BBC: Mapinduzi ya mafuta Tanzania yamekwama kutokana na ukosefu wa vituo vya mafuta

    Mapinduzi ya nishati ya magari yanazidi kushika kasi nchini Tanzania, lakini ukosefu wa vituo vya kujazia gesi unalifanya mchakato huo kusuasua. Kama ilivyo kwa Nigeria na baadhi ya nchi nyingine barani Afrika, Tanzania imeanza kukumbatia gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) kama mbadala wa...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hii ni ajabu ya Dunia. Wana CCM wenyewe hawajui ni kwa nini chama chao kinaitwa Chama cha Mapinduzi!

    Leo hapa Iringa kwenye yale mabishano ya mitaani kuhusu siasa nimeshangazwa Sana na wana CCM. Zaidi ya wana CCM 50 niliokutana nao na kuwauliza ni kwa nini chama chao kinaitwa "Chama Cha Mapinduzi" hakuna hata mmoja aliyekuwa na jibu. Kuna wakati taasisi ya Twaweza waliafanya utafiti wa ni...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wakunja ngumi wanaleta mapinduzi Tanzania polepole

    Tulishasema mwaka jana mwezi wa kwanza kwamba misimamo mikali itaingia kama demokrasia ikipuuzwa na yameanza kutimia. Kuna watanzania vijana wengi nje na ndani ya vyama hawapendwezi na mwenendo wa sasa wa upatikanaji wa viongozi kwa njia ya wizi wa kura, polisi na usalama wa taifa na wako tajari...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup: Ukishindwa kujipanga vyema, unapanga kushindwa vyema.

    Mashindano ya Mapinduzi Cup yamejikuta katika sitofahamu baada ya Burundi na Uganda Cranes kujiondoa ghafla, kulazimisha mabadiliko ya mfumo wa mashindano. Hali hii inatoa somo muhimu sana: "Ukishindwa kujipanga vyema, unapanga kushindwa vyema." Awali, Mapinduzi Cup ilitarajiwa kushirikisha...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Timu za Taifa za Uganda na Burundi zajiondoa Mapinduzi cup

    Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burkina Faso Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe Zawadi ya million 100 timu...
  7. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa

    Ehhh wakuu, Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja. Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba, Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mapinduzi kufanyika ndani ya Chama cha siasa ?

    Sijajua hili linawezekana vipi , Ofisi ya Msajili ina watambua watu fulani kama viongozi halali . Inawezekana vipi mtu mwingine kujitangaza kiongozi? Kwani haiwezekani kwa Ofisi ya msajili kuagiza hao watu wanataka fanya mapinduzi kinyume na taaratibu za chama husika kukamatwa Au na hili...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi kama ni ya kumng'oa Mbowe na Machawa wake basi nayaunga mkono, naomba yawe

    Kuna hoja za kijinga ambazo Machawa wa Mbowe wamezianza kuwa kuna mpango wa mapinduzi Chadema. Ni hoja ambazo waliziibua tena mwaka 2013 na bila kujua tuliziunga mkono. Kipindi hiki zimekuja tena baada ya Mbowe kupata mpinzani kwenye kiti chake alichokifanya "Ni chake cha enzi" Yani Uenyekiti...
  10. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

    Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtego unaowakabili chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa 2025

    Hello! Natumai mu wazima! Nchi ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni yetu sote watanzania ila kitu kibaya kuna baadhi ya kundi dogo la watu kuona nchi hii ya Tanzania inapaswa kuwa mali yao binafsi. Hilo ni kosa kubwa kwa chama tawala kudhani wao ndio wanapaswa kutawala nchi hii miaka yote...
  12. N

    JamiiForums Tanzania NATANGAZA NIA YANGU YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI IFIKAPO 2025 PANAPO MAJALIWA YA MUNGU.

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM ) na kushindwa kuhifadhi Historia kwa ufasaha

    Kwa hivi karibuni kila Mtanganyika na Mzanzibari ameshuhudia Serikali inayoongozwa na CCM ikiwa ni kinara wa kuendelea kuwasahaulisha kizazi hichi kipya historia mama ya Nchi yao Iliyo ni tunda la Muungano yaani Tanzania. Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zimekuwa kama ni hisani, hazipewi kabisa...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba atachukua kombe Gani, mapinduzi cup ikichezwa na timu za taifa

    Mtani amepata pigo lingine, baada ya kichaka alichokuwa anajificha la kuchukua kombe la mapinduzi kucheza na timu za taifa Tujikumbushe mafanikio ya mtani aliyosomewa kwenye mkutano mkuu ni kama ifuatavyo 1. Bingwa kombe la Mapinduzi 😀 2 Whatsapp channel 😀 3 Kibegi Mtani Sasa rasmi hatapata...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup 2025 kushirikisha timu za taifa sio vilabu tena, bingwa kuondoka na Tsh. Milioni 100

    Wakuu ZFF wamekuja na mfumo mpya wa Mapinduzi Cup! Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa 2025 itashirikisha timu za Taifa na sio vilabu kama ilivyozoeleka ambapo michuano hiyo itachezwa kwa mtindo wa makundi, nusu fainali na fainali itakayopigwa Januari 13, 2025 na mechi zote zitapigwa katika...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Syria wakati kamanda mkuu wa mapinduzi na viongozi wenzake wanatambulika na Marekani kama magaidi

    % kubwa ya hawa makamanda walioongoza haya mapinduzi ni tawi la Al- Qaeda (Kikundi cha Waislam wenye itikadi kali) ambacho Us alisema ni MAGAIDI. Al- Qaeda ingawa kwa sasa hawavumi sana lakini bado wamo na wanamatawi yao km IS nk. Je US atakuwa tayari kufanya kazi na MAGAIDI wakati kwake...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Ufaransa yapoteza udhibiti mwingine wa mgodi wa Uranium nchini Niger

    Kampuni ya Orano ya nchini Ufaransa imepoteza udhibiti wa mgodi wa Uranium wa Airlit wa nchini Niger uliokuwa ukiendeshwa na Kampuni tanzu ya Orano iitwayo Somair. Orano ambayo ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya Ufaransa, ilikuwa inamiliki asilimia 63.4 ya hisa za Somair huku serikali ya...
  18. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Double Standard: Kwa mwaka huohuo mmoja wa kalenda, Sherehe za Mapinduzi Zanzibar sawa, ila Sherehe za Uhuru wa Tanganyika hapana

    Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa. Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya namna huku vijijini Matombo wananchi tukasherehekea? Wadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
  19. N

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sababu za CCM kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa ya mwaka 2024

    1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025. Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji mkono wa ccm. 2. Maandalizi ya mapema. ccm ilifanya tathmini ya viongozi waliopo na kuandaa wagombea...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Niger yaisababishia hasara kubwa kampuni ya uchimbaji URANIUM kutoka Ufaransa

    KAMPUNI ya Orano kutoka nchini Ufaransa imepata hasara kubwa kulingana na taarifa yake ya fedha ya nusu mwaka ( Januari hadi Juni 2024) iliyochapishwa na Yahoo Finance. Taarifa hiyo inaonesha kwamba kampuni hiyo ilipata faida ya Euro Milioni 12 pekee ikilinganishwa na faida ya Euro Milioni 260...
Back
Top Bottom