mapepo

  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwanini wazungu na matajiri hawaangushwi na mapepo?

    Nalikuwa kijana sasa ni mtu mzima sijawahi ona mzungu kaangushwa na mapepo ama tajiri akiombewa mapepo yamtoke! Walokole kwa aina zenu FPCT,TAG,UFUFUO,MUNGU WA BENDERA,MASANJA MKANDAMIZAJI CHURCH,GEODAVY CHURCH,MWAMPOSA CHURCH mtusaidie. Hao wenye mapepo ni ngumu sana kuwaona romani katoliki...
  2. Sifi Leo

    Mapepo yaliyotolewa na Makonda yalimwingia nani? Sasa we Gambo unabisha, ulikuwepo?

    Sasa wewe Gambo unabisha Makonda hakutoa mapepo, unabisha ulikuwepooooo? Je yalienda wapi mapepo hayoo? Ila siasa ni konyo wasemavya wapemba
  3. DuaZaMama

    GE2025 Tazama Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Paul Makonda akitoa watu mapepo

    Leo Safina, tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikidhihirika kupitia mtumishi wake Paul Makonda Kwa jina la Yesu Kristo, pepo wameondoka na watu wengi wamepata uhuru wa kweli. Kama maandiko yanavyosema, ‘nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru’ (Yohana 8:32). Hakika Mungu yupo pamoja nasi.”
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Mbungwa: Ngoma ya Mashetani na wenye mapepo. Kula Chuma hicho.

    MBUNGWA: NGOMA YA MASHETANI NA WENYE MAPEPO. KULA CHUMA HICHO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Narudisha miaka yangu nyuma kidogo. Kumbukumbu zinanichukua na kunipeleka kwa kasi kisha zinapunguza mwendo kwa kasi, polepole naanza kuyaona matukio ya mwaka mpaka mwaka kuanzia miaka ya 1995 mpaka...
  5. A

    Nini maana yake? Kuota unafanya mapenzi

    Wakuu Kuna hili swala Nimekuwa nikilisikia mara kwa mara na watu wanasema ukemee hilo swala la kuota unafanya mapenzi sababu unafanya mapenzi na wàchawi Ila Mimi sikua nakemea sababu sioni kama ni sahihi Kila mtu anatafsiri yake ya ndoto Mfano redioni siku hizi hata station kubwa hapa bongo...
  6. Pdidy

    Mapepo yanaweza kukuingia ukiwa na uchungu moyoni. Samehe ondoa huo uchungu

    Soma waefeso 4.mstari wa 26 na 27 ondoa moyoni..uchunguu kuna mtu moyo wake sa hii umejawa maumivuu ondoa huoo uchunguu Mungu akubariki Akutie nguvu
  7. ELI COHEN

    Cameramen huwa hawaanguki na mapepo, njia ya kwenda kwa mganga imejaa masikini ila we unatoka mjin kufata utajir kwake, ishara ni nying ila mwafrika🤣

    Tunahangaika na vitu ambavyo tunataka vi-prove kitu kwetu wakati hata vyenyewe binafsi haviwezi hata kuji-prove.
  8. a sinner saved by Christ

    Sababu ya wanawake wengi wa kikristo kuanguka/kulipuka mapepo wanapo ombewa ,kuliko ilivyo kwa wanaume

    Ni sababu ya mapambo mengi ambayo mwilini mwao kuanzia kwenye nywele kichwani mpaka kwenye kucha za miguu. MAPAMBO YOTE HAYO YANAFUNGUA MLANGO WA KUMILIKIWA NA MAPEPO/MAJINI/KUZIMU. Kwa sababu Mungu hapendezewi nayo na hayatokani na Mungu bali yanatokana na kuzimu/roho ya uasi./mapepo/majini...
  9. Setfree

    Yajue mapepo yanayosababisha ndoa kuvunjika

    Ndoa ni agano takatifu linalomuunganisha mwanaume na mwanamke mbele za Mungu. Hata hivyo, ndoa nyingi zimevunjika au zimejaa migogoro mikubwa isiyoelezeka, kiasi cha kuwafanya wengine wafikirie kukataa ndoa. Matatizo ya ndoa wakati mwingine chanzo chake ni cha kiroho. Biblia inatufundisha kuwa...
  10. Setfree

    Kusinzia Kanisani ni Dalili ya Kuingiliwa na Mapepo

    Kusinzia ni jambo la kawaida kwa mwanadamu aliyechoka. Lakini kusinzia wakati wa ibada, hasa wakati Neno la Mungu linafundishwa, sio jambo la kawaida kiroho. Ni dalili ya mashambulizi ya kipepo, yanayolenga kuzima roho yako usipokee Neno la uzima. Ukweli huo unathibitiswa na Marko 1:23...
  11. R

    Nini hutokea kichaa kisababishwacho na mapepo kinapompata Mwanadamu?

    Salaam, Shalom! Aina ya ukichaa ninayoiongelea Leo, ni tofauti, SI Ile inayotibika hospitalini, Aina hii ya ukichaa ni Ile ambayo madaktari hupima Kila kitu na kuona kipo sawa, wasione ugonjwa wowote, lakini mgonjwa Hali ni Tete. NINI HUTOKEA KATIKA AINA HII YA UKICHAA. Pepo au jini...
  12. chiembe

    Gwajima akitumia mafuta ya kutoa mapepo yanayotengenezwa na Sheikh Mwaipopo, yanaweza kumsaidia kutoa mapepo yanayomsumbua

    Nashauri watu walio karibu na Gwajima wamshauri amuone Sheikh Mwaipopo amsaidie dawa ya kuondoa mapepo. Sheikh huyu anauza mafuta ambayo yanasaidia kuondoa mashaitwani. Nina imani yanaweza msaidia Gwajima kwa tatizo hilo
  13. R

    Ninyi wahubiri wakristo hebu sasa acheni kutuaibisha. Yesu alikuwa anakemea mapepo masaa na na masaa au ilikuwa ni AMRI MOJA, ONDOKA?

    Mnafanya mambo ya upumbavu. Kwa damu ya Yesu × 500, kwa jina la Yesu x 400, toka toka toka x600. Kwa damu ya mwana kondoo x500 ....n.k. Huo ni upumbavu na hao wanaojazana humu nao ....... Yesu wala mitume hawakufanya ujuha huo. Ninyi ni wanamazingaombwe tu. BIBLIA ILISHAWEKA WAZI NINYI...
  14. comrade_kipepe

    Hakuna majini wazuri, yote ni mapepo machafu

    Kuamini kwenye MAJINI ni dalili za uchawi
  15. Meneja Wa Makampuni

    Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO

    Yesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote "Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41 Katika ulimwengu wa kiroho, kuna vita visivyoonekana vinavyopiganwa kila siku kati ya nuru na giza...
  16. Komeo Lachuma

    Muhamad aliporogwa na kukumbwa na mapepo. Alijitahidi pia kuyafanya majini yawe Maislamu dhabiti

    Hadith Inayohusiana na "Uchawi"Hadith inayojulikana zaidi kuhusu suala hili iko katika Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim, ambazo ni vyanzo vya kuaminika zaidi vya Hadith katika Uislamu wa Kisunni. Hadith hii inasimulia tukio ambapo Nabii Muhammad alidaiwa kurogwa (kufanyiwa uchawi) na mtu wa...
  17. Setfree

    Zijue dalili za kuvamiwa na mapepo

    Dalili za kuvamiwa na mapepo zinaweza kutofautiana kulingana na aina ya mapepo na kiwango cha uvamizi. Kulingana na Biblia na mafundisho ya Kikristo, dalili zinaweza kuwa za kimwili, kiakili, kihisia, na kiroho. Nakutajia hapa baadhi ya dalili kuu: 1. Dalili za Kiroho: Chuki au upinzani mkali...
  18. Just Pray

    Wanawake wawili wakimbilia polisi baada ya kutolewa mapepo kwa kuchapwa viboko

    Waumini wawili wanawake, Mercy Rono (38) na Mercy Cherotich (30) kwa sasa wanauguza majeraha baada ya kutandikwa viboko na mchungaji wao, aliyedai kuwatoa mapepo kwa njia hiyo. Kwa mujibu wa tovuti ya Tuko, tukio hilo limetokea kwenye Kanisa la Betheli katika eneo la Kapkwen, Kaunti ya Bomet...
  19. ngara23

    Mchungaji auliwa na muumini aliyepandwa na mapepo

    Mchungaji wa Kanisa la Agule Pentecostal Assemblies of God (PAG), Wilaya ya Serere, Uganda, John Michael Ekamu (52) amefariki Dunia baada ya kushambuliwa na muumini anayedaiwa kuwa na mapepo wakati wa lbada ya mkesha wa Krismasi Wakati wa maombi ya mkesha huo, muumini huyo, anayejulikana kwa...
  20. OMOYOGWANE

    Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

    Eeeh wakuu mpo? Ktk huu uzi nitazungumzia kuhusu majini kiimani na kisayansi kulingana na experience niliyonayo ila pia mtu yeyote anaruhusiwa kuchangia kulingana na kile anachokijua au alichoeahi kukiona Majini ni nini? Majini kiroho ni viumbe hai wanaoweza kuishi ndani ya mwili wa...
Back
Top Bottom