mapenzi

  1. B

    JamiiForums Tanzania "Mo Dewji na Simba: Mapenzi au Biashara?"

    Habari.... Utangulizi Mo Dewji ni mmoja wa wafanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika. Alipoamua kuwekeza kwenye Simba SC, wengi walijiuliza kama uamuzi wake ulikuwa kwa sababu ya mapenzi ya timu au ni sehemu ya biashara yake. Ukweli ni kwamba, uhusiano wake na Simba unachanganya mapenzi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi na mwanafunzi (ngono ya jinsia tofauti)wa Shule si kosa kisheria

  3. JamiiForums Tanzania Ugumba/kutokushika mimba ni kati madhara ya mapenzi kinyume na maumbile ambayo sijawahi isikia ikizungumzwa.

    Mara nyingi watu huzungumzia madhara ya kuvaa pempas kwa anaefanyiwa au kuziba kwa mirija kwa anaefanya, ila nimeshangaa kuona pia kitendo hiki hupelekea mwanamke kutoshika mimba. Mwanaume anapomwaga, kwakua eneo lile sio sahihi, mwili hutengeneza ant-bodies kujilinda, kitendo hiki kinafanya...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake Jambo gani mnafanya kwenye mapenzi ili tu kumridhisha mwanaume wako ila husikii raha yoyote?

    Mmekuwa na lawama nyingi mara hatuwezi kazi, mara haujafika kileleni. Mara nyingi hampo open na hili sio tatizo lenu ni malezi ya jamii. Hapa hamjulikani tuambiane kipi mnafanya tu kwenye sex ila hakina effects zozote kwenu. Wanaume tupo open saana linapokuja suala la mapenzi. Share mambo...
  5. JamiiForums Tanzania Wasukuma na Mapenzi

    Wadau, kuna fununu nimekuwa nikizisikia kutoka mitaani na mitandaoni kuwa Wanawake WAKISUKUMA siyo mafundi katika suala zima la Mapenzi, Watu wengi wanafananisha level ya Wasukuma kuwa ni sawa na ile ya wanawake wa Kenya, .. Hebu wadau saidieni hapo, huu ni ukweli ( in general ) au ni fununu...
  6. JamiiForums Tanzania Mapenzi yanayo pendezesha mwili

    Wapo wanaoingia kwenye mahusiano na kuambulia kukongoroka mwili, mwili kupungua na kupoteza nuru. Na wapo wanaoingia kwenye mahusiano na mtu fulani, na kujikuta mwili unaongezeka na kuwa na mvuto mzuri. Sasa utajuaje, mpenzi uliyenaye anaweza kuufanya mwili wako unenepe na kuonekana mzuri...
  7. JamiiForums Tanzania Mapenzi bwana ,Man down

    Usimkabidhi mwanamke Moyo wako over
  8. JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shattered Evil: Light And Shadow

    SHATTERED EVIL:LIGHT AND SHADOW MTUNZI:KAILOJONHJO.  UTANGULIZI SHATTERED EVIL: LIGHT AND SHADOW Ni simulizi inayochanganya ,mystery, fantasy,mapenzi, ujasusi Miaka ya zamani watu walisifika sana kua na nguvu iyo ilitokana na kua na upeo mkubwa wa akili mpaka...
  9. JamiiForums Tanzania Mapenzi ni moto (I never undermine sex )

    Naweza kusema nitakataa kila aina ya udhaifu na uraibu lakini kwenye Mapenzi hapo naomba mniweke tu, sitajisikia vibaya. Jitahidi uwe mjuzi na mkufunzi kwenye hili... Mapenzi yanapasua miamba Ila hatari ni moja kwenye hii sector watu wanachezewa akili (mind game) hatari sana, na wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Mkishafika katika kilele cha Mapenzi moto moto huwa kinachofuata ni kuachana/Anguko la penzi lenu au mmoja kujivika upoyoyo, Msiseme sikuwaambia

    Habarini, watu hudhani wanapofika kilele cha mapenzi na upendo moto moto basi hali hiyo itadumu mpaka mwisho wao ila ukweli mchungu ni kwamba mkishafika stage hiyo mna machaguo mawili tu yaliyoainishwa kwenye kichwa cha habari hapo juu.
  11. JamiiForums Tanzania Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Kuna baadhi ya watu huja kwenye maisha yako kama zawadi... lakini wengine huja kama darasa la maumivu. Na darasa hili lilinifundisha kuwa… mapenzi si ya waliokomaa tu, bali ni ya waliovunjika na wakaamua kupona. Hii ni hadithi yangu. Ya kweli. Niliipenda kimya, nikaamini ni dua yangu ikijibiwa…...
  12. JamiiForums Tanzania Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu

    Huu ni utafiti wangu binafsi naomba mwenye pingamizi aje kwa comment. Asanteni Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu
  13. JamiiForums Tanzania Je kuna madhara gani kufanya mapenzi na mtu aliye hedhi/period? Je Kitaalamu na Kiimani

    Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Sababu mara 4 nshawahi chuja nafaka of course nlivaa mpira maana nliona imenijia nafasi siwezi iacha nikala mzigo hivyo hivyo. Je kwa imani ya dini zetu na kiafya imekaaje? Mkumbuke zamani walikuwa hawana condoms.
  14. JamiiForums Tanzania Leo nimeaibika kwenye tendo

    kifupi ipo hivi niliachana na demu wangu last year nikawa ni mtu wa nyero na kununua madanga, hivi karibuni nimepata demu , Leo nilikua nae kwenye show baada ya bao la kwanza mashine ikasinyaa nikakaa kama nusu saa ikawa fresh tena ila Sasa kwenye bao la pili sikumwaga mpaka pumzi ikaniishia na...
  15. JamiiForums Tanzania Nimekoma mimi - Why mapenzi bado hayajafutwa?

    Nimepatikana aiseeh, mapenzi ni upumbavu tu 💔❤️‍🩹, 2025 uwe mwaka wa mwisho wa mambo ya kupendana. Kama ni lazima sana, basi tubaki na ngono tu kwa ajili ya kuzaliana ila mahusiano yasiwepo. Mapenzi ni ujinga Mapenzi ni mateso Mapenzi ni maumivu Mapenzi ni utapeli Mapenzi ni uhayawani Mapenzi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hii staili katika mapenzi huwa inakupa changamoto gani?

    Ni staili moja tamu sana haswa mtoto mkali anapokuwa msafi, na pia uwe wewe peke ako ndio unamchumisha Ebu tuambie wewe inakupaga shida gani hii staili? Ruksa wote wanaume wa kwa wanawake kucoment Staili inaitwa "mbu kauma taqo" 😅
  17. JamiiForums Tanzania Usiingie ktk mahusiano ya mapenzi ukitegemea utafurahishwa kila kitu na uliyenaye

    Usiingie ktk mahusiano kwa kutegemea mtu uliyenaye atakufurahisha kwa kila kitu . Binadamu yeyote mpe asilimia 50 tu zengine bakiza kwaajili yako , ukiwa na expectations kubwa na mtu trust me lazma uwe disappointed
  18. JamiiForums Tanzania Utamu wa tunda la kati - Part 2: Nilivyolia kama mtoto mdogo

    NRNE - Hii ni nyuzi ya mapenzi kama hupendi hizi mada, achana nayo, USIIFUNGUE. Tunaendelea ilipoishia kwenye simulizi ya kwanza - Utamu wa tunda la kati - Part 1 - nitasimulia kijana wa pili aliyeniliza na ilikuwaje. Bahati mbaya mimi na Samy wa Part 1 tuliachana sababu ya tofauti za dini...
  19. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kufanya mapenzi na wanawake au wanaume wawili kwa wakati mmoja?

    Leo majira ya saa sita mchana niliingia lodge moja na kuwaamuru wale wadada wanaojiuza waje wawili niwashugulikie,nimetumia masaa matatu ndipo wote kwa pamoja wakaridhika na nimewaachia namba yangu ya simu. Ushawahi kufanya mapenzi na wanawake wawili kwa mpigo,ilikuwaje? Ushawahi kufanya ngono...
  20. JamiiForums Tanzania Kuamini pasipo aminika

    Kosa langu la kwanza kuamini moyo, kwenye Dunia ya mapenzi isiyompa makazi ya kudumu mwanaume asiye na pesa. Kosa la pili kuishi kimazoea, dhidi ya kiumbe niliyetakiwa kuishi nae kwa akili. Kosa la tatu niliamini naweza kumtuliza kwa kumjali sana. Na kufuata maagizo ya jando ninapokuwa nae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…