mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

    Wanajamvi salaam! Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Inasemekana kuwa katika maeneo nyeti ambayo huleta msisimko kwa wanaume zaidi ya asilimia 50 ni eneo la chuchu, hii ni kwa utafiti usio rasmi. Je katika tamaduni zetu hii imekaaje? Je ni sahihi kwa mke au mpenzi kumnyonya chuchu mwanaume...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu tafadhali acha kuteseka kwa ajili yetu sisi wajinga

    Ukweli, sisi unaotupigania hatujui tunataka nini; wengi wetu ni keyboard warriors, tunahamasishana mitandaoni. Lakini, on the ground, wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu. Tunakukumbuka siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbukizi, Makonda aliwahi kusema wafanyabiashara wengi wanaichangia CCM sababu ya hofu

    Hii ni kauli ya Paul Makonda akizungumzia wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilazimika kukichangia Chama cha Mapinduzi ili kuepukana na shari ambazo wanaweza kupata ikiwa watakataa. ''Wafanyabiashara wengi wanakichangia Chama cha Mapinduzi sio kwasababu wanakipenda sana ni kwa sababu ya hofu, Na...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

    Wakuu mko salama? Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence) Nini maana ya Queefing?? ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba. Utajiuliza...
  5. JamiiForums Tanzania Amnunia mkewe kwa miaka 20 baada ya mwanamke kuhamishia mapenzi yote kwa watoto

    Wakuu, Kuna huyu mwanaume huko nchini mwaka 1997 alimnunia mkewe kwa takriban miaka 20 baada ya mwanamke wake kupata mtoto wa kwanza na kisha kumsahau kabisa mumewe baada ya kuhamishia mapenzi yote kwa watoto. Katika mnuno huo, huyo mwanaume ambayo ambaye jina lake ni Otou Kattayama alikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

    Vipi huko kwenu mahaba yapo au mnapelekwa kijeshi jeshi tu? Wanawake tuambizane ili tujifunze mapya, vipi huyo mpenzi anakuonyeshaje mahaba kitandani na nje ya chumbani? Pia kwa nyie wanaume, wake / wapenzi wenu huwa wanawafanyia nini cha kuwanogesha? Huyu wangu mbali na kunifanya nirushe...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume, biashara gani ni nzuri kumfungulia mapenzi wako?

    Toa sababu na maslahi yapi kwa familia Yako 👇👇👇
  8. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hakuna kiu/dhana mapenzi

    Kataa ndoa wapo sahihi miaka dahari.Asubuhi ya leo nimeamka na tafakuri kuhusu dhana nzima ya mapenzi na mahusiano. Katika tafakuri yangu nimeona ya kwamba neno mapenzi lipo kisiasa zaidi lakini hakuna binadamu anaweza kulitenda ipasavyo. Mwenye kupenda ni Mungu maana Mungu atakupenda kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kuumizwa na mapenzi mwisho miaka mingapi?

    Wakuu ,,,hivi mwisho wa mtu KUUMIZWA na MAPENZI ni miaka MINGAPI?.. Mimi sasa naona nimezidisha over 30yrs na bado nasagishwa rumba napelekwa mpera mpera!....
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Magari used

    Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo. Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa. Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena. Kila akikuona nalo...
  11. JamiiForums Tanzania Greyson Babishomba awapa tip wanaoteseka na mapenzi: Zibeni tundu moja la pua

    Wakuu! Greyson Babishomba amekuja na dawa ya Wanaoteswa na mapenzi "Wanaoteswa na mapenzi wazibe tundu moja la pua na kupumua kwa kutumia tundu hilo moja, Hii husaidia kuondo maumivu ya kichwa na kuondoa msongo wa mawazo"
  12. JamiiForums Tanzania Kama two months hivi ago, nikanasa penzini kwa mtoto wa 2000

    Nasemaje MAPENZI NI UZWAZWA..... Kama two months hivi ago, nikanasa penzini kwa mtoto wa 2000. Nimekula mara ya kwanza ,ya pili juzi hapa mara ya 3. Dogo mtamu balaa... Yaani asali mbichi bila maji. Kitumbua inabana balaa sio kama zile za MISHANGAZI zinazo nyampaaa... Sasa juzi banaaa...
  13. JamiiForums Tanzania [SIMULIZI] Yule Ex Aliyeniumiza Vibaya Amerudi Kama Adui Yako Kibiashara... Utamfanyaje? - Agano Lililovunjika!

    Habari zenu wanajamvi wenzangu! Shimmy wenu niko hapa. Leo, nataka tuingie kwenye safari kidogo. Hebu nikuulize kitu, shemeji. Umeshawahi kumpenda mtu kiasi kwamba unajua fika huyu ndiye wako, lakini dunia, familia, au hata uoga wako mwenyewe ukasimama kati yenu? Umeshawahi kujiuliza "what if?"...
  14. JamiiForums Tanzania Kufumania, wivu wa mapenzi na drama kama hizo ni ushamba wa karne ya 21

    Nimejaribu kufatilia kwa muda sasa na pengine ni sahihi kabisa na baadhi ya jamii za kale zilielewa haya mambo in deep tofauti kabisa na wanaojiita wasomi wenye madegree na maPhD ya kileo. Jamii kama Wamaasai hawa viumbe wako soo real katika swala la kuzagamuana na kula mbususu.Imagine mwanaume...
  15. JamiiForums Tanzania Wazazi, Mnamfundisha Mtoto Kuishi au Kuwa Mshika Maandishi? – Usimjengee Akili, Ukauwa Ujasiri Wake

    Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau: Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
  16. JamiiForums Tanzania Mapenzi yamenitesa nasema sasa basi

    Habari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake wakiogopa kuniambia ukweli na Kila nilimuuliza ananiambia Yuko kwao lakini vitu vyake vyote ameacha ndani...
  17. JamiiForums Tanzania Wakulungwa hii inaitwaje Kiufundi?

  18. JamiiForums Tanzania Utamu wa tunda la kati - Part 3: nani alivunja rekodi yako ya raha?

    Muendelezo wa simulizi za maisha yangu ya ujanani na mapenzi. Leo acha niwasimulie kuhusu kijana aliyevunja rekodi zangu za raha, akanivuruga kidogo nichanganyikiwe - pia nakujibu swali lako @ 26 Life ******* Pita pita huku na kule nikakutana na huyo mkaka, nikamdate na ndiyo akawa...
  19. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane. Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi...
  20. JamiiForums Tanzania Mastar wa wanateseka na mapenzi, Tuwashauri

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari tajwa, Mastar wanavyoteseka na mapenzi... Tuanzie hapa BONGO kwetu, BONGO kama BONGO, yaani ukija kwa wasanii wakubwa kama ZUCHU analia jamani huko anapigwa matukio kisawasawa... Pamoja na U STAR wake yaani hana furaha na malovee, kashapigwa tukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…