Bhana nimecheka sana, kuna rafiki yangu kipenzi anamadharau sana, akimwona mwanaume hajajiweka sawa anamcheka na akimfuata anamkimbia au anadai kaolewa.
Kuna huyu mkaka wako majirani kikazi, yaani ofisi zao zinaangaliana, huyu kaka alimfukuzia best yangu tokea kitambo ila yule dada alikuwa...