mapenzi

  1. C

    Hivi mapenzi yanaweza yakasababisha kijana usifikie ndoto zako?

    Hivi wakuu, mapenzi yanaweza yakasababisha wewe usifikie ndoto zako kama kijana wa kiume?
  2. Raha ya mapenzi uingie mzimamzima!

    Kuingia mzimamzima ndio utamu wake ni kama dimbwi unajitupia tu pwaaaaa! Sio unaingia kwenye mapenzi mguu nje mguu ndani,hiyo haifai hutafaidi na unakuwa unajishitukia na hofu zisizomaana!. Hata Kama ni ya uongo we ingia mzimamzima tu ule mema ya dunia maisha ni mafupi haya ukizubaa yatakukula...
  3. Mzazi mwenzangu bado ananitaka licha ya yeye kuolewa

    Wakuu! Nimeandika haya ili wakujifunza ajifunze na wakupuuzia apuuzie hasa vijana ambao hamjaoa. Miaka saba iliyopita kabla sijamuoa Mke wangu kipenzi, tukiwa wachumba. Alitokea mrembo mmoja kutoka Geita, mimi nilikuwa chuo wakati huo yeye naye alikuwa chuo pale NIT Dar es salaam. Hapa na...
  4. Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 01 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email: xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- UTANGULIZI; MAPENZI ni moja kati ya njia ambayo kila binadamu anapaswa apitie. Ni njia ambayo haina muonekano halisi ambao unajulikana. Kila mtu anaonja radha yake katika...
  5. Kwanini uliamua kufanya mapenzi na Mke/Mume wa mtu?

    Baadhi yetu mtaichukulia hii posti kama ni ya ujinga flani hivi. Ila nadhani wachache watanielewa ninachomaanisha. Kila mtu anajua kuwa mke wa mtu / mume wa mtu ni sumu lakini katika mazingira yaliyotuzunguka unaweza ukajikuta umeangukia katika mikono hiyo ambayo sio salama hata kidogo...
  6. Kwanini mauwaji mengi kwa sasa yanatokana na wivu wa mapenzi?

    Miaka ya zamani ilikuwa ukimtongoza mwanamkee anakukubalia badaa ya miaka miwili hadi mitatu hivyo unakuta unapata kumjua vizuri pia kama ni wivu kuna muda unaupata na unajifunza kuimili Sasa kwa kizazi cha 1999 hadi sasa na kutokana na sayansi huria unapata demu instagram asubui na jioni...
  7. Mapenzi na pesa, money always win

    Kila zama na mambo yake...! Ndio,zama hizi zenye kile kinachoitwa utandawazi, wenye kila aina ya taarifa unayotafuta, Wenye kila aina ya mambo mapya. Siku hizi imekuwa kama desturi kuwa mtu lazima ukiingia ndoani mwenza wako awe tajiri. Yaani automatic mke amkute mume tajiri..! Utaskia mdada...
  8. S

    Mapenzi ni shida...

    Nimetokea kumpenda binti mmoja wa kutoka pwani, yaani tumekuwa katika ma love yapata miezi minne sasa lakini muda wote tumekuwa tuki kiss na kupeana maraha bila ku sex. Ijumaa iliyopita tukaenda hotelini ili kupata fargha zaidi,kufika ndani bi dada aliona ile ilikuwa surprise kwake na...
  9. S

    Mapenzi ni kitu hatari Jamani, huyu dada hitaji lake hasa ni nini?

    Nimetokea kumpenda binti mmoja wa kutoka pwani, yaani tumekuwa katika ma love yapata miezi minne sasa lakini muda wote tumekuwa tuki kiss na kupeana maraha bila ku sex. Ijumaa iliyopita tukaenda hotelini ili kupata fargha zaidi, kufika ndani bi dada aliona ile ilikuwa surprise kwake na...
  10. Uko upande gani?

    Utafiti wa Taasisi ya Kinsey Indiana University Marekani umehitimisha kuwa Mwanaume uchepuka kwenye uhusiano/ndoa yake ni dalili ya kuwa na akili ndogo (low IQ), "Wanaume wenye akili kubwa muda wa kuwasaliti Wapenzi au Wake zao hawana kabisa, wanatulia na Mtu mmoja"
  11. Wanawake walio kwenye mahusiano na matajiri ni ushahidi tosha mapenzi sio pesa, pesa inalazimisha mapenzi

    Ni wanawake wachache sana wanaweza kuukwepa mtego wa pesa za mwanaume anaehitaji kuwa na mahusiano nao. Hii ni kwasababu pesa hio ndio tatizo kuu la dunia, tunaitafuta kila siku na ni ngumu kuipata na bila hio pesa maisha yanakuwa magumu. Hivyo ni kazi sana mwanamke kukwepa hili hasa...
  12. Hii ni spesho kwa wanaume wote ili kuepuka kulia katika mapenzi

    Jamani wanaume wenzangu ulimwengu umebadilika sana kwa sasa, zamani ilikuwa tuvumiliane wakati wa shida na raha, siku hizi pesa kwanza mapenzi badaae, asije akakudanganya mwanamke eti anakupenda hivyo ulivyo. Hapana wanawake wa sasa wanataka mwanaume problem solver na yule wa kuafford matatizo...
  13. Umewahi kuishi na Mwanamke mjuaji?

    Wakuu habari za time hiii. Nina kipengele kimoja kigumu sana, Je ulishawahi kuishi na mwanamke mjuaji? Kama ulishawahi ulitumia njia gani kuminimize kama so kumaliza kabisa tatizo. Asanteni
  14. Ewe mwanamke, tupe mkasa wako ulivyompenda mshamba wa mapenzi, ukamrahisishia lakini bado tu anahangaika

    Kuna wanaume wanatokeaga kupendwa sana na wanawake lakini kwa sababu wana ushamba wa mapenzi, mwanamke anatokea kufanya shughuli kubwa mno ili kumrahishia mwanaume kazi lakini bado mwanaume huyo anakuwa hajui kinachoendelea. Ewe mwanamke, kama uliwahi kukutana na hali hii, mwaga mkasa wako hapa
  15. 2

    Msaada Wenu: Uliwezaje kupita salama mpaka Ndoa kwenye Mapenzi ya namna hii?

    Habarini za jumapili
  16. R

    Ni mambo gani yanadhihirisha utayari wa mwanamke kuingia katika mahusiano ya ndoa/ mapenzi?

    Habari za mchana wakuu wa MMU. Natumai mpo salama na mnaendelea vyema kabisa na majukumu ya hapa na pale. Lengo kubwa la uzi huu ni kutaka kujua ni ishara gani au ni vitu gani vinadhihirisha kwamba mwanamke yupo tayari kuingia katika mahusiano ya kimapenzi/ndoa. Nimeuliza hivyo kwa sababu kila...
  17. Mapenzi ya udanganyifu ndio mapenzi yanayodumu

    Mapenzi mazuri lazima mwanaume uwe na kamba kamba ujanja janjaa mana kwa hali ya sasa ukiwaweka wazi dada zetu kwa kila kituu ataishia kupiga punyeto Lazima ujitutumue kama mwanaume uwe unachaneli za kweli au za kijanja janjaa hata ukilala njaa mpenzi akikuliza umekula nini mwambie kuku nusu na...
  18. A

    Sijisikii vizuri lakini nimepima sina UKIMWI

    Naombeni ushauri Maana toka nimefanya mapenzi na huyo mwanamke nimekua nikiugua ugua tu nishaenda kupima nikakutwa Niko vizuri sijajua shida ninini?
  19. Safari ya mahusiano (mapenzi)

    Nisizunguke sana, acha niende kwenye mada.. Hii story niya kweli kumuhusu binti mmoja nilie mtongoza. Kawaida yangu huwa story zangu niza back story nani mambo ya kweli. Napenda sana drama ndio maana huwa nakua na msukumo sana wa kuja kuandika hapa JF. Matukio yalikua hivi.. kuna kipindi...
  20. B

    Haya sio Mapenzi bali Uroda

    Ebwana eheee nimeoa miaka Saba iliyopita lakini cha kushangaza sasa kila siku unaambiwa mapenzi yazidi kuongezeka na sasa si mapenzi tena Mwanaume mwenzenu napata uroda. Asubui nikiamka nakuta maji bafuni zamani maji ya kuoga alikua anayaunga na karafuu Ila sasaivi ameongeza anaweka majani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…