mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Nimekaa miezi 6 bila kufanya mapenzi nilikuwa na furaha na amani, wiki iliyopita nimefanya nilijisikia vibaya siku 4.

    Hapo vip! Ipo hivi mimi ni mwanaume ambaye mapenzi sana sio kipaumbele kwangu. Na nikikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi nakuwa na amani na furaha sana kwenye maisha yangu pia nakuwa mtu wakufocus sana na mipango yangu,najiamini sana,najiona nipo salama sana,pia spirituality nakuwa na nguvu...
  2. O

    JamiiForums Kenya Mapenzi Yageuka Moto – Valentine’s Eve Shock

    On the eve of Valentine’s Day, a 3rd year student alichomwa na girlfriend wake kwa hot water after she suspected him of talking to his ex. Msichana huyo amekimbia na KSh 318,000, akiacha mwanafunzi huyo akiwa na majeraha. Tukio hili linaonyesha hatari za toxic relationships na kwanini safety...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya kuzoea kufanya mapenzi kuna uwezekano wa kuacha kabisa?

    Wadau naomba mnisaidie mawazo yenu kwa jambo hili. Kama mtu tayari ameshawahi kushiriki mapenzi mara nyingi na amezoea, je kweli inawezekana kuacha kabisa kwa maamuzi yake mwenyewe? Ukweli ni kwamba wakati mwingine hisia zinakuja ghafla, mwili unahitaji bila hata kupanga. Ndiyo maana...
  4. JamiiForums Tanzania Tafiti zanaonyesha wanaume weupe hawapendi mapenzi

    Hapo vip! Kuna utafiti mmoja umefanywa na shirika moja la kimarekani,linasema wanaume weupe hawapendi ngono sana kama wanaume weusi. Wanasema wanaume weupe wanapenda sana kumiliki vitu vizuri kama mali,biashara kubwa,technology,utawala ,magari mzuri,majumba ya kifahari n.k Wanasema ndio maana...
  5. JamiiForums Tanzania Arsenal inanitesa. Mapenzi yananitesa. Mi nitakua mgeni wa nani?

    Aisee hii timu muda wa kunifariji yenyewe ndio inanitesa.
  6. O

    JamiiForums Kenya Mapenzi Iko Sawa, Pesa Hakuna: Would You Marry While Broke?”

    Unakubalia na views za huyu mwenzetu,. Toa maoni yako
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, hii taarifa ni ya The Chanzo? Je, ni kweli Mapenzi ni chanzo kifo cha mtoto wa Mange

  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni kiumbe wa thamani sana! Mwanaume anayelilia mapenzi ni mpumbavu

    Kuzaliwa mwanaume ni balaka kubwa sana inabidi umepewa thamani kubwa sana umepewa hazi ya kiongozi umepewa hazi ya mamlaka Mwanaume ata akikaa siku tatu bila kuoga hanuki ila mwanamke siku 1 tu akishinda bila kuoga ni kimbembe Mwanaume kukaa bila mwanamke anatoboa vizuri ila mwanamke hawezi ata...
  9. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kuenjoy mapenzi ni pale nilipokutana na bar maid wa kimasai

    Yule bar maid ameniachia gundu kusema ukweli aisee kwanza alikuwa na shape amejazia kwenye hips aisee si mnene ni model fulani hivi ila alikuwa amejazia kwenye hips aisee yule bar maid tulienjoy sana malavi davi mpaka nilikuwa dau ya zaidi ya lile tulioahidiana aisee na sijui yule mmasai mapenzi...
  10. JamiiForums Tanzania Ni karaha gani au kero gani unakutana nayo wakati wa tendo la mapenzi?

    Tuambizane ni kero gani unakutana nayo wakati wa kufanya mapenzi? Mi kero nayokutana nayo ni kukuta mwanamke haoneshi ushirikiano hata ukitaka kumgeuza dog hataki kero ya pili mwanamke ambaye uke wake unatoa harufu mbaya na pia kinywa chake kichafu unashindwa hata kumla denda.
  11. JamiiForums Tanzania Ladha ya kufanya mapenzi ipo wapi?

    Hivi ladha ya kufanya mapenzi ipo I wapi kwanini watu wana promote Sana? Kusema ukweli watu wanaipromote ngono kipa mara ila haina ladha wala faida yoyote au kuna namna yoyote ya kufanya mapenzi mpaka afurahie yaani unatumia nguvu ladha unaipata kwenye kumwaga Tu? Au kuna sehemu nyingine ambapo...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke asiyetoa miguno wakati wa mapenzi ni mshamba na hajui kitu

    Raha ya mapenzi ni miguno na sauti laini kutoka kwa mwanamke , mwanamke asiyetoa miguno hajafundwa uyo na ni mshamba wa mapenzi. Uko telegram watu wananunua video za majamboz si kwamba ni nzuri sana bari zire sauti za kusisimua.
  13. JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta nilipofanya mapenzi na Malaya kwa mara ya kwanza 2014

    Mara ya kwanza kulala na malaya ilikuwa mwaka 2014. Nikiwa nimetoka job nilikutana na mtoto wa baba mdogo (RIP), alikuwa na mshikaji wake wa chuo (Muhaya) sasa wale jamaa mi sikujua plan zao. Tukaingia mahali mitaa ya Sinza tukaanza kula msosi na kupiga story mpaka ikafika usiku. Kumbe wale...
  14. JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuzidi umri ni kama kuonja sumu

    Huo ndio ukweli...najua kuna raia mtakuja kuniattack na kusema mapenzi hayana umri. shame on you!!
  15. JamiiForums Tanzania Mapenzi yanawenyewe

    Mapenzi yanawenyewe Unaweza kuwa mwingi, wa mishanga kuijaza Ila usifike kingi, mapenzi ukayaweza Vidogo dogo ni vingi, mwandani kumliwaza Siwadharau wengine, Mapenzi yanawenyewe Unaweza kuwa fundi, kiuno kukizungusha Ila isiwe ni gundi, ya bwana kumgandisha Au ukampa hundi, na mengi...
  16. JamiiForums Tanzania Nakuja kwako, ila hatufanyi kitu 🤭

    Ushawahi kupigwa huo mkwara? ilikuwaje kuwaje na je ulipewa au ulitoa tamu? au ulitoka kapa? Acha nianze: Kitambo hicho chuo tulikua kipindi cha mitihani, kaboyfriend kakaniomba niende room kwake nimpe mbususu nikasema siwezi, na nikamtolea povu kwamba hanijali mimi nina stress za kujiandaa na...
  17. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anatumia muda mwingi sana ku-chat na ex wake, na kila nikimuuliza anasema ni mazoea tu!

    Wakuu Moyo wangu unaumia sana, naona kama unavuja damu kutokana na maumivu ninayoyapitia karibu kila siku. Mpenzi wangu anatumia muda mwingi sana ku-chat na ex wake, na kila nikimuuliza anasema ni mazoea tu, hakuna kinachoendelea. Nilijaribu kujidanganya, nikajifanya niko sawa, lakini moyoni...
  18. JamiiForums Tanzania BASATA: Yapo wapi maadili kwenye hii nyimbo "Darasa la saba ya Mbosso" inayohamasisha mapenzi kwa watoto wa shule?

    Habari wana JF, Niende moia iwa moja kwenye hoja yangu ambayo pia naileta kama swali kwa baraza la sanaa ambalo huwa linasimamia pia maadili kwenye kazi za sanaa pamoja na mamlaka zetu zote zinazohusiana na kumlinda mtoto zikiongozwa na wizara husika. Kuna huu wimbo mpya ya msanii Mbosso...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania 50% ya wavulana wenye miaka 20 hawajahi kufanya mapenzi, lakini kwa wasichana wenye umri huo ni 1% tu

    Tafiti iliyofanywa na Taasisi ya Mahusiano na Unyumba imebaini kuwa ni 1% tu ya wasichana hufika miaka 20 wakiwa bado hawajawahi kufanya mapenzi. Sababu zikidaiwa kuwa ni :- 1. Kushindwa kuhimili vishawishi. Mtoto wa kike huanza kutamaniwa na kuanza kushawishiwa kufanya ngono mara tu anapoanza...
  20. JamiiForums Tanzania Mapenzi: hakutaka kugombana na mwanamke mwenzie

    Inawezekana kabisa ni video ya mchongo lakini nyuma yake imebeba uhalisia mwingi na fundisho kubwa . Mwanadada kafanya fumanizi na panga mkononi . Hakumgusa mwanamke mwenzake bali bwanaake ambaye alikula bonge la kelebu . Mdada aliyefumaniwa alitimua mbio kali Sana . Mfumaniaji kajaa utemi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…