mapenzi

  1. Eti kuna maji aina ngapi kwenye mapenzi?

    Nipo Kariakoo hapa dukani. Dada mmoja maskini akaingia kununua vitu, akamwomba muuza duka maji ya kunywa. Mwenye duka akamwuliza, maji gani unataka? Pia unataka Maji ya rangi gani? Ee me ninayo maji yangu ila ya kuuza yameisha, maji nayotoa mimi bure kabisa. Sasa dada wa watu akashangaa kwani...
  2. KWELI Kufanya mapenzi wakati wa ujauzito Kunaweza kuongeza kwa kiasi kidogo kichocheo cha kuanzisha uchungu ikiwa siku za kujifungua zimefika

    Wakuu wa mambo tunaomba msaada hapa, huku mtaani kwetu kumekuwa na maneno mengi juu ya Kufanya mapenzi Wakati Ujauzito Kunasaidia Kupunguza maumivu, njia kufunguka kwa haraka wakati wa kujifungua na mtoto kushuka haraka wakati wa kujifungua, je kuna ukweli katika Hili?
  3. K

    Naota nafanya mapenzi

    Naamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua. Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi...
  4. Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?

    Labda iwe kwa makubaliano kuwa mnafanya biashara, na biashara yoyote lazima mapatano kwanza kisha biashara ndipo ifanyike. Kama biashara ya mwili wake ni heri aseme kabisa kuwa yeye ni kahaba. Asijifiche kwenye mwavuli wa kuitana wapenzi. Biashara ya ukahaba ni kongwe, tangu enzi za agano la...
  5. Wadau wa mapenzi nisaidieni hapa, Maji ya shingo

    Kuna dada bhana nampenda sanaa! Tena nampenda kweliii. Wakati tunaanza kuwa pamoja nilimwambia kuwa mimi nina hasira sanaa lakini sio za kufanya Violence kwa mwanamke, akaahidi atanielewa. Mara kadhaa amekuwa akinikosea, anaendelea kuwasiliana na Ex wake wanakutana na natumiaga hekima nyingi...
  6. S

    Je, mahusiano bila kufanya mapenzi ni sawa na urafiki tu?

    Habarini ndugu zangu, Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Swali langu ni Je katika umri wa ujana mdogo (20-25) au umri wa chuo...
  7. S

    Je dating(mahusiano) bila kufanya mapenzi ni urafiki tu?

    Habarini ndugu zangu, Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu...nimekuja Leo kwenye jukwaa pendwa la mapenzi Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Swali langu ni Je katika...
  8. Valentine yako iliendaje?

    Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama? Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka iliyoongeza tabasamu siku hiyo na kufanya iwe Valentine ya kukumbukwa? Let's go😀😀
  9. Naipenda Valentine Day mpaka naumwa mapenzi

    Habari, mnisamehe wapendwa nawapenda wote miamia. Yaani naipenda hii siku hadi naumwa mapenzi hapa nilipo nshapiga konyagi kubwa lao mbili nakula vibez kama zote. Ni mimi Baharia Wadiz
  10. Kumpiga mke kunaboresha mapenzi?

    Nimeishi na mke wangu kwa miaka zaidi ya kumi na tumepata watoto. Katika miaka yote hiyo sijawahi kumpiga wife ukiacha kuzunguana hapa na pale. Sasa juzi kati alinizingua vibaya nikajikuta nimempiga kama mtoto mdogo . Nilimtia mikanda ya miguuni na kwenye matako. Kesi ilikua kubwa kichizi...
  11. Hivi unafahamu wakati mwingine mapenzi ni uraibu pia?

    - Kuna watu hata wateswe mara ngapi na mapenzi, hata waachwe mara ngapi, wao kila siku wanapenda tena watu wapya. - Kuna wengine, hawawezi kuishi bila kufanya mapenzi na (hawajaoa wala kuolewa). - Wengine kuwa na mpenzi mmoja tu hawawezi, yaani mpaka awe na wengi ndIo anajskia yupo kwenye...
  12. Laila, jini aliyenifundisha mapenzi nikiwa shule

    Baada ya kushindikana kwenye shule moja ya jeshi iliyo mkoani. Brother akanipa second chance nikahamia shule moja binafsi mjini Dar. Nililazimika kurudia form 3 maana mwaka uliopita nilisoma miezi minne tu, na sikufanya mitihani ya mwisho. Kama mjuavyo akija mwanafunzi mgeni darasani watu...
  13. Mapenzi ya Michael na Shirley Garvin, yalivyogeuka tukio la mauaji

    AMEPOTEA KISIWANI KEY WEST - 1 Umewahi kujua kwamba taa za barabarani huwekwa pia Kamera? Si kwa Tanzania, lakini katika miji mingine mikubwa taa za barabarani huwekwa Kamera ili ziweze kunakiri matukio mbalimbali na kusaidia vyombo vya ulinzi na usalama. Fuatilia kisa hiki cha mwanaume mmoja...
  14. Mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli

    sisi wanaume waongo ila mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli kwa hiyo wanaume tusiwatendee sana vbaya wanawake.
  15. C

    Hakuna mapenzi ya kweli duniani. Wanawake wanaangalia pesa

    Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
  16. Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

    Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:- |-• Wanaume wengi...
  17. Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂

    Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂 Dharau Ujuaji Kukosa Heshima Ubinafsi Chuki/Genye Unafki/Ufitinishaji Majungu/Roho Mbaya Najua huwezi kosa kimoja hapa jitahidi kupunguza sasa 😊
  18. P

    Wenye majina yanayoanza na S, C, M na D wanapenda sana kufanya mapenzi. Ya kweli haya?

    Mtaalamu wa ufahamu wa majina, Shekhie Mussa ametaja baadhi ya majina wanaopenda sana kufanya mapenzi, akisema kupenda kwao sana tendo hilo ni afya. Akataja watu wenye majina yanayoanza na herufi S, C, M na D wanapenda sana lipofika suala hilo. Wenye herufi zenu, ya kweli haya?
  19. Kama Mtaalamu wa Saikolojia ya Mahusiano, Namshauri Haji Manara Apunguze Kasi ya Kuanika Mapenzi yake Hadharani, hasa Faragha yake

    KAMA MTAALAMU WA SAIKOLOJIA YA MAHUSIANO, NAMSHAURI HAKI MANARA APUNGUZE KASI YA KUANIKA MAPENZI YAKE HADHARANI, HASA FARAGHA YAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nampongeza Haji Manara kwa mafanikio aliyoyafikia, amekuwa mfano mzuri kwa Watu wa aina yake, nazungumzia Watu wenye ualbino. Na...
  20. Tujitahidi kufanya mapenzi kila siku kwa dakika nne ili tupunguze hatari ya kupata Saratani?

    Mwaka jana Desemba niliwatembelea ndugu zangu jirani, katika mazungumzo waliniambia kwa Kinyankole ila nitasema kwa Kiswahili 'Vijana wengi wa huku kwetu wanafanya mapenzi na wake zao kila siku walau kwa dakika nne ili kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa saratani', na wamekuwa wakifanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…