mapenzi

  1. Surya

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukosa hisia/msisimko wa Mapenzi.

    Nianze na Wanaume: Mfumo wa hisia za mapenzi na mchakato wa kusimama kwa uume ni mchakato changamani ambao unahusisha miitikio ya kihisia, kiakili, na ya kimwili. Yafuatayo ni maelezo ya hatua mbalimbali zinazopelekea kusimama kwa uume hadi kufanikisha tendo la ngono: 1. Kuvutiwa Kihisia...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mapenzi hayana muongozo ila hakuna mwisho wa kujifunza

    Katika Harakati za Kila siku basi mdachu 🤣maeneo fulani dodoma mara Rafiki angu wa kike ambae hatukua na mazoea sana akapiga simu gari yake "24.O Harrier" Tako la nyani imekamwa njiani ameishiwa uwese/mafuta Mimi Niko town AREA D wakati huo Sina gari wala pikipiki, ikabidi nichukue kidumu cha...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mafuta ya taa hupunguza hamu ya kufanya mapenzi

    Nakumbuka shule niliyosoma tulikuwa tunawekewa mafuta ya taa kwenye chakula, Katika kudadisi kwa nini watuwekee mafuta hayo niliambiwa kuwa wanatuwekea ili kutufanya tusiwe na hamu au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi ukizingatia wanafunzi wanakuwa wameanza au walishapevuka tayari. JamiiCheck...
  4. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Kama hauna pesa endelevu achana na mapenzi

    Habari wana JamiiForums Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani? Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa...
  5. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Sitampa mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi tena, nimekoma....

    Weekend Imekuwa ndefu Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi, alichokutana nacho hatamani mwanaume yeyote afanye hicho kitu Basi me nikapita nikaenda zangu...
  6. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Haya! Kweli nimeamini Nyuki hawezi kumlazimisha Nzi aamini kwamba Asali ni Tamu kuliko Mavi

    Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa. Amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate, Sikutaka kuanzisha ugomvi maana ni Mpenzi tu huyu sio mke baada ya hapo nimemuuliza dereva bajaji amekiri...
  7. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Ni biashara

    Kitambo sana wazee wa Kazi. Kwanini mapenzi au ndoa nyingi huwa na migogoro pale uchumi wa Sisi WANAUME kushuka? Nyinyi wanawake ambayo mpo kwenye ndoa Na ambao hampo kwenye ndoa hebu tujuzeni. Kuna wale ambao wameolewa bila bikra watakuja kutukana hapa. Mods tafadhali msifute huu uzi.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Swali la Kizushi; WanajamiiForums wa sasa mbona hatuchangii mada fikirishi/Mada ngumu na tu Wepesi Kuchangia Mapenzi, Mipira, Uchawi na ushirikina

    Moja kwa moja kwenye mada husika Mimi nilichogundua hii jamii forums ya sasa siyo ile niliyokuwa ninaijua kipindi ilipoanzishwa. Nina uhakika mada fikirishi, mada makini zingepata machangio/reactions lukuki na hoja mbadala za kupinga au kusupport hoja. Nakwambia kwenye mada fikirishi zilikua...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni matamu sana ukiyapenda tufanye mapenzi ni rutuba ya akili, utulivu na amani

    Acha tuambiane ukweli usikose mapenzi na kufanya mapenzi uko hatarini kuwa mwehu na kukosa afya akili, unapungukiwa furaha na amani, unakuwa zobe, zuzu, bwege, unakuwa kichaa unajawa na hasira hasira, kununa, kususa, umbea mwingi, unakosa focus na concentration ya kufikiria vizuri. Damu inakosa...
  10. 650

    JamiiForums Tanzania Mpende utakavyo lakini usimwamini kupitiliza

    #1 . Mpende utakavyo mpenda lakini usimwamini kupitiliza . #2. Kama unataka kumpoteza harakat , mjali sanaaa alaf mpe kila anachokitaka. #3. "Wee date na wote wawili uone yup yupo serious " hivo ndo gals wanaambiana. #4. Kama mwanaume Mungu, Wana, maokoto na dua za Mama yako ndo zitakusave ...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini uhai wa mapenzi ya kujionyesha mbele za watu kwamba mnapendana sana huwa hayadumu?

    Mifano ni mingi sana humu nchini. Hivi shida hasa huwa ni nini, licha ya kujiapiza na kusifiana kupitiliza mtaani, mitandaoni na kwenye vyombo vya habari mpaka kutoa machozi, lakini mwisho wa siku ndoa au uhusiano una sambaratika vizuri tu. Huwa ni macho ya watu wabaya au maombi mabaya ya watu...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

    @divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano. Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa. Ameyazungumza...
  13. Sisa Og

    JamiiForums Tanzania Kweli mapenzi ni mental disease

    Kipindi nasoma shule, nilipata kumsoma jamaa anaitwa Plato. Sikumbuki mengi sana kumhusu, ila nakumbuka kauli yake "Love is serious mental disease" na hii nimeishuhudia mara mbili kama ifuatavyo: * Hapo nyuma, nilitumwa na wazazi wangu niende kumlinda (spying/stalking) sister yangu ambae...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu karne hii bado wanaumizwa na mapenzi?

    Nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi kuwa na mpenzi ambae nilimpenda sana na nadhani alijua kwamba nampenda hivyo akawa anautumia upendo wangu kwake kama udhaifu na fimbo ya kunichapia. Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kumvumilia mana hata ningesema nimuache haraka haraka nitaacha wangapi, siku...
  15. SwahiliFlirt

    JamiiForums Tanzania Siri ya mapenzi ya kudumu iko kwenye uwezo wako wa kusamehe na kuendelea

    Siri ya Mapenzi ya Kudumu: Je, Uko Tayari Kusamehe na Kuendelea? (Au Bado Umeshikilia Kaa la Moto?) Leo tuna story kali kuhusu mapenzi. Yaani, ile siri ya kuwa na uhusiano unaodumu kama betri ya Nokia 3310 [Nokia Jeneza]. Mnaijua ile, hata ukiitupa ukutani inarudi ikiwa inawaka fresh tu! Wengi...
  16. SwahiliFlirt

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usiotarajiwa Kuhusu Wenye Roho Nzuri: Kwa Nini Upole Wako Unaweza Kuwa Kikwazo Kwenye Mapenzi?

    Je, Wewe ni Mwenye Roho Nzuri Sana Mpaka Unaumia Kwenye Mapenzi? Hebu Tuongee Ukweli Mchungu! Unajua ule usemi, "Moyo wa dhahabu"? Umewahi kuusikia? Au labda wewe mwenyewe umewahi kuitwa hivyo? Ni sifa nzuri sana kuwa na moyo wa dhahabu, kuwa mtu mwenye upendo, kujali, na huruma kwa wengine...
  17. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni upofu

    Kweli Mapenzi ni upofu Kweli na mwanamke akipenda anapenda kweli kweli ..Hizi ni Picha Zinazovuma za Wanandoa Waafrika wanaishi pamoja Mume na mke. Binti amesema "Nampenda mume wangu ananijali na ananipatie kila kitu ninachikitaka pia ananiridhisha, pamoja na maneno watu wanasema lakini...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Men stop dating liability

    MEN STOP DATING A LIABILITY! 1. A girl who doesn't have transport fare to visit someone that she claims she love. (liability) 2. A lady who can't get you birthday or valentine gift but expect you to bring down the world for her during hers.(liability) 3. Someone who can't comfortably call...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kesi ya P Diddy ni ndogo sana,wazungu hawana tatizo na mapenzi ya jinsia moja

    Ni endapo itadhihirika kuwa aliwaingilia watoto under 18, Vinginevyo P Diddy kesi yake ni ndogo sana Majimbo mengi ya USA yameruhusu ushonga. Wengi wanaohisiwa kupakwa mafuta ni wababa watu wazima ambao huenda walifurahia tendo na hawakulazimishwa.. Wazungu wanajua kutetea haki za ; 1...
  20. Pearce

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea sasa hivi Mashariki ya Kati ni Mapenzi ya Iran

    Nimepata kupitia speech ya rais mpya wa Iran, wakati nikiendelea kumfuatilia hapo awali alikuwa nani na alitokea wapi. Nilichogundua anajitahidi sana katika maelezo yake kujitofautisha na serikali ya awali ya Hayati Raisi aliekuwa mfuasi kindakindaki wa Hayatollah na mapinduzi. Anajaribu...
Back
Top Bottom