Mapenzi Ni biashara

Mapenzi Ni biashara

Rebuild

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
3,632
Reaction score
7,177
Kitambo sana wazee wa Kazi.

Kwanini mapenzi au ndoa nyingi huwa na migogoro pale uchumi wa Sisi WANAUME kushuka?

Nyinyi wanawake ambayo mpo kwenye ndoa Na ambao hampo kwenye ndoa hebu tujuzeni.

Kuna wale ambao wameolewa bila bikra watakuja kutukana hapa.

Mods tafadhali msifute huu uzi.
 
Kama tumeolewa bila bikra ndo tukuvumilie ukifulia?
Hivi vitu viwili vina uhusiano gani?
 
Back
Top Bottom