mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Haiwezekani kubaki mwaminifu kwenye Mapenzi!

    Siku zote utakutana na wanawake wenye mvuto kuliko mwanamke wako, utakutana na wanawake wenye vibes zaidi, utakutana na wanawake ambao wana habari zaidi, utakutana na wanawake wanaofanya kana kwamba wanamjali kuliko mwanamke wako. Pia ukiwa mwanamke utakutana na wanaume ambao ni matajiri sana...
  2. JamiiForums Tanzania Wamama wa kichaga na hongereeni kwa kunipa huyu binti daah! Wakuu nafwaa kwa mapenzi haya ya kichaga

    Wa mama wa kichaga ahsanteni sana kwa kuniletea huyu binti binti mushi daa wazee sikuwahi kujua kwamba wanawake wa kichaga Wanajali na kuwathamini waume zao hivi aisee wakuu nafwa kwa mapenzi ooh yeah binti ananipa kila kitu pesa,nguo na mapenzi wakuu mimi mtoto wa kimakonde nitake nini? Sasa...
  3. JamiiForums Tanzania ACRIMONY: Mapenzi na Ndoto, Mahususi kwa Kijana Yeyote Anayepambania Kutimiza Ndoto Zake

    Hii ni story Inayomhusu kijana aliyepambana katika harakati za kutimiza ndoto zake, akiwa bado mwanafunzi wa chuo akapata mwanamke waliyefunga naye ndoa. Mwanamke huyo alikuwa na mchango mkubwa wa hali na mali ambapo aliuza mpaka nyumba ya urithi ya familia pamoja na kutumia pesa zote alizorithi...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume maskini, wenye elimu na upeo mdogo wa kufikiri kutoka jamii duni ndiyo hukataza wake zao kufanya kazi za Uzalishaji

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Fuatilia Jamii zote zenye maendeleo wanawake wanafanya Kazi za uzalishaji. Na ukiona mwanamke hafanyi Kazi za uzalishaji ujue anahisa katika kampuni za mumewe au Baba yake alimuwekea hisa. Kwa hapa Tanzania, tembelea Jamii za kanda ya kaskazini huko kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mtazamo huru: Kizazi cha wanaume wa miaka ya 1980s hadi 1990s ndo cha mwisho kufaidi mapenzi ya kweli kutoka kwa wanawake

    Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na ndani unakutana na dedication za nyimbo bomba enzi hizo kama Mimi na wewe Mr blu, Nataka niwe na...
  6. JamiiForums Tanzania Hii ni hadithi ya Neema na Daudi, wawili waliokutana katika hali zisizotarajiwa na wakapitia changamoto nyingi katika safari yao ya mapenzi.

    Katika kijiji kidogo kilicho katikati ya milima yenye uoto wa kijani kibichi, aliishi msichana mdogo mwenye tabasamu la kuvutia aitwaye Neema. Alikuwa maarufu kijijini kwa ukarimu wake na moyo wake wa upendo. Neema alikuwa akifanya kazi kama mwalimu katika shule ya msingi ya kijiji, ambapo...
  7. JamiiForums Tanzania Nikifanya mapenzi na huyu mchepuko napata sana wateja siku hiyo

    NIKIFANYA MAPENZI NAHUYU MCHEPUKO NAPATA SANA WATEJA SIKUHIYO. Habar Mr magical power! Mimi nimwanauume mwenye umri wamiaka 37 naishi tanga.Naomba unifikishie kwa members wako wanishauri jambo fulani linaloniumiza kichwa.Mimi nimfanyabiashara wa samaki hapa soko la samaki tanga ninamke nawatoto...
  8. JamiiForums Tanzania Acha kuamini Furaha inapatikana kwenye mapenzi

    Acha kuamini kuwa ili uwe na furaha unahitaji mahusiano. Wakati mwingine unachohitaji ni kazi, pesa, na nguo mpya tu. #Madodi ✍🏼
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nimekua nikisumbuliwa na hamu kufanya mapenzi mara kwa mara hadi sasa idadi ya wanawake ni wengi nisaidieni jamani

    Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50 Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa

    Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa, unaweza kulala mwili tu lakini akili na moyo zikakesha zikitafuta utulivu na usipatikane Unaweza kuongea pekee yako na yakakupelekea kuona kama hukuwa na sababu ya kuzaliwa na huna thamani yoyote tena. Maumivu yanatesa...
  11. JamiiForums Tanzania Kila tukimaliza kufanya mapenzi, anakimbilia kuoga, shida nini?

    Jirani: Money penny njoo Money penny: Mekuja jirani nambie Jirani: Mepata bwana Mkatoliki, sa kila tukimaliza tendo la ndoa anakimbilia kuoga fastaa Nikamwuliza shida nini, akasema amefundishwa kuwa tendo la ndoa ni dhambi, so akifanya anatakiwa aoge haraka kuondoa dhambi Money penny: Du...
  12. JamiiForums Tanzania DCEA: Wanawake waongoza kutumia Skanka, Mapenzi yanatajwa kuwa chanzo

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas James Lyimo amesema wamefanikiwa kukamata Kilogramu 1066.105 za dawa za kulevya,mililita 447 za dawa tiba zenye asili ya kulevya, kuteketeza hekari 157.4 za mashamba ya bangi. Akizungumza na wanahabari...
  13. JamiiForums Tanzania Mayowe ni ya nini kwenye mapenzi, kwani hakuna namna ya kufurahia kimyakimya?

    Kwani hakuna namna ya kuenjoy silently ndrugu zangu? Mayowe ya nini sasa kama tumevamiwa na majambazi au kuna ugomvi? Hembu gugumia utamu kistaarabu tu my friends, ladies and gentlemen. Huo sio ungwana kabisa yaani, mnatisha watu na kukosesha wengine amani hata kama sio drama Punguza mayowe...
  14. JamiiForums Tanzania Siku Mungu akinijalia kadri ya mapenzi yake nitanunua chuma hiki alicho simama nacho alex jones katika picha hii

    "Labda najipiga fix tu, ila sio kosa kutumaini"
  15. JamiiForums Tanzania TFF mulikeni refa wa jana hafai kuchezesha mechi za yanga hakuficha mapenzi yake kwa yanga hadharani!

    Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Umewahi fanya mapenzi nje?

    Mwezi wa 6, Kuna siku nilikuwa na demu mmoja home. Sasa siku Ile tulikuwa sebuleni napiga katikati ya show imekula Kali tukajikuta tupo nje tukapiga show, japo nyumba ilikuwa inafensi. Tuliendelea mpk tukamaliza, lakini baadae ndo ukawa mchezo wetu tunaenda nje kuajiri na se*y. Daaa nikikumbuka...
  17. JamiiForums Tanzania Binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?

    Hivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake? Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi. Labda kwa waliofeli maisha wafanye hivyo wasije kufa njaa

    Hello! Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam. Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi. Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu ...
  19. JamiiForums Tanzania Kuambatana na mke wako Kwa watu, haimaanishi una mapenzi ya dhati kwake

    Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati Sio kutaja " I love you" mara 100 Kwa siku, wakati watoto hawana hawana ada, chakula na mahitaji Hapo mwanaume unaonekana huna...
  20. JamiiForums Tanzania MAKINIKIA: Hekaya fupi ya kaburi la wanapendanao lililopo katika jiji kongwe la Tanga ambalo linasemwa kuwa ndiyo kitovu cha mapenzi

    #MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA AMBALO LINASEMWA KUWA NDIO KITOVU CHA MAPENZI Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…