mapenzi

  1. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kinyaa linapokuja swala la kufanya Mapenzi

    Bila shaka mko poa Wakuu kwa nyakati tofauti mimi nimeshapitia mahusiano kadhaa ambayo wakati mwingine kila kitu kipo sawa lkn kwenye mapenzi kinyaa kinaondoa utamu wa penzi. Nimewahi kua na mrembo mmoja ivi anataka afanyiwe kila kitu(umkiss mwili mzima na upige shoo ya maana, (na...
  2. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya mapenzi na ndoa huitaji mtu mmoja mjinga, two smart people they can’t ever fall in love

    Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye akili mmoja so tafuta mjinga wako au wewe kuwa mjinga ili upate mwenye akili Ni Hilo tu nawafundisha...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Watu wanaamini ukiwa na pesa ndio unakuwa na amani kati mapenzi /mahusiano

    Napata sana maswali mawili ya msingi kwanini Suleiman aliomba hekima na si utajiri? Lakini kwanini pamoja na kuwa na wale wanawake wote na masuria 300 lakini mwishoni akiona ni batili 1.Mengi aliachana mke wake kisa ilikuwa usaliti inasemekana mke wake alikuwa akitoka na Daktari wao wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo...
  5. Sisa Og

    JamiiForums Tanzania Tufocus Kwenye Pesa, Misosi na Burudani Mapenzi Ni Scam

    Hii ndo kauli ntamwambia mwanangu. Ntahakikisha naharibu na kusambaratisha hisia za kuzingatia dem au boy kutokana na jinsia yake. Ntamwambia asije kumpa mtu moyo wake hata siku moja. Ntamwambia kwa kutuimia mifano. Naanza na hii: Ukipita sokoni utakuta kina mama kibao wanauza michicha na...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kufanya mapenzi kwenye usafiri (Safarini) njooni mtupe ushuhuda hapa

    Wakuu kama mjuavyo kuwa Dunia ina mambo baadhi ya mambo yenyewe ndo kama haya,. Kuna mambo ambayo wewe unaweza kuyaona hayawezekani kumbe kwa wenzio ni kawaida kabisa. Mfano mimi hapa huwa naona haiwezekani kufanya mapenzi wakati chombo cha usafiri chochote kikiwa kinaendelea na safari...
  7. farfat

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni mchezo mchafu wakati wewe unalia upande wa pili kuna mtu anachekelea

    Muda mfupi uliopita nimeona status ya mpenzi wangu ikisoma hivyo akili imepagawa kwa sababu mimi na yeye hatuko sawa kiasi cha yeye kwenda kupost hivyo.. hii ni kiashiria kwamba kuna mtu ananisaidia kuichapa.. sio kawaida penzi halina uhai huyu Ana maanisha
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kweli bado yapo?

    Wadau, swali la iwapo mapenzi ya kweli bado yapo limekuwa likizungumziwa sana. Ni suala la muda tu kumpata mtu anayekufaa. Kwa mfano, kuna binti mmoja ambaye amenionyesha upendo wa dhati kiasi cha kunifanya nianze kuamini tena mapenzi ya kweli. Awali, sikumzingatia sana, lakini kadri muda...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Matusi ya nini sasa wakati wa kufanya mapenzi ndugu zangu?

    Hii ina maana gani kuporomosha matusi mazito mazito wakati wa kufanya tendo la ndoa tena na mtu wa ibada kabisa na mwenye heshima anaeheshimika kwenye jamii? kwani hakuna maneno mengine hadi mayowe na miguno ya kuambatana na matusi? :pulpTRAVOLTA:
  10. Tman900

    JamiiForums Tanzania Njia ya kulinda Mali yako. usipoteze kwa kigezo cha Ndoa au Mapenzi

    Kama umepambana na una Mali nyingi usioe. Tafuta mwanamke uwe nae kama mpenzi tu. Jenga nyumba Sehemu na umueleze huyo mwanamke kua umempangishia. Umiliki wa hiyo nyumba hata kama uko kwa jina lako tafuta ndugu yako, asajili Taarifa za umeme kwa jina lake. Inamaana hata huyo mwanamke...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wana Ngorongoro, nawapa kongole kwa mapenzi yenu ya dhati kwa CCM, mmeipa ushindi wa kishindo uchaguzi wa mitaa, mmekataa upotoshaji

    Wana-Ngorongoro bado wako ngangari na CCM yao, kuna waliodhani eti kwa sababu ya zoezi la kuwahamishia kwenyw makazi bora eti wangeichukia CCM. Aahhhh wapi. CCM imepata ushindi wa kishindo
  12. KENZY

    JamiiForums Tanzania Usitumie hii mbinu kwenye mapenzi utakuja kufa!

    Waswahili wanasema "Kata mti panda mti!". Huu msemo usiulete kwenye mapenzi utakuja kufa ulimi nje!. Baada yakubwagana na mpenzi wangu chapchap kuuponya moyo,roho na nafsi yangu nikaamua kutafuta mpenzi harakaraka ili ku cover nafasi iliyoachwa wazi!. alikuwa binti fulani hivi ndembendembe...
  13. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Mapenzi ambayo nimejifunza late katika maisha ambayo kijana wa sasa unatakiwa ujifunze mapema

    Moja,mtongoze mwanamke lakini usimuonyeshe bila yeye huwezi pata mwanamke mwingine,kadri utakavyo zidi kumfuatilia sana basi tambua ndio jinsi atakavyo kaa mbali na wewe na kukusumbua sana Mbili,hata umpe mwanamke wako hela nyingi kiasi gani,au uisugue mbususu kiasi gani au usimamie kucha kiasi...
  14. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Wakristu wenzangu, nyie mnaombaje hadi kujibiwa maombi yenu. Tusaidiane kwa mapenzi ya kristu

    Nimefunga, nimeshirikisha, nimeomba alfajiri lakini bado tabu ninayopitia inaendelea kunitafuna. Tusaidiane wakuu.
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nafsi Jiwe Mwili Binadamu Hadaa ya Dunia kwenye Mapenzi

    Nguvu za kiume ni pesa na nguvu za kike kiuno na joto la samosa, nyakati hizi za mapenzi na maokoto tambua hilo, mwaga mpe chake mwambie tembea, funga mlango. Mimi sio mwenyeji wako umekuja kibiashara ondoka kibiashara, Binadamu ni mwili sio nafsi. Ondoka kama ulivyokuja sina muda. Ubwela...
  16. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufanya mapenzi mbele ya watoto wadogo

    Hebu tujadili wakuu maana kuna wazazi WA ajabu sana.hata kama chumba kimoja fanyieni hata mvunguni.
  17. cold water

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Tofauti ya Umri Katika Mahusiano

    Naomba nianze kwa kujieleza, Nitaelezea changamoto katika mahusiano ninayoyapitia, hasa upande wa tofauti ya umri. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1993. Mahusiano yangu ya kwanza yalikuwa na mwanaume aliyezaliwa mwaka 1992. Kama nilivyoeleza mwanzo, tulipishana mwaka mmoja tu, yeye akiwa...
  18. Tuagize

    JamiiForums Tanzania Mganga wa Mapenzi

    Wakuu wazima hivi ni kweli kuna mganga wa mapenzi, au ni sound tu tunapigwa?
  19. Mchafuu

    JamiiForums Tanzania Umekuwa ukisumbuliwa sana na mahusiano basi fata sheria hizi sheria ya 5 itakushangaza

    DATING RULE 01. Usimpe au kumfanyia mwanamke wako mambo makubwa ambayo hauwezi kumfanyia maisha yake yote au ku maintain moja kwa moja. Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako utakayoweza kufanya hata ukimuoa. DATING RULE NUMBER 02. Mchumba akikukubali na akawa anakupenda kweli, kazi yake ni...
  20. Mchafuu

    JamiiForums Tanzania Kijana ambaye unaingia kwenye mahusiano zingatia hili

    Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa, Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA" Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path. Manzi akikuheshimu...
Back
Top Bottom