Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

NYUNDO YA MOTO

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
5,360
16,999
Kwa bahati nzuri au mbaya tabia hii nilianzisha tangu naanza kuwa na mahusiano ya mwanzo kabisa, Mwanamke akisema ajisikii au kama sijamua hata arukeruke uchi usiku au mchana mzima siwezi kumuingilia mpka mimi mwenyewe niamue.

Amini ya kwamba wewe ndiye Master mind wa kila kitu kilichopo mwilini mwako, So hata Abdal unaweza kumzuia asikuongoze yeye.

Tabia hii imenijengea uaminifu, kunipa credit na ustarabu katika mapenzi na wanawake wengi kubaki kujiuliza unawezaje kufanya hivi, Wengi watazani naumwa au Ninamatatizo kwa ufupi, Usijarjbu kuniruhusu nimtembelee Dada yako au hata mpenzi wako, Itabiki kwake.

Nilichojifunza juu ya uwezo huu, unamjengea mwanamke confidence ya kuwa na Amani na ulinzi akiwa kwako, Pia unampa freedom ya kuchagua, wengi wetu wanaume wabongo ni tunawabaka tu, mtu anakwambia akingiia ghetto hatoki bila kuguswa, hiyo ni dhana tu.

Note: Kwa wale wanawake wenye majivuno, vidomodomo tafadhali usitumie hii strategic utaumia, Mimi pia sikuitumia kwa wanawake wote kwa kuwa kuna wengine watakufedhehesha.
 
Kava la kitabu
Labda niseme;
Unaposikia mtu anasema mwanamke hawezi kutoka salama getoni mwake ujue huyo ni fisi mla mizogo...pia huu ni aina ya ubakaji.

1. Mwanaume unapaswa kuchagua ke wa kutoka naye na sio kubakana kisa amekuja geto.

2. Usifanye ngono za dharura..mfano akitembelee umlazimishe huu ni ujuha...
Mimi msichana akinitembelea namhesabu ni mgeni wa heshima na hahitaji bughudha.

3. Ukistaarabika huwezi kuabudu ngono au kukosa ustaarabu...ni muhimu kutongozana kwa tabia na sio kulazimishana kwa mazingira.

...Ninaposema kutongozana kitabia maana yake jifunze kumvutia msichana kwa:

-ustaarabu wako
-ucheshi
-utanashati
-ongea yako nk.

Mavumba isiwe kigezo lkn
 
Kuna demu kipindi fulan alitia huu mageto, dem amevaa kimahabahaba, sasa nikajitia Mtakatifu.

Dem fulu kunitega lkn najifanya mbishi.

Baadae akaondoka , Hakuwahi kurudi tena .

Tokea hapo, mkutano na demu wowote kama ni wa Mara ya kwanza, lazima NIMLE.
Em twende ukaweke story kwenye jukwaa letu pendwa kule la kula kimasihara

Au wewe ndo unatumia ID ya Mpembawise?
 
Kuna demu kipindi fulan alitia huu mageto, dem amevaa kimahabahaba, sasa nikajitia Mtakatifu.

Dem fulu kunitega lkn najifanya mbishi.

Baadae akaondoka , Hakuwahi kurudi tena .

Tokea hapo, mkutano na demu wowote kama ni wa Mara ya kwanza, lazima NIMLE.
Nafikiri uliyemuacha ilikuwa uamuzi sahihi.
Binafsi napenda nitongoze na sio kutongozwa.
 
Nawakumbuka Suz na Irene tukiwa ghetto mimi nililala katikati yao those days niko kikazi tumbaku ya iringa road morogoro, Irene nilimtaka siku nyingi ikawa inabounce, suz dada mlezi she nursed me when I was sick at some point, those days sebene la nyumbani Park au samaki samaki bima morogoro, sabene la Sembuche R. I. P mwamba wa burudani, ghafla nikakutana na Suz na Irene, wote wakaniita uncle uncle nikaitika babies wao wao za masiku I felt their true attachment soul and body, we sat I was loaded had money little money laki4 we had fun they enjoyed, later nikawaambia msijali tunaenda wote home wakasema sawa nilikuwa naishi Forestry, tumelala kama Dadas na uncle yao two days, bata daily toka asubuhi mpaka jioni msosi kama wote, Suz anavuta hisia za mahaba ila anajua nilishamtakaga Irene cheupe, Irene kaunga nikawa napiga tukiwa wote bed ila suz anategea halali nikiwa nakula kibinyato Irene mchoyo, baadae akaone isiwe tabu akasema Suz anataka mle nae, Irene akawahi kuamka kaniacha na Suz bed, nikampapasa Suz Miss msingida, dadadadeki nikaweka mara imo suz mtamu na wa moto na anahisia na mimi kuliko Irene.

Nilijifanya gentleman kwa siku mbili tu. Baadae nikawa nawala wote na maisha yalikuwa matamu, ukiwa loaded na happy maisha matamu sana.
 
Labda niseme;
Unaposikia mtu anasema mwanamke hawezi kutoka sala getoni mwake ujue huyo ni fisi mla mizogo...pia huu ni aina ya ubakaji.

1. Mwanaume unapaswa kuchagua ke wa kutoka naye na sio kubakana kisa amekuja geto.

2. Usifanye ngono za dharura..mfano akitembelee umlazimishe huu ni ujuha...
Mimi msichana akinitembelea namhesabu ni mgeni wa heshima na hahitaji bughudha.

3. Ukistaarabika huwezi kuabudu ngono au kukosa ustaarabu...ni muhimu kutongozana kwa tabia na sio kulazimishana kwa mazingira.

...Ninaposema kutonaozana kitabia maana yake jifunze kumvutia msichana kwa:
-ustaarabu wako
-ucheshi
-utanashati
-ongea yako nk.

Mavumba isiwe kigezo lkn
Utakula mbuzi mkuu naomba nipate bili😂
 
Umetisha sana😂😂😂
 
Mkuu unakunywa bia gani? Au wewe unapenda soda au maji?

Huo ndo uungwana.Hawanaga shida hawa ukiwaheshimu na kuwapa thamani. Pale akiwa free atakupa mpaka mwenyewe ukimbie
 
Back
Top Bottom