Miili yetu hufika ukomo wa ukuaji unapofikisha miaka 35, kwa lugha rahisi mwili kua active kutengeneza cell mpya zenye ubora pia utimamu wa misuli na akili peak yake ni miaka 35, hivo basi kabla hujafika miaka 35 hakikisha unafanya mazoezi ya kutosha mbelen uko mazoezi hayana impact kubwa sana...