mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Renew leseni yako Mapema

    Ndugu Mjasiriamali, Hakikisha una Renew leseni yako ya biashara Mapema. Kama leseni yako huisha December.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wahi TRA Mapema

    Ndugu Mjasiriamali, Unapomaliza Kusajili Kampuni hakikisha unawahi sana kwenda TRA. Unapochelewa TRA wanaanza kukuhesabia fines. Lakini ukiwahi unaweza Anza ku file zero Taxes.
  4. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Mbagala mapema leo, shughuli zarejea

    https://youtu.be/-ZUtT726xT0
  5. JamiiForums Tanzania CDF toa tamko bado mapema

    Hadi muda huu bwana Mkunda yupo kimya. Anasubiri ngoma itoe GG, (mambo yavurugike) ndo aje na matamko uchwara😉
  6. JamiiForums Tanzania Huyu CEO wa simba hana uwezo wowote, naomba ajiondoe mapema before too late

    Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja. Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?. nafikiri ajiondoe kabla hajatolewa kwa nguvu kwenye hiyo nafasi, amepelea hana uwezo, hajiwezi. simba inahitaji...
  7. JamiiForums Tanzania Wenye akili tulishamjua mapema. Hajali chochote kuhusu Tanganyika na Watanganyika. Lolote baya linalotupata kwake ni furaha kuu

    Ukiangalia anavyofisadi mali za Watanganyika utaelewa tu huyu hajali chochote kuhusu Watanganyika. Yupo kujitajilisha yeye, familia yake na genge lake kwa mgongo wa fedha na rasilimali za Tanganyika. Ukiangalia namna alivyoteua Wazanzibari kushika sehemu nyeti za Tanganyika ikiwemo Wizara...
  8. JamiiForums Tanzania onyo: Huwenda maandamano ya #D9 yasiwe ya kibubu kutokana na visasi, huku shughuli kufungwa mapema kuliko inavyozaniwa kabla ya #D9

    Niwe muwazi na niongelee uhalisia kuna watu wengi wali uwawa October 29 wengine wakiwa ndani kwahiyo hatuwezi kutegemea maandamano haya ya #D9 yawe ya kibubu bubu na mabango tu. Pia shughuli za nchi zinaweza kusimama kabla ya hiyo tarehe #D9 kufika.
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 9D hatufiki, mambo yatakwisha mapema tu

    Hayo mambo ya Kuandamana Kwa mabango na wahuni wanakuja na machine za moto kuuwa Watanganyika, hilo halipo na wazalendo hawataliruhusu Hakuna haja ya kusubiria 9D Muda wa Maneno imekwisha Sasa ni vitendo
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kama Chuo Kikuu Huria (Open University) kilitengenezwa kwa ajili ya Wanasiasa pekee, mngetuambia mapema

    Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati. Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Onyesha sumu yako mapema watu wakujue wewe ni nani

    Ni msemo niliuona mahali kwamba onyesha sumu yako mapema nyoka asingekuwa na sumu watu tungemgeuza kamba! Kilicho tokea wakati wa kutangazwa mawaziri na manaibu wao alionyesha sumu yake mapema kabisa ili tujue yeye ni nani na kwamba si muoga wa maneno ya watu matamko na mijadala yao...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana wachezaji hawa Yanga wameanza kushindikana mapema, uvivu

    I salute you kinsmen Wakuu za chini ya kapeti ni kuwa kuna baadhi ha wachezaji wa team yetu wamekuwa hawatoi ushirikiano kwa asilimia mia na kuwa wavivu wakubwa kazini kwao. Ndio maana hatushangai sana kuwa hawapangwi kabisa 1️⃣Balla mussa Conte 2️⃣Lassine kouma Hawa jamaa inasemekana...
  13. JamiiForums Tanzania Tumeona watu wakirudisha mitungi ya wizi nyumbani, wakuiba nguo za watu madukani, wakichoma vituo vya mafuta, tunaomba hukumu zitolewe mapema wafungwe

    Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano? Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu? Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini? Unajisikiaje kubomoa miundombinu ya mwendokasi ambayo unatumia mwenyewe? Unajisikiaje kuvunja ATM ili kuiba hela za sisi ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa alichosema Mange Kimambi kama ni kweli, basi JWTZ walipaswa waseme mapema zaidi

    Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu. Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi! Kikosi kingine kinamilki risasi lakini hakina bunduki! Dada wa Taifa anasema kuna vikosi vina milki vifaru lakini hizina munitions Na walio...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Wapiga kura Zanzibar kushiriki kura ya mapema leo Jumanne

    Wapiga kura visiwani Zanzibar leo Oktoba 28, 2025 wanaanza zoezi la kupiga kura katika kile kinachofahamika kuwa ni "kura ya mapema" ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa kuanzia saa moja asubuhi na kufungwa saa 10 jioni na matokeo ya urais yatatangazwa ndani ya saa...
  16. JamiiForums Tanzania Kikosi cha Jumamosi ijayo chini ya Patrick Mabedi, mapema tu wamalawi wanakufa kama kikipangwa

    I salute you kinsmen Folz tayari kishamlamba na sasa tuangalie mbele zaidi na kaimu kocha Mabedi.. Ila nina imani kuwa Bala mussa conte sio mbaya kihivyo ila mfumo tu ule ulimkataa. Kama jumamosi kikosi kikiwa hivi hakika tunaua mbu kwa rungu la kipepe. 1️⃣Diara 2️⃣hapa acheze assinki...
  17. JamiiForums Tanzania Chukua chako Mapema wanaendeleaje na kampeni?

    Nauliza CCM C-Chukua C -Chako M- Mapema Mmefikia wapi sasa
  18. JamiiForums Tanzania Je unatazama filamu za mauaji mara kwa mara, ukiwa peke yako na kufurahia? Wahi Hospitali mapema

    Kuna kundi la watu linalokua kwa kasi ya ajabu sana katika ulimwengu wa burudani – wale wanaopenda kutazama filamu na tamthilia za wauaji (serial killers). Wengine wanajitapa kwamba wameangalia na kupenda sana kutazama filamu kama Zodiac, Hannibal, Mindhunter, au I Saw the Devil mara kumi au...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesi ya Lissu inaweza kuitwa mapema kabla ya tarehe iliyopangiwa

    Kabla ya October 30 inaweza kuitishwa tarehe za hapa kati hii ni kutokana na kwamba TANZANIA sio kisiwa. Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume MUNGU ibariki tanganyika. MUNGU ibariki tanzania. MUNGU bariki...
  20. JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba, piga kura yako mapema na nenda nyumbani

    Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga. Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani. Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba. Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…