mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha, salary slip kupitia salary slip portal za kila mwezi ziwe zinatoka mapema kuliko hivi sasa

    Wizara ya Fedha mmefanya jambo jema na la kupongezwa kwa kuanzisha utaratibu wa watumishi wa umma kupata salary za kila mwezi online kupitia salary portal. Hii ni tofauti na miaka ya nyuma ambapo zilipokuwa zinatolewa na Hazina na kisha kusambazwa kwenye idara,wizara na taasisi za umma au...
  2. JamiiForums Tanzania Mbona Mbowe amesahaulika mapema hivi?

    Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo...
  3. JamiiForums Tanzania Hatimae mizizi imepewa tena kipaumbele

  4. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Mahausiboi' wakitembea na Wake za Watu huwa ni Wasiri, ila kwa 'Mahausigeli' hugundulika mapema na wenye Waume?

    Inakuwaje 'Houseboi' hata akiwa 'anakukanyagia' Mkeo bado atakuwa 'Msiri' Kwako mwenye Mke na tena kazi ataendelea Kuzifanya ila kwa 'Hausigeli' akishaanza tu 'Kutinduliwa' na Mume hawawezi Kujificha na atajulikana tu upesi na Mke wa Mhusika? Nasubiri tu uzoefu wenu nijifunze zaidi.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume: Mbinu za kuzuia kufika mapema on top

    1. Mazoezi: Kufanya mazoezi, mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwa hiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara nakuonya mapema usifanye hiyo Press Conference yako ya Kuwachafua Waandamizi wa Simba SC wiki ijayo

    Nasikia unapanga kufanya Press Conference yako ya Kutapika Nyongo yako dhidi ya Simba SC hasa Watendaji wake kati ya Jumatatu au Jumanne ijayo. Nami pia nakuonya mapema sana just ya hili kwani ukitekeleza hii adhma yako utakuwa umekaribisha Mashambulizi hatari ya Kiyahudi dhidi yako. Wakati...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema

    Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako. Ndiyo hilo ni jambo ambalo kila mtu analijuwa (common sense). Vipi lakini ikiwa ni kweli unajitahidi kila siku kutimiza jukumu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mauaji yaliyotokea Lemax Bar Sinza kwa Remmy yalikuwa yanaweza kuzuilika mapema

    Mauaji yaliyotokea hivi karibui katika eneo la Sinza ndani ya Lemax Bar yaliyosababisha vijana wawili kupoteza maisha baada ya marehemu aliyekuwa anamiliki bastola huku akifanya mambo ambayo ni kinyume na kanuni na tataratibu wa umiliki mpaka kufikia kitendo cha kuua na kujiua Kwanza nianze...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia amepoteza mwelekeo mapema sana, hawezi kutoboa!

    Nimekuja na hii mada kwa makusudi mawili, moja kuwapa angalizo watanzania wenzangu na pili kujiandaa kwa mengi na makubwa yatakayofuata hapa Tanzania. Kwa sasa sio siri tena, matazamio ya mabadiliko makubwa yenye tija kwenye uchumi na siasa hapa Tanzania chini ya utawala wa mama Samia yameyuka...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Changamoto za Malezi ya Watoto na sababu za wababa kufa mapema. Je, wamama wanahusika?

    WABABA: CHANGAMOTO ZA MALEZI YA WATOTO & SABABU ZA KUFA MAPEMA. JE, WAMAMA WANAHUSIKA?!! Wanaume ee, Mnajionaje na hali wapambanaji wenzangu?!! Poleni na hongereni kwa siku nyingine tena. Ni matumaini yangu mko poa sana, mkiendelea na majukumu ya kila siku ya hapa na pale katika kuhakikisha...
  11. JamiiForums Tanzania Utafiti: Msongo wa mawazo huweza kusababisha Mtu kuota mvi mapema

    Kulingana na utafiti mpya wa Chuo Kikuu cha Columbia uliochapishwa katika jarida la eLife: wakati chanzo cha mafadhaiko kinapoondolewa, nywele zinaweza kurudi kwenye rangi yake ya kawaida. Kwa miongo kadhaa tumejaribu kuelewa husiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kuota kwa mvi, na huu ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…