mapato

The Natural Gas Revenue Fund (NGRF) is the proposed sovereign wealth fund of Tanzania expected to be launched in October 2014 or February 2015 after the enactment of a bill by the National Assembly. It will manage the revenue accrued from the sale of its natural gas. As of April 2014, Tanzania has a recoverable gas reserve of 43.1 tcf. The fund will be managed by the Bank of Tanzania. However, according to PFC Energy, 25 to 30 trillion cubic feet of recoverable natural gas resources have been discovered in Tanzania since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kuwaonea wafanyakazi, itafute vyanzo vingine vya mapato

    Inasikitisha kuona kuwa Serikali inagawana sawa mshahara wa mfanyakazi, Yaani mfanyakazi anachukua nusu na Serikali nusu harafu bado mnatushauri tuisifu Serikali.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala: Sekta ya utalii hatutafikia malengo ya mapato, itabidi tujipange upya virusi vya korona huko China vimetuangusha

    Waziri wa mali asili na utalii Dr Kigwangalla amesema wizara yake na wadau wote wa utalii ni lazima wajipange upya kimkakati kwani ugonjwa wa Corona huko China umewafanya washindwe kufikia malengo. Naye mtendaji mkuu wa Tanapa Dr Kijaxi amesema mapato ya utalii yameshuka baada ya watalii...
  3. JamiiForums Tanzania Process unayoweza kuitumia kujitwalia wateja zaidi na mapato zaidi katika biashara

    1. Andaa orodha ya watu na taasisi ambazo unadhani zaweza kuhitaji huduma yako. Kwa mfano kama wewe ni mtengenezeji wa websites basi tafuta makampuni yote ambayo hayana website ama yana websites zisizokuwa relevant kwao. Kwa huduma ama bidhaa yoyote kuna orodha kubwa sana unaweza tengeneza ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mji unaoongoza kwa Kamari duniani (Kwa kuangalia mapato)

    Macau, moja kati ya jiji linalopatikana China, limevunja rekodi ya kuwa ni mji ambao unaongoza kwa kucheza Kamari kwa kuangalia kipato kinachopatikana kutokana na Kamari Mwaka 2016, ilikadiriwa kipato kilichotokana na Kamari ilikuwa ni $27.8 bilion sawana na Tsh 64.2trillion , Kipato...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Zanzibar yafikia shilingi bilioni 2874, sawa na trilioni 2.874 kwa mwaka. Tanzania Bara tunayo ya kujifunza kutoka Zanzibar

    Rais wa Zanzibar, Dr. Mohamed Shein, ameeleza kuwa mapato ya Zanzibar kwa mwaka yamefikia Tanzania Shillings Bilioni 2874, sawa na Trilioni 2.874. Taarifa hii inaonyesha waziwazi kuwa Tanzania Bara tukijifunza kutoka Zanzibar, mapato ya Mikoa yetu inaweza kuongeza mapato yake ya ndani kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Masoki ya madini yapaisha mapato mkoa wa Geita

    TANGU kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini, mkoa wa Geita umeongeza ukusanyaji wa mapato kwenye sekta ya madini kutoka chini ya Sh bilioni moja kwa mwaka mpaka kufikia zaidi ya Sh bilioni 3.5 kwa mwaka. Hayo yameelezwa na Waziri wa Madini, Doto Biteko, alipokuwa akifungua Soko Kuu la Madini...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani aitaka TANESCO kubaini vyanzo vipya vya umeme

    Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameiagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha kuwa wanafanya tafiti kubaini vyanzo vipya vya uzalishaji umeme ili kuongeza kiasi cha nishati hiyo nchini na kuweza kufikia lengo la kuwa na megawati 10,000 ifikapo mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…