Zitto: Serikali ya awamu ya Tano yatia fora kutofikia malengo ya Bajeti

Hakuna new investor wa njee, pesa inayokusanywa zinatoka nje kupitia SGR, ununuzi wa ndege za kifisadi baada pesa izunguke ndani, Sera za kodi hazishirikishi wafanyabiasha, Export ya mazao kama korosho haijafanyika,

Utapata wapi kodi kama ile pesa unayokusanya hailudi kulipa madeni ya ndani? Kama hauuzi sana mazao, bidhaa nje ili upate dollar? kama hauweki sera za kuwaboost wafanyabiashara wapya hasa wa ndani kupata vyanzo vya mitaji ili wewe upate kodi?

Kama umeweka washikaji zako kwenye sector nyeti za fedha kama Wizara ya fedha, TRA, TPA na Hazina ambao hawana creativity ya kutengeneza mapato ya kutosha au kutengeneza vyanzo vipya vya mapato?

Magufuli umetuangusha sana miaka 5 kwa sababu ya kutosikiliza ushauri.
 
Zitto mdogo wangu unajitia aibu ,sote ni watanzania,sahau uccm na uact- wazalendo,sasa unaposhangilia jambo la serikali kukusanya mapato chini ya makadilio sioni kama ni sawa.

Wewe kama mtanzania na kiongozi unayo nafasi ya kushauri kipi kifanyike ili lengo la ukusanyaji mapato lifikiwe kwa asilimia mia moja

Unaposhamgilia ukusanyaji hafifu wa mapato, kwa dhana hii naona pia unafrahia watanzania kuishi maisha magumu na kukosa huduma muhimu ,wewe ni sawa na nyani anayeshangilia pindi kichaka kinapokuwa kinateketea kwa moto pasina kujua ikiwa kinatateketea chote atajificha wapi,

Pole sana mkuu zitto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo kawaida ya wanasiasa uchwara ili wapate mtaji wa siasa
 
Kwa kweli kwa hili Zitto amejitahidi. Amechambua na ameeleza kwa nini. Hotuba ipo Youtube.

Hotuba ina jieleza yote, na hakuna kiongozi yoyote wa sasa ambaye ataweza kuijibu hiyo hutuba zaidi ya kuishia kutukana. Imechambua kila kitu kwa kina na kwa nini kimetokea.

Zitto mdogo wangu unajitia aibu ,sote ni watanzania,sahau uccm na uact- wazalendo,sasa unaposhangilia jambo la serikali kukusanya mapato chini ya makadilio sioni kama ni sawa.

Wewe kama mtanzania na kiongozi unayo nafasi ya kushauri kipi kifanyike ili lengo la ukusanyaji mapato lifikiwe kwa asilimia mia moja

Unaposhamgilia ukusanyaji hafifu wa mapato, kwa dhana hii naona pia unafrahia watanzania kuishi maisha magumu na kukosa huduma muhimu ,wewe ni sawa na nyani anayeshangilia pindi kichaka kinapokuwa kinateketea kwa moto pasina kujua ikiwa kinatateketea chote atajificha wapi,

Pole sana mkuu zitto.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto mdogo wangu unajitia aibu ,sote ni watanzania,sahau uccm na uact- wazalendo,sasa unaposhangilia jambo la serikali kukusanya mapato chini ya makadilio sioni kama ni sawa.

Wewe kama mtanzania na kiongozi unayo nafasi ya kushauri kipi kifanyike ili lengo la ukusanyaji mapato lifikiwe kwa asilimia mia moja

Unaposhamgilia ukusanyaji hafifu wa mapato, kwa dhana hii naona pia unafrahia watanzania kuishi maisha magumu na kukosa huduma muhimu ,wewe ni sawa na nyani anayeshangilia pindi kichaka kinapokuwa kinateketea kwa moto pasina kujua ikiwa kinatateketea chote atajificha wapi,

Pole sana mkuu zitto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri serikali iliyokuwa inajisifu kukusanya mapato kuliko serikali zote zilizopita? Corona pia itatusaidia kujua Kama hii serikali imejenga vituo vya afya na zahanati nyingi kuliko zote zilizojengwa toka uhuru ama zilikuwa fix tu Kama yale makusanyo hewa ya mapato
 
Serikali ya Awamu ya Tano yatia fora kutofikia malengo ya Bajeti

Nchi ipo katika hatari kubwa, mapato yanazidi kuwa madogo. Vyanzo vya mapato kama kupitia zao la korosho vilifanyiwa maamuzi yasiyo sawa. Sekta ya madini ineyumba, Hali ya kibiashara, nyingi zimefungwa hivyo chanzo kingine cha mapato kimetoweka. Mafuriko yameharibu mashamba, mavuno na miundombinu ya barabara na reli.

Miradi mikubwa ya fedha nyingi za ''ndani" kama Stiegler's Gorge JNHPP, SGR na madaraja / flyover yote yanategemea vyanzo vya "ndani". Na nchi ikikopa kuendelea kujaribu kuikamilisha inazidi kudidimia ktk shimo la madeni makubwa.

Sasa na hili janga la Coronavirus lililo nje ya uwezo wa serikali pia linainyemelea nchi.

Hakika awamu hii ya tano ipo katika wakati mgumu kabisa na changamoto isiyohimilika kuendesha nchi kutokana na makosa yake yenyewe ya maamuzi ya kisera na pia mvua nyingi kupita kiasi za mafuriko na gonjwa linalotishia uchumi wa nchi.
 
Serikali ya Awamu ya Tano yatia fora kutofikia malengo ya Bajeti
asante mh Zitto. hii iko vizuri.

now, I suggest you work out an executive summary or abstract ambayo ni comprehensive but user friendly ili media iki publish ujumbe ufike kirahisi kwa Watanzania wote hadi wale wenye uelewa mdogo kabisa.

sasa hivi huku mtaani hata MATAGA wenyewe sasa wamezinduka kutoka hypnosis washaanza kunena kwa lugha!
 
April 11, 2020

ZITTO KABWE AICHAMBUA RIPOTI YA CAG 2018/19
Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Mh. Zitto Kabwe (Mbunge Kigoma Mjini), akichambua ripoti ya CAG kwa mwaka 2018-19 na Ripoti za CAG kwa miaka 5 ya serikali ya awamu ya tano .
Hivyo uchambuzi huo unalenga ktk maeneo makubwa kumi muhimu :

Source: Mwanahalisi TV
  1. Kuporomoka kwa makusanyo ya kodi : hivyo serikali kushindwa kukidhi mahitaji ya bajeti na hivyo bajeti kukosa maana inayo kusudiwa ya uwiano wa makusanyo dhidi ya matumizi pia ufanisi wa kukusanya kodi.
  2. Deni la Taifa ktk awamu ya tano ya serikali ya CCM linakuwa kwa kasi kubwa yaani asilimia 12% kuliko kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi ulio ktk wastani wa asilimia. Serikali imeanza kushindwa kulipa madeni ya ndani mfano kulipia Hati Fungani yaani Government Bonds jambo lililo hatari maana yake wananchi na wanunuzi wengine wa hati fungani kukosa imani ya serikali kuweza kulipwa amana zao. Serikali inadaiwa kiwango kikubwa na watoa huduma ikiwemo wakandarasi, makampuni na watu binafsi. Wakala wa Barabara yaani TANROADS ni mdaiwa sugu mwenye deni kubwa yaani Bilioni 900. Serikali pia inaficha kipande cha madeni ya Hifadhi za Jamii yanayofikia trilioni 3 shilingi za kiTanzania na wastaafu kuwa ktk hatihati ya kushindwa kulipwa malipo yao.
  3. Ufisadi umerudi nchini kupitia transit goods kwenda nchi jirani umeongezeka sana kufuatana na taarifa ya CAG. Kiasi cha bilioni 300 ni kimepotea ktk awamu ya 5 huku awamu ya Jakaya Kikwete upotevu ulikuwa bilioni 45 tu.
  4. Kesi dhidi ya serikali yaani contingent liability kimefikia trilioni 1.8 za shilingi za kiTanzania kutokana na kutotii mikataba na wadai kukosa imani ya kulipwa.
  5. Manunuzi yasiyofuata sheria yafikia Shilingi Trilioni moja kwa unapproved suppliers.
  6. Serikali inaendelea kutumia fedha za umma bila kufuata katiba ibara ya 135 yaani kupitia mfuko Mkuu wa serikali yaani Consolidated fund bila idhini ya Controller and Auditor General.
  7. Ukaguzi wa Benki Kuu ya Tanzania umefanywa na GAG bila kutumia kampuni za Ukaguzi za binafsi Deloitte, KPMG n.k hivyo kukosa uwazi na uhuru wa kufanya ukaguzi huru unaoaminiwa na IMF, WORLD BANK na wabia wengine.
  8. Korosho zanunuliwa na fedha kutoka Benki Kuu na fedha hizi hazijarejeshwa Benki Kuu
  9. Ndege kununuliwa bila taratibu za kifedha zilizo wazi.
  10. SGR Reli, Stiegler's Gorge, Ukarabati reli MGR Mkoloni
 
Back
Top Bottom