mapanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JOHNGERVAS

    Caesar Nero Alikuwa katili sana alimuua mama yake kwa kumcharanga mapanga, mke na akachoma maadui zake ili tu atawale kwa Raha

    Nero Claudius Caesar aliingia madarakani mwaka 54 BK akiwa na umri mdogo sana, takribani miaka 16. Hakuingia kwa bahati mbaya. Mama yake, Agrippina the Younger, alikuwa mwanamke mwenye ushawishi mkubwa ndani ya siasa za Roma na ndiye aliyepanga kila hatua ili mwanawe apate kiti cha ufalme...
  2. M

    PostGE2025 Hii kauli ya tutawakata vichwa kwa mapanga ikiichwa, ni rasimi kwamba serikali hii inabariki wauwaji?

    NCHI YANGU KWA SASA INASIKITISHA SANA! Kuona kauli kama hii ya kishetwani ikipita tu bila kuchukuliwa hatua? Inashangaza sana, mpaka muda huu kwa aliyetamka wazi wazi tena mbele ya makamera kwamba atakatakata mapanga watu, bado yupo uraiani Je, nini tafsiri ya kauli hiyo inapoachwa tu na...
  3. M

    Ewe mwana CCM umeshindwa kupinga yanayoendele basi tambua unajenga chuki kwa Watanzania

    Kama wewe ni mwana CCM na umeshindwa kupinga yanayoendelea, Chuki waliyonayo Watanzania ni kubwa sana, kuna siku wataanza kuingia ndani ya nyumba zenu
  4. fundi radio

    Uthibiti wa Matumizi ya Mapanga/Machetes Nchini Tanzania

    ulinzi ni jukumu la kila raia , sasa tukiweka ulinzi tu kwa viongozi pekee tukawaachia raia mzigo mkubwa wa ulinzi wao. itakuja kuwa backfire vibaya sana. sio salama sana viongozi kuzungwa na watu wengi wa hovyo(wasio fuata taratibu na sheria/( kujichukulia sheria mkononi)). ili jamii nzima...
  5. Life2

    WanaYanga Shusheni mapanga yenu chini

    Siku kadhaa zilizopita kulitokea sintofahamu baada ya chama la Yanga kuchangia kwenye harambee ya CCM Tsh milion 100 ni mengi sana yaliibuka na yanaendelea kuibuka. Kuna wale wanaoichukia Yanga kuanzia utoto wao, kuna wachambuzi uchwara, kuna mashabiki wa Simba na wao pia wamepata pa kutolea...
  6. DR Mambo Jambo

    Kwanini Tunalisukuma Taifa kwenye Inevitable Collapse? Moshi mweusi unapoonekana, Busara ni Kushusha Mapanga & Kurejea Mezani "Mungu Ibariki Tanzania"

    Nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa mijadala inayozunguka kauli ya “No Reform, No Election” ambayo sasa imekuwa gumzo mitandaoni na imeanza kujitokeza pia kwenye majukwaa ya wazi, hasa Jana Usiku kwenyr Tamasha la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kama Mtanzania ninayeamini katika utulivu...
  7. R

    Video: Arusha imekuwa kama Mexico, kuna vita inaendelea ya Cartels / Magenge ya mirungi wanaporana magunia mchana kwa pikipiki na mapanga

    Mirungu ni Biashara haramu hapa nchini yenye pesa nyingi, bangi haisogelei. Biashara hizi ni za cartels vikundi vilivyojiwekea utaratibu maalum vikiongozwa na madon wakubwa, inapotokea kutoelewana ama kuna wageni wanataka kuingia kwenye soko bila kufuata utaratibu huwa kuna kutunishiana misuli...
  8. MK254

    Mfahamu Charles Martel, aliyeokoa bara Uropa kutoka kwa mapanga ya waislamu

    Isingekua kwa huyu mwamba wazungu wangesilimishwa kwa mapanga, leo bara Uropa lingekua la hovyo limevurugwa kama ilivyo Mashariki ya kati na maeneo mengine yenye hii dini. Hii ilikua enzi ambapo uislamu ulikua unaenezwa kwa mapanga na walijaribu kushambulia Uzunguni ila wakakuta pagumu. Huwa...
  9. M

    DOKEZO Responded Kitendo cha Wananchi kugoma kuhama katika chanzo cha maji Bonde la Mto Ruhila na kuwafukuza Mgambo kwa Mapanga si dalili nzuri

    Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya kulipwa fidia. Kuna sababu mbalimbali walizozitoa kwanini wanaendelea kutumia maeneo hayo kwa matumizi...
  10. G

    Arusha: Dereva wa pikipiki aliyekaripiwa kwa kumkosa mtoto apandwa hasira na kuwaita wenzake kuivamia sherehe kwa mapanga

    taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio. Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki...
  11. Roving Journalist

    Polisi Songwe: Hatujapokea malalamiko ya Green Guard kutishia Wapiga Kura kwa Mapanga

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe, Augustino Senga amezungumza na JamiiForums na kueleza kuwa hawajapokea malalamiko yoyote kutoka kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu Wanachama wao kutishiwa kwa mapanga katika Vituo vya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  12. Roving Journalist

    LGE2024 CHADEMA Songwe: Green Guard walienda na mapanga kwenye Vituo vya Kupigia Kura kutisha Wanachama wetu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Issakwisa Thobiasi Lupembe amedai wakati wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 kulikuwa na matukio ya vitisho kwa Wanachama na viongozi wa Chama hicho kutoka kwa baadhi ya Watu. ===================== Taarifa ya...
  13. M

    Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

    Nimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema. Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita. Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na...
  14. Poppy Hatonn

    Andrew akimbia Butiama baada ya wanakijiji wenye hasira kutishia kumcharaza mapanga

    Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza. Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine. Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu. I wish a Happy...
  15. M

    Mwaka 2004 nilikatwa mapanga na vibaka mkoani Geita nikisotea kazi Mgodini mpaka leo sijatoboa nauza Kangala tu

    Baada ya kumaliza kidato sikupata chuo. Migodi mikubwa ndio ilikuwa imeanza kufunguliwa nchini. Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga. Nilivyooona Mambo...
  16. Hismastersvoice

    Mgogoro wa wananchi na wafugaji wa Kimasai utafutiwe suluhu

    Huko Morogoro umetokea mgogoro kati ya wananchi na wamaasai, chanzo cha mgogoro ni wamaasai walipeleka ng'ombe wao mtoni kunywa maji. Maji ya mto husika hutumiwa kwa matumizi ya kila siku majumbani na wakazi wa eneo hilo, ipo sheria inayokataza mifugo kupelekwa ndani ya mto kunywa maji ili...
  17. FRANCIS DA DON

    Askari TANAPA wadaiwa kuwavua nguo wanawake wafugaji na kuwababua kwa mapanga ya moto mwili mzima

    Kuna habari toka bungemi inaeleza kwamba kuna Askari wa TANAPA wamevamia wanachi kwa helicopter kwa madai wapo kwenye hifadhi, ambapo wameporw ng’ombe zaidi ya 200, pia wamepiga raia kiasi cha wengine kuwa mahututi, pia wamefanya ukatili wa kuwavua nguo wanawake hadi uchi wa mnyama, kisha...
  18. BARD AI

    'Panyaroad' washambulia tena watu kwa Mapanga Dar

    Jeshi la Polisi mkoani hapa lina washikilia watu wanne kufuatia tukio la vijana wanaodhaniwa kuwa ni wa kundi la Panyarodi kuvamia makazi katika eneo la Bunju B Mtaa wa Idara ya Maji saa 8 usiku wa kuamkia Februari 10, 2023. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dr es Salaam, Jumanne Muliro amesema...
  19. R

    Anayedaiwa kuwa Katibu Wa UVCCM wilaya ya Chemba Dodoma acharangwa mapanga na Mchepuko wake

    KATIBU wa {UVCCM} wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma,Ramadhani Kiula amejeruhiwa vibaya kichwani kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali na Mwenyekiti wa UWT ,Fatuma Ramadhani anayedaiwa ni mchepuko baada ya kumkuta na mchepuo mwingine aitwaye, Hamida Kondo akilishwa chakula. Kama habari...
  20. Roving Journalist

    Dar: Wahalifu wavamia mtaa, wapora mali & fedha, wapiga watu mapanga

    WATU watano wamejeruhiwa huku mmoja akiwa mahututi baada ya kundi la vijana kuvamia mtaa wa Tagusako, Tabata jijini Dar es Salaam, kupora mali na fedha taslimu." Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti, mashuhuda na viongozi wa mtaa huo, walisema vijana hao wakiwa na silaha za jadi...
Back
Top Bottom