maovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nchi iliyotenda maovu mengi inapotubu kwa Mungu na kuacha maovu yake, Mungu anaghairi kuipiga fimbo na kuisamehe

    "Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao." (2 Mambo ya Nyakati 7:14. Hili ni ahadi maarufu sana). MJI WA NINAWI Ninawi, mji wenye watu...
  2. JamiiForums Tanzania Shetani amezoea kulaaniwa na haachi uovu wake; vivyo hivyo tunailaani CCM na haitaacha maovu na ukatili wake

    Ifike mahala tuelewe kuwa hili dubwasha CCM limeishi kinafiki katika miaka yake ya ujana sasa limezeeka limegeuka kuwa shetani. Wanafikia kumdhuru yeyote anayekinyooshea kidole kusimamia ukweli. Wakosoaji wamekuwa wakiokotwa aidha wametteswa au wameuawa. CCM imemeza vyombo vyote vya Ulinzi na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania TUIMBE: Niko tayari kulipa gharama kuliko kunyamaza maovu yakitendeka

    Tuimbe sote wimbo huu kwa nia njema kabisa.
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi wa serikali au watu wengine wanaosapoti au kushiriki kufanya maovu chini ya hii regime haramu

    Ukweli ni kwamba muda wa regime hii ovu kuanguka haupo mbali.viongozi au watu walioshiriki kufanya maovu hakika wataadhibiwa baada ya hii regime ovu kuanguka na muda huo umeshafika. Regime mpya inayokuja nauhakika itawachukulia hatua watu wote walioshiriki kufanya maovu kama utekaji...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Joseph Ludovic: Viongozi wa dini wana haki na wajibu wa kukemea maovu lakini lugha wanayotumia si ya kiuchungaji

    Joseph Ludovic ambaye ni mwalimu wa na masomo ya dini mbali na kulaani vurugu za uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, mwaka huu ametoa wito kwa viongozi wa dini kuponya taifa kwa kuhimiza maridhiano badala ya kugeuka kuwa wachochezi kwa kutoa kauli zenye viashirio vya uchochezi wa kuligawa taifa.
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania na Kutetea maovu

    Hii kasumba ipo sana miongoni mwa Watanzania, zamani ilikua ni kwenye vijiwe vya kahawa. Hatimaye imekua Kansa sugu, taasisi za kidini, vyama vya siasa, vyombo vya ulinzi, viongozi wakubwa wa nchi wastaafu na wasasa, vijana, wazee, Radio na hata mitandao ya kijamii. Kwa sasa ni kitu cha...
  7. JamiiForums Tanzania Nimetoka mo29 na nimetoka D9, nitapinga maovu ya Samia na washirika wake hata nikiwa peke yangu

    Najitahidi nisiandike chochote ila naona nakua na fundo moyoni. Nilidhamiria kutoka Oct 29 hata nikiwa pekeyangu, bahati nzuri nilikutana na wengine. Jana nilitoka na bahati mbaya hakukua na wengine, lakini cha muhimu dhamira yangu ni iua, NIMETOKA. 1. Sijatoka kwakua sina ajira, ajira ninayo...
  8. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wakubwa katika mikoa hufuata Nini CCM ,kama sio kichaka Cha kufichia maovu Yao?

    Najiuliza au nauliza ? Hivi wafanya biashara wakubwa ufata Nini ccm? Au utumia kichaka hicho kama sehemu ya kufichia maovu Yao? Ccm ni chama au genge la wahalifu wanaojiunga Ili kufichaovu Yao? Ni nani aloyeccm ambae ni mzarendo wa kweli? 😭 Ccm ni lama au chama Cha majambaziiii
  9. JamiiForums Tanzania Kama Meta inaweza kusikiliza Serikali ya Tanzania, hawa wafuasi siku wakipata mtandao wa kijamii mwengine wamekwisha

    Kufungia account za wanaosema ukweli na wanaharakati kwenye mitandao ya kijamii kupitia Meta kunaonesha kujipoteza. Mi navyo wafahamu warusi na nchi nyengine ambazo social media zao zijaweza kuwa watu wengi na hii ndio itakuwa njia yao sahihi kutembelea kitonga. Kama wanaharakati wakipata...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana ,umasikini usiwafanye Mkatumiwa na CCM kwenye Maovu yao, Kwa CCM ukikubali Kutumika, ni kusaini Kifo chako Kwa siku zijazo !!

    Wanakupa 1 M, unakubali kutimika, unatoka Ushahidi wa Uongozi unatoka Tuhuma za uongo 😃 Pole sana kijana mjinga na mpumbavu, Wenzio CCM wanajuaz huko mbele unaweza kuwageuka ukatoa ukweli !!.
  11. JamiiForums Tanzania Mchungaji: Hatutaacha kukemea maovu sababu ni suala la mbinguni siyo la kisiasa.

  12. JamiiForums Tanzania Kutokupinga wauaji na watekaji ni kushiriki nao utekaji na mauaji. Tena kheri wauaji na watekaji kuliko wanaonyamazia maovu

    Hamjambo! 1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini. Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano. 2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki. 3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
  13. JamiiForums Tanzania Wako wapi waliosema hawatasimama, maovu yakitawala?

    Ukute waliosema hawatasimama maovu yakitawala wameshanunua sofa kitambo wamekaa kabisa, na hawana habari! Au yawezekana haya ya sasa bado sio maovu, kuna makubwa zaidi ya haya?
  14. JamiiForums Tanzania VIDEO: JWTZ mnapoimba nyimbo za kizalendo kama ..."Sitasimama maovu yakitawala" huwa mnamaanisha maovu gani labda?

    Huwa naona kwenye mazoezi yenu mnaimba nyimbo kama hii "Naapa Naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakurinda mpaka kufa" "Sita simama maovu ya kitawala......" Ukizingatia kwa kile tunachokiona watu wakitekwa na kuuawa ufisadi na machukizo kama yote halafu bado mnaomba nyimbo zinazoamsha hisia...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Padre: Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya

    Wakuu, Naona Padre anagussa mule mule " Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya, kuna watu wema waliotulia tu, wanajihisi na kujidhani wamekaa kwa amani". Ni wakati wa Watanzania kutambua ukimya si suluhisho kwa maovu yanayoendelea nchini.
  16. JamiiForums Tanzania Karma : Jinsi matendo maovu na mema yanavyolipwa

    Mtu akifanya makosa anapelekwa motoni Jehanam zipo nane; Reviving,Black Line, Crushing, Howling, Great Howling,Heat, Intense Heat,na Ultimate Torment Wauawaji wanapelekwa Reviving Hell. Hawa ndio wauaji waliomuua mtu mstaarabu. Kuzunguka hii Reving Heli zipo hell nyingine. Kwamba Ile...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kama siyo mchafu unatafuta nini huko CCM maana CCM ni makao Makuu ya Uchafu, maovu, ukatili and the like...

    Nimesoma andiko la Askofu Bagonza. Anasema Wooote, walioshindwa/waliopenya ie walioshinda?? wote ni wale wale. Wote ni waovu., (maharamia, majambazi, wahuni ........nyongeza yangu) WALIOSHINDWA, actually, though it looks strange, washukuru Mungu maana wameepushwa na mauti huko mbele
  18. JamiiForums Tanzania Ukiona hizi dalili jua umeshaachwa unasubiriwa wewe kujitangaza tu

    Dalili za kuachwa au kwamba uhusiano unaelekea kuisha mara nyingi huanza kwa mabadiliko madogo ambayo huongezeka polepole. Hizi hapa ni dalili za kawaida zinazoashiria kuwa huenda mwenzi wako anapanga kukuacha au tayari amepunguza mapenzi katika uhusiano: 1. Mawasiliano Kupungua Sana Hataki...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Padre Kitima: Sipo tayari kusifia mtu kufunika maovu

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, akizungumza Julai 8, 2025 na Jambo TV, Padri Kitima ameeleza kuhusu Viongozi kupenda kusifiwa na si kukosolewa ikiwa wajibu wao ni kutimiza mahitaji ya wananchi Pia amesema kazi ya kanisa ni kuonya kuelekeza...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati Serikali ya Samia ikijitetea huko Geneva, Maovu yake yazidi kuanikwa na vyombo vya habari vya Kimataifa

    Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni. Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…