Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba.
Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala.
Wanalipwa mpaka sasa 340,000 na serikali ilipitisha 500,000.
Mshahara wanalipwa mpaka mwezi upinduke, kati ya tar 4, 6, au 8...
Anonymous
Thread
hawana
ilala
kuhusu
kwanza
likizo
manispaa
mikataba
mkurugenzi
namba
uongo
watumishi
Vijana wanaoendesha Bajaji wamekuwa wakishikwa kwa nguvu na (WAGAMBO), kuna muda wanakimbizwa na gari na wengine wakisababishiwa ajali wakidai ni WRONG PARKING.
Baada ya kukamata Bajaji zinafungiwa ndani na ukifatilia ili uzitoe, unaambiwa ulipie Shilingi LAKI TANO (Tsh 500,000).
Tumeenda...
Anonymous
Thread
bajaji
malalamiko
manispaamanispaa ya songea
mjini
songea
songea mjini
uonevu
vijana
Ujenzi wa kipande cha Barabara ya Kilomita 1.6 kinachopita maeneo kadhaa ndani ya Manispaa ya Bukoba ambacho ujenzi wake ulianza Oktoba 9, 2023 ilipaswa kukamilika tangu October 8, 2024 mpaka leo Feb 16 2026 hakijakamilika na kuta zinazidi poromoka.
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa kuta za mawe...
Anonymous
Thread
barabara
bukoba
hii
kukamilika
manispaa
oktoba
ujenzi
ujenzi wa barabara
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU HUDUMA YA VYOO KATIKA STENDI YA MAWASILIANO (SIMU 2000)
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa zilizochapishwa na Jamii Forum tarehe 31 Jan 2026 zinazosema "KUSITISHA HUDUMA YA VYOO STENDI YA MAWASILIANO, KUNASABABISHA KERO KWA...
Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na kiutaratibu zilipaswa kulipwa mara baada ya kuajiriwa.
Hadi kufikia sasa, tumetumikia kwa kipindi...
Anonymous (8196)
Thread
afya
ajira
ajira mpya
hii
idara
idara ya afya
ifutwe
kuhusu
kujikimu
malalamiko
manispaa
mpya
naomba
pesa
pesa za kujikimu
post
watumishi
Baada ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi kukamilika maeneo ya Gongolamboto, wafanyabiashara ndogo yaani Machinga sasa wameamua kupanga biashara zao hadi katikati ya barabara, matokeo yake sasa kuna foleni kubwa nyakati za asubuhi na jioni.
Dalili ya kuongezeka kwa wafanyabiashara katika eneo...
Shughuli ya upigaji kura inaendelea katika Kata ya Malangali Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, ambapo wananchi wameendelea kujitokeza kupiga kura ya udiwani katika uchaguzi wa marudio unaoendelea leo Januari 22, 2026.
Wananchi wameendelea kujitokeza katika vituo mbalimbali vya kupigia kura...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro kutupa takataka katika barabara za Muhimbili, Tubuyu II, Mjimwema, Barakuda na Kihonda-VETA zenye urefu wa Kilomita...
Leo nipo kikazi hapa ila nimeangalia mji ulivyo hapa kama mjini.
Una stendi nyingi za kwenda sehemu nyengine na cha kushangaza ndio yenye benk nyingi na zengine zinakuja.
Imeoza kwa sababu:
1. Mkurugenzi hana spirit ya Uongozi ndani, japo amekaa sana Tamisemi Kama bunch officer hivyo anashindwa kuwasimamia wasaidizi wake
2.Mkuu wa Idara ya Utumishi (MHRO) ana jeuri na kiburi sana kiasi kwamba haoni shida kumkolomea kila mtu/ mtumishi kwa sababu anajua...
Naomba niorodheshee miji ambayo NI makao makuu ya mikoa nchini iliyozidi kudumaa kiashiria kimojawapo NI uwepo wa nyumba za udongo barabara kuu katikati mwa mji.
1. Lindi
2..........
3...........
Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi Mkoa wa Shinyanga na wale wa Manispaa ya Shinyanga wanafanya kazi zao kwa mazoea sana huku wakitengeneza mazingira ya kupokea rushwa kutoka kwa wananchi.
Kama week mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la urasimishaji wa ardhi katika kata ya Kizumbi, kijiji cha...
Anonymous
Thread
ardhi
idara
idara ya ardhi
kazi
manispaa
mkoa
shinyanga
utendaji
wafanyakazi
Utupaji hovyo wa taka kando ya Mto Matarawe umekuwa tatizo kubwa linalozidi kushamiri kila siku. Wananchi wanaoishi karibu na mto huo wamegeuza kingo za mto kuwa sehemu ya kutupia taka ngumu, taka za nyumbani, plastiki, mabaki ya chakula na hata vinyesi.
Tabia hii si tu inaharibu mandhari ya...
bomu
halmashauri ya manispaa ya songea
kimya
manispaamanispaa ya songea
mjini
mto
mto matarawe
nec mazingira
rc ruvuma
songea
uchafuzi
uchafuzi wa mazingira
Kama uso ulivyo..
Naomba kujua rate kwa ngazi hizi.
C.........
D......
E......
F........
G.......
H.......
I........
Ikumbukwe hizi ni per diem wale wahusika watajua.
Kama huhusiki huwezi jua, so kaa utulie
Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kueleza kushangazwa na hali ya uchafu ya vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda, kutokana na kujaa maji taka na hivyo kuweka rehani afya za watumiaji ambao wanaweza kupata magonjwa mbalimbali kama UTI, Mamlaka imetoaufafanuzi.
Kusoma hoja ya...
Machi 28, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com aliwasilisha andiko lake akilalamikia changamoto ya Miundombinu ya soko la Bombambili kwa kueleza Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya
Alisema Soko la Bombambili ambapo ndipo Wafanyabiashara walipohamishiwa...
nina dakika chache za kuwa hapa lakini namtumia salama tu Mkurugenzi Manispaa ya Moshi,Mwajuma Nasombe aache kufungia biashara za watu soko la Mbuyuni.
Wafanyabaishara hawa walipatwa na mkasa wa kuulinguliwa soko mara mbili,mwaka 2022 na mwaka jana wameingia hasara kubwa za kupoteza mali zao...
Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, Abdallah Mtinika amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Temeke.
Mtinika amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Temeke, Sayi Samba.
Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bovan Mwakyambiki achukua Fomu ya kugombea Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa katika uchaguzi Mkuu wa Oct 2025.
Akizungumza mara baada ya Kuchukua Fomu hiyo, Bovan amesema kuwa Hatua hii si tu ya kisiasa, bali ni ishara ya ujasiri, utayari na...
Katika manispaa ya Moshi Kuna upendeleo mkubwa wa upangaji walimu katika shule za msingi Kwa kile kinachodaiwa walimu wakuu kutotoa "bahasha ya kaki" Kwa afisa elimu na maafisa taaluma msingi.
Kuna shule Zina idadi ndogo ya wanafunzi lakini walimu ni wengi kuliko shule zenye idadi kubwa ya...
Anonymous
Thread
manispaa
moshi
msingi
sawa
shule
shule za msingi
uwiano
walimu