mange kimambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Ofisi za Mange zilizopo Kinondoni jijini Dar zimevamiwa na wafanyakazi wake kukamatwa. Kweli kujipendekeza hakulipi. Niliumia sana kuona anamdhalilisha prof J. Hivyo hii ni furaha kwangu. Prof Jay Mungu aendelee kukupigania. ======== Mange kaandika: Yes, mlichosikia ni kweli kabisa. ofisi...
  2. Hospitali ya Taifa Muhimbili yafafanua kuhusu video ya Joseph Haule (Profesa J) iliyosambazwa mitandaoni

    Baada ya Video kusambaa mitandaoni ikimuonesha Joseph Haule (Profesa J) akiwa anapambania maisha yake kwenye Chumba cha Wagonjwa ambao wanapewa Uangalizi Maalumu(ICU), Hospitali ya Muhimbili imedai kumtafuta aliyerekodi Video hiyo. Pia soma; 1). Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge...
  3. Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

    Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea. Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo. Serikali kupitia hiyo video...
  4. Je, marehemu Dr. Malecela alikuwa na mahusiano gani na Mange Kimambi?

    Wakuu habari za muda huu. Wakati wa nyuma kipindi cha hayati John Pombe, kulikua na vichwa viwili vilivyokua havikosi kuleteana maneno ya hapa na pale kwenye Instagram, yupo aliyempigania hayati na mwingine anaponda utawala wa hayati. Yupo Mange kimambi na mwenzake Le mutuzi mobimba, hawa watu...
  5. Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

    Bongo nyoso kweliiii. Hawa ndio mastaa wetu ambao tunasema ni vioo vya jamii. Lakini their life is fake to the ground...
  6. Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JF Kenedi Jijini New York Marekani leo Sept 19,2021 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Sept 2021. RAIS...
  7. IGP Sirro alituahidi kumkamata Mange Kimambi kwa udi na uvumba, leo hii tunamuona akipiga picha na Rais wa JMT. Ndio kusema hakuikosea Jamhuri?

    Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe. Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa...
  8. D

    Uchambuzi: Kwanini Rais Samia hakukataa kusalimiana na Mange

    Kuna vijiminong'ono! Kwamba Je, ilikua haki Rais Samia kukubali kusalimiwa na Mamge kimambi aliyewahi kuutukana utawala wa awamu ya TANO? Jibu ni ndiyo! Rais alikuwa sahihi kabisa kwasababu zifuatazo; 1. Rais alihudhuria mkutano na kuongea na watanzania waishio Marekani, hivyo kukataa...
  9. DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

    Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salim hivi sasa anazungumza na waandishi wa vyombo vya habari kuhusiana na kuhusishwa na kampeni zinazoendelea katika Jimbo la Kinondoni. ===== Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Mussa Alhad ameelezea picha inayosambaa kwenye mitandao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…