maneno

Maneno was a blogging application powered by PHP, Smarty, and MySQL with content management capabilities. Initially released in October, 2008, it focused on creating a multi-theme, multi-author, multi-lingual system that works in a hosted setting [1]. The name Maneno means 'words' in Swahili and the site focused on having low latency/filesize options to make it fast to load on low bandwidth connections [2]. Additionally, it had an architecture that allowed for heavy customization by end users.
The core of the system was envisioned after a trip to the Democratic Republic of Congo in 2008 by two of the founders. They realized that while trying to write articles from the country via VSAT connections, the connection speeds proved incredibly slow and discouraging for not only them, but anyone striving to pursue citizen journalism endeavors [3]. Additionally it was shown that the language spheres of Africa had nearly no crossover between one another. Taking these issues into account and coming to the conclusion that no current blogging system adequately addressed them, this entirely new platform for blogging was created to serve the African blogging community.
Maneno was available in Bambara, English, Spanish, French, Fula, Swahili, Lingala, Portuguese, and Zulu. The available languages covered all of the lingua franca languages of Africa as well as a selection of large local African languages that were gradually added to. The site worked in allowing a user to be able to view and interact with the site in any one of the languages available for the interface as well as being able to translate articles and sections of the site via a crowdsourcing method [4].
In August 2010, Maneno announced that would be scaling back their extensive social media outreach initiatives to focus on developing the core technology of the site [5] and as of 2014, the site is now inactive.
The Board of Directors were a group of bloggers and technology enthusiasts working to expand the platform and reach out to new bloggers. Members were: Rebecca Wanjiku [6], Elia Varela Serra, Saul Wainright, and Miquel Hudin.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Amenaswa na maneno ya kinywa chake mwenyewe; Asema - Zanzibar hakuna "aliyenyukuliwa". Watanganyika "Tulinyukuliwa" kwelikweli...!!

    ================= Tumuulize Bwana Kamusi tujue exactly maana ya neno "nyukua" na mnyambuliko wake... Na hii ndiyo maana yake... NYUKUA: Ni kitenzi cha Kiswahili kinachomaanisha kufinya, kunyofoa, au kung'oa kwa ghafla kwa kutumia vidole, na kitu chenye ncha kali: Mnyambuliko wa Maana na...
  2. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanachanganya haya maneno mawili: best & favorite

    Moja ya vitu vinavyoleta mkanganyiko mkubwa kwenye mijadala ya watu ni matumizi ya maneno mawili “Best” na “Favorite.” Unapaswa kuelewa kwamba kitu kinaweza kuwa Best kwa maana kwamba unakikubali kuwa ndicho bora zaidi, lakini kisiwe Favorite chako. Vivyo hivyo, kitu kinaweza kuwa Best na...
  3. JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Je, unayafahamu maneno haya? Ni lugha gani?

    Kinyengo Mafyulisi Mang'ang'a Matombolilo Posolo Katapera Nguniani Mapululilo Mkambokambo Mapohora Mang'ela Mabangayeye Migagi Vitindi/ kitindi Kipumilo
  5. JamiiForums Tanzania 2030 Kuna watu watakimbia hii nchi. Hifadhini maneno haya

    Wezi na wabadhirifu wa Mali ya umma, mafisadi na familia zao, matajiri wa dili ambao kwa awamu hii wanatamba wajiandae. Mapema 2030 watahama na Mali zao kutaifishwa. Huyu Samia kitakachomlinda ni katiba hii mbovu ila akijichanganya tukapata katiba yenye meno na yeye atavuna alichopanda.
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi:-Endapo kama wewe upo fb na uliwahi kutoa maneno ya kichochezi jiandae!

    Utapelekwa mahakamani,na uchochezi wako,yaani kile ulichochochea kwa kukiandika kita wekwa mbele yako!,utakana lakini kwa nguvu ya teknolojia itakutambua,kwa tarehe,muda na sasa uliyoweka utumbo wako!,ubaoni / #Uzito wa ulichoandika kitaelekeza aina ya kifurushi unachostahili kupewa! Kwa kosa...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania mnasahau haraka sana. Hebu tuangalie maneno ya Kitila Mkumbo, miaka michache tu nyuma

  8. JamiiForums Tanzania Neno “Pambaneni” ni Miongoni mwa Maneno ya Kihuni

    Neno pambana ni neno la mtaani zaidi ambalo sio rasmi hutumika na wahuni kuashiri msirudi nyuma na usikate tamaa Lakini je watanzania wapambane na Nani kupata katiba mpya ? nilidhan PhD ingeeleza na hatua za kupambana Kwamba head of the state anataka katiba mpya , hivyo watu wapambane...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ijapokua haaminiki lakini tufanyie kazi maneno yake mawili,"Pamabanieni,na komaeni mpate katiba"

    Inafahamika mapambano yetu sio ya silaha. Tunawaomba Polisi watuache tuendelee kupambana. Njia zetu za mapambano ni zilezile. -Maandamano bila Kikomo. -Mikutano ya hadhara bila kuzuiwa -Kuishitaki serikari Kwa taasisi kimataifa -Kuhamasisha watu waongeze kuipinga serikali haramu. Sasa tutakua...
  10. JamiiForums Tanzania Sheikh Walid na Al had Mussa warushiana maneno kuhusu kumiliki Bastola

    Akihutubu kwenye msikiti wa Kichangani. Sheikh Walid ameshangaa inakuwaje sheikh anaingia msikitini na Bastola 👇 Hapa Sheikh Walid anashangaa inakuwaje sheikh anakuwa na bodyguard na Bastola. Lakini hapa chini Al Had Mussa akajibu kuwa sheikh kumiliki Bastola ni Sunnah 👇 Kwa maoni yako yupi...
  11. JamiiForums Tanzania Yoyote anayemtuhumu HECHE , mwenye Ushahidi, auweke wazi mbele ya Vyombo vya Habari !! Kwann mnamtuhum Kwa maneno maneno?.

    Mtu anaitwa Vyombo vya Habari, anasema, HECHE anakula Hela za TONETONE. unakuta Mtu huyo, anajikita ni Katibu wa BAVICHA Nanjilinji. Yaan wewe wa Nanjilinji hukoo maporin, unaanzaje Kufungua Kinywa chako kua HECHE Anakula Pesa??. Weka makaratasi Mezani !!!. Tuko na Heche mpaka Siku ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kama ungewahi ungepona...... Kama ungewahi ningekusaidia..... ni Moja kati ya maneno yanayoumiza sana

    Kuchelewa ni adui mkubwa wa mafanikio na afya. Watu wengi wameponzwa na kusema "baadaye". Nitaenda baadaye hospitali, baadaye nitaomba msaada, baadaye nitaomba, baadaye nitarekebisha mahusiano yangu. Lakini "baadaye" nyingi huwa haziji. Unapokutana na shida ndipo unakumbuka watu na fursa...
  13. JamiiForums Tanzania Semantic Shift katika Siasa: Je, Tunatawaliwa na Uhalisia au na Maana ya Maneno?

    "Ukitaka kuelewa siasa, usisikilize maneno pekee; angalia matokeo." Hii ni kanuni ambayo imejitokeza mara kwa mara katika historia ya siasa duniani. Katika sayansi ya siasa, kuna dhana inayojulikana kama semantic shift—yaani mabadiliko ya maana au matumizi ya maneno ili kubadilisha jinsi...
  14. JamiiForums Tanzania Haya maneno mawili ni Kiswahili kilichopotoshwa na GenZ

    Yatumie kwa tahadhari kubwa Tutaco Gutaco
  15. JamiiForums Tanzania Ni maneno gani ukikuta mtu kakomenti humu jukwaani unajua kabisa huyu kavurugwa na maisha?

    Ciao, Kuna baadhi ya watu humu jukwaani wamevurugwa na maisha kwa iyo wasikusumbue akili. Utawajua kwa hizi komenti 👇 "Jiandae urudi shule" "Kwan shule zimefungwa?" "Hama apo kwa shemeji yako 😁" "Unahitaji kumeza dawa zako" "Tafuta hela" "Njoo pm" "Mwanaume mzima unawaza mapenzi?"...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya tatizo sio katiba mpya !

    "Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato...
  17. JamiiForums Tanzania Andika maneno matamu kwa mwenza wako

    Shikamoni wote humu maana mi ndo last born wenu humu. Huu uzi alitakiwa auandike Binti wa zamani ila acha nijilipue; "My racing white darling uzuri wako hauelezeki. Tangu umekuja kwenye maisha yangu unafanya kila siku inakuwa mpya. Kwa mahaba haya unayonipa unanifanya nijisikie nipo kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Ongeza AURA Yako: Jinsi ya Kuheshimika Bila Maneno

    Jinsi ya kuongeza AURA yako (Define Aura As Ule Utulivu Wenye Nguvu Unaomfanya Kila Mtu Akuheshimu Na Kuhisi Uwepo Wako Bila Hata Wewe Kuongea Sana). 1. Ficha michongo yako, weka matokeo mezani. Kuropoka sana kuhusu mipango yako kunavuja nishati (energy) yako bure. Matokeo huwa yana sauti...
  19. R

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu, Profesa Mussa Assad: Sikusema Bunge ni dhaifu, hayo yalikuwa maneno ya Ndugai

    Mwandishi: Nikikurudisha nyuma Profesa, 2018. Tupo kwenye uhuru. Unahisi maneno yako uliyotoa kwamba, "Bunge ni dhaifu," tungeweza kurudisha labda muda 2018, ungeyafuta yale maneno au ungesimama na msimamo wako wa Bunge ni dhaifu kipindi kile? Professor Mussa Assad: Unajua, labda tukubaliane...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna maneno mufti zuberi alishawahi sema kuwa samia kaandikwa kwenye quruan.

    Kuna kiwango kikipitiliza cha kujipendekeza mpaka kinakosekana cha kujipendekeza. Kuna siku mufti zuberi akiitisha wanahabari na mnukuu maneno yake kuwa samia kaandikwa kwenye quruan raisi wa tanzania. Cha kujiuliza ni hii Quruan ambayo ijawahi kuchezewa wala kubadilishwa. Ila cha kushangaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…