manara

Menara (Hebrew: מְנָרָה‎) is a kibbutz in northern Israel. Located in the Upper Galilee adjacent to the Lebanese border and overlooking the Hula Valley, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2019 it had a population of 248.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Manara: Kwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi

    “Kwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi. Sina la kuongea nae maana yeye alisema mimi ni Mwanachama tu hivyo siwezi kumtafuta nalinda brand yangu” “Tulikuwa ‘very close’, Yeye ndiyo alisema mimi ni Mwanachama na Kutokana na mazingira unakaa pembeni...
  2. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukamdharau na kumtweza Manara halafu uendelee kushinda

    Hersi alimleta Haji Manara ndani ya Yanga kwa ahadi ya kumheshimu na abadani hatomkosea adabu. Ajabu, Hersi ghafla akanogewa na vitoto vilivyoletwa mjini na Manara na mbaya zaidi akaviruhusu vimtweze. Hakika Hersi atambue hawezi tena kupata maendeleo kwa namna alivyomtenda Haji! Haji ni mtu...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Manara, kama unataka kuondoka nenda tu, lakini usitoe siri zetu

    Ni hivyo tu, ya huku yaache huku, madaraka yasikutoe ubinadamu na utu, huyo uliyemtuma ajifanye anajua kurekodi tunamjua. Cheo kisikutoe utu, na ulipewa ukakikataa
  4. T

    JamiiForums Tanzania Manara: Asichokijua Mwabukusi ni kuwa mpira ni ajenda kubwa sana nchi hii kuliko hata siasa

    Akihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie Simba na Yanga hapo utawapata. Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anahitaji kuomba msamaha, asema sababu ya kuondoka Simba ni Try Again na si Barbara wala Mo Dewji

    Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try again sio Barbra wala Mo. Je baada ya hii kauli haoni sababu ya kuwaomba msamaha rasmi Mo na Barbra...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Emg.Hersi umemkosea sana heshima na adabu Haji Manara

    Kumbuka Haji Manara ndio amekusaidia kuifanya yanga iwe na mafanikio haya yanayoonekana leo, wengi wanaweza wasijue lakini amekusaidia sana kujua mengi yanayohusu Simba, Eng Hersi wewe ni msomi na mtu makini sana, unajua sana ku set strategies, I love it, lakini kuondoka kwa Manara pale Simba na...
  7. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Haji Manara Amesusa? Hakufurahishwa na matokeo ya Yanga?

    Salamu ni upotezaji wa muda twende moja kwa moja kwenye mada. Tangu Yanga waibamize Simba 'Kigoli' kimoja huyu msemaji ambaye siku za hivi karibuni alionesha kuitaka sana hiyo kazi. Hata kupelekea dogo msemaji kujiuzulu. Leo yupo kimyaaaaaaa hakuna mahali alipojitokeza kuonesha kafurahishwa...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Msigwa kama Manara tuu.. CD zao zimestuck penye scratch

    Kuna na Upendo Peneza pia Manara msemaji wa Yanga deep down ni SIMBA 100% Kaenda Yanga kwa sababu ya njaa tu Msigwa si mwana CCM kwa hali iwayo yote.. Njaa iliyokimbilia kichwani ndio iliyompeleka CCM Mapenzi ya kitu huja na kupoteana lakini sio mahaba.. Wapenzi waachanao na kurudiana kila...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Eng: Hersi sio smart kama nilivyotegemea kwa suala la Manara. Kashaharibu relationship ya Kaizer Chief na Yanga

    I just saw a goal.com South Africa posting Manara words . Manara Ameshusha brand ya Yanga na fan base South Africa in a single post. Hersi katengeneza kitu kikubwa then kaajili mtu kukibomoa . Sijui kama Hersi anajua Manara kasha zingua huko South Africa. Mtu karibu na Hersi amshtue kazi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kumtambulisha Hamissa Mobeto mbele ya Makamu wa Rais ni upuuzi wa kiwango cha kimataifa kwa Haji Manara

    Kiukweli nimesikitika sana, yaani siku ya Mwananchi imegeuka kuwa siku ya watu kutangaza ndoa? Eti Hamisa mnafunga ndoa lini? Why between my interview unakuwa mpumbavu kiasi hiki? Hamissa Mobetto ni nani hadi atambulishwe siku hiyo ya Mwananchi, maskini mmempiga chini Ally Kamwe hajaonekana...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Manara ana kipaji cha pekee, wanayanga tunamwamini

    Manara ni fundi wa hizi kazi Ana kipaji cha pekee Watanganyika Kwa wivu wao wanajiinua mmoja Moja ili kumvunja moyo. Tuache wivu, Manara ndo best spokesman katika football, Ally Kamwe hawezi kufikia level ya Manara hata robo, japo anafanya vyema. Maadui msijifanye kumrudisha nyuma, wakati kazi...
  12. vibertz

    JamiiForums Tanzania GSM na Hersi mmekivuna mlichokitaka kwa Manara

    Manara hajawahi kuwa na weledi hata siku moja katika kauli zake, hajawahi hata kuonesha ni kama mtu mzima mwenye busara ni kama bado kijana wa under 18 anayejifunza baya kipi na zuri kipi. Kaharibu shughuli yote iliyokuwa imefana kwa uswahili aliuokuwa na hilo mmelifuga wenyewe GSM na Hersi...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alivyomuharibia Antonio Nugaz maisha, yupo Magomeni anauza nguo

    Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem) Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii, kipindi alikimudu kwelikweli. Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli. Augost 2021 Haji Manara huyu hapa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba walianza kuuza Tiketi na Jezi wiki 5 nyuma. Yanga watumia wiki 1 tu kwa mujibu wa Manara

    Kwenye hii video Manara anadai kuna Fact ambayo haisemwi kuwa Simba ilianza kuuza jezi na tiketi wiki 5 nyuma. Yanga wametumia wiki 1 tu kuuza tiketi na jezi na zimeisha, huku akisema kuna propaganda ambazo yeye alikuwa anatumia huenda ndio Simba wametumia kuonesha wamemaliza tiketi zao( Sold...
  15. Dabil

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe na Manara nani atatangaza kikosi cha Yanga tar 4?

    Kuna mchuano mkali hapa, atakayetangaza nadhani ndo picha halisi kwamba ana nguvu kuliko mwenzake ndani ya Yanga. Hapo lazima kutakuwa na anguko la mmoja kati ya hao hapo Labda kuondoa sintofahamu atangaze Maulid Kitenge. Je, kwa mawazo yako nani atapewa kipaza sauti siku hiyo?
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Zaiylissa ninayemuona hapa katika Clip akifanya Mazoezi ndiyo huyu huyu Mke wa Haji Manara au?

    Yaani kuna Zoezi moja naona ameshika Mashine huku anaichanua Miguu yake Kulia na Kushoto na 'Kitu' Kimetuna tu.
  17. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tiketi za Simba day ziliuzwa kwa mafungu na ulanguzi ili ziishe mapema

    Kwa mujibu wa Haji Manara Simba waliwatuma watu wanunue tiketi kwa mafungu ili waje wazilangulishe siku ya mechi ili watabgaze Sold out, asena sold out ya Simba ni ya mchono. Nachojiuliza taarifa hiyo ni kweli? Kama kweli Simba watakuwa wanadanganya ili iweje?
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga umuonye Haji Manara, utoe tamko tafadhali hatutaki shida za Simba Yanga

    Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Upo uwezekano mkubwa mashabiki wa Yanga wakamzomea Haji Manara siku ya Mwananchi kutokana na mapenzi yao kwa Ally Kamwe

    Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu tarehe 8 akidai watafanya mauaji, akaahidi kuwa endapo Simba hatofungwa chini ya bao 4 atarudi pale...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Manara tukiwapiga Simba chini ya Goli nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja

    “Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.” —— Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
Back
Top Bottom