THE ONE AND ONLY HAJI SUNDAY MANARA
Nimemjua Haji bado mtoto mdogo Mtaa wa Bonde karibu na Msikiti wa Sheikh Idrissa bin Saad.
Baba yake Sunday "Computer," Manara rafiki yangu na sote tunafanyakazi East African Cargo Handling Services (EACHS).
Tumekutana kwenye walima wa mmoja wa wajukuu zetu...