mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Iran yatangaza kufungwa kwa anga hadi itakapotangazwa tena

    Iran yatangaza kufungwa kwa anga hadi itakapotangazwa tena Na AFP na Wafanyakazi wa ToI Leo, 11:41 asubuhi Mamlaka ya usafiri wa anga ya Iran imetangaza kwamba anga ya nchi hiyo imefungwa "hadi ilani zaidi," vyombo vya habari vya serikali vimeripoti, huku Israel na Iran zikiendelea kufyatua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya musa,,aliyesema mamlaka iheshimiwe sasa anaikolomea mamlaka iyo iyo iliyomsaidia kukimbia trh 8!

    Kweli waswahili husema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,,Hawa Simba wamekuwa kituko cha Karne! Wamekuwa wakipiga debe kuwataka yanga waiheshimu mamlaka lakini Leo hii wanatoa kitamko chao uchwara kuwapiga mkwara bodi ya ligi kuwa awako tiyali kucheza mechi nyingine ikiahirishwa ya trh 15...
  3. JamiiForums Tanzania Maaskofu na Masheikh ni raia pia, tiini mamlaka bila shuruti

    Dini sio mhimili miongoni mwa mihimili kwenye taifa. Kazi kubwa kupita zote za dini ni kukusanya sadaka na kazi nyingine zitafuatia tu. Hakuna tukio Wala kusanyiko la dini lisilokuwa na utoaji sadaka. Ili dini ziwe imara lazima usalama, utulivu na hali ya uchumi wa waumini viwe imara pia, la...
  4. JamiiForums Tanzania Derby ya kariakoo serikali imewaachia mamlaka za mpira, huku ikifuatilia Kwa ukaribu mvutano uliopo

    Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM) Festo Sanga ameitaka serikali kutoa kauli kuhusu mvutano unaoendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo inayohusisha klabu za Simba na Yanga. Akijibu swali hilo Jumatano Juni 11,2025 Bungeni Jijini Dodoma Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi muundo wa KKKT upoje naona kama kila Askofu ana mamlaka yake

    GT Pesa ni hatari sana. Ndo maana hata kwenye bibilia pesa imeandikwa kumsaliti yesu. Viongozi wenye njaa wanaenda kulitumbukiza taifa hili katika matatizo Makubwa sana. Wale wa wa upande ule ambao walikatazwa kuwa na familia nadhani waliona mbali sana maana kuepuka maslahi binafsi ni kazi...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi Mama mzazi wa Rais wa Mamlaka ya Palestina, Mahmoud Abbas, ni Myahudi

    Wadau hamjamboni nyote? Ndiyo maana rafiki wa Mayahudi Ni tetesi mwenye taarifa kamili aje atujuze. Tazama taswira yake
  7. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Msemaji wa Serikali kuweka sawa kauli ya Rais Samia kuhusu kuheshimu imani ya kila mtu nchini

    Kufuatia Kauli ya Rais wa JMT, kuwaambia baadhi ya waumini wa Kikristo kuwa Utumishi wao ni wa KISHETANI- je Presidential Department ime compromise intergrity na Misingi ya Taasisi hiyo kuwa inaheshimu Imani zote? Kutumia CHEO na Platform za kidini kujustify UOVU .... sidhan kama ni mila na...
  8. JamiiForums Tanzania Ni asili ya Uislaam kutii mamlaka ila sio uchawa

    Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO. Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila...
  9. JamiiForums Tanzania Kabla hamjayafungia hayo makanisa tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie

    Bashungwa Bashungwa Bashungwa Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo. Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi duniani lakini nikuambie kitu. Usicheze na walokole. Mungu wa Walokole yuko active mno zaidi ya miungu...
  10. JamiiForums Tanzania Tiini mamlaka zinazotokana na Katiba kwanza mengine yatakuja

    Katiba hii ya 1977 alituachia Baba wa taifa Mwl Nyerere. Kama ni nzuri au mbaya yafaa tujadiliane sote maana nchi ni yetu sote sio ya kikundi kidogo cha watu wanaotaka kutuwakilisha sisi sote. Mwl Nyerere alitamani siasa za China na Soviet kwa wakati ule, je tumevuna nini?. Mchakato wa Katiba...
  11. JamiiForums Tanzania Yupo wapi Askofu Gwajima? Mamlaka za kidunia hazifahamu pamoja na kuzingira kanisa

    Pamoja na kwamba alikuwepo wakati wanavamia kanisa siku ya jana, bado hawajafanikiwa kumuona. Taarifa nilizopata ni kwamba anaenda kushusha "press" na wakali wa "Mahanaim" wanatinga mahakamani. Bila kusahau kwamba mpambano katika ulimwengu wa roho nao unaendelea vikali dhidi ya jezebeli.
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Serikali na Mamlaka zote duniani zimewekwa na Mungu?

    Warumi 13 Neno: Bibilia Takatifu Kutii Mamlaka 13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi...
  13. JamiiForums Tanzania Sio kila mamlaka inatoka kwa Mungu

    Credit: Pastor Jesse Matosha #SIO KILA MAMLAKA IMETOKA KWA MUNGU. ACHENI KUTAFSIRI WARUMI 13:1–7 NJE YA MUKTADHA! Watu wengi wamekuwa wakitumia Warumi 13:1–7 kama silaha ya kunyamazisha watu dhidi ya dhuluma, ufisadi, ukandamizaji, na udikteta — kana kwamba kila kiongozi aliye madarakani ni...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya RITA ifanye uchunguzi wa RITA Misungwi

    Habari wana JF, Naomba mamlaka za RITA makao makuu zifanye uchunguzi wa kiutendaji katika taking la RITA MISUNGWI Kwanza, Kuna mtu alienda kufanya marekebisho ya cheti Old to New wakamwambia ni Tsh 30,000 wakati control namba ni Tsh 7,000 achana na hapo toka 3/5/2025 mpaka leo tar 1/6/2025...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni nani anayeweza kukaa mbele ya mamlaka kuu ya nchi yetu namna hii?

    Shida sio kukaa hivyo mbele ya SSH. Shida ni pale Rais kakaa kwenye kiti chenye mamlaka ya utawala na bendera zote mbili ya Rais na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania zikiwa nyuma yake alafu mtu anakaa mbele ya mamlaka kama yuko geto na masela huku yuko bize na simu na haonyeshi kumsikiliza...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya (W) Ngara Col. Mathias Julius Kahabi Tishio la Kisiasa kwa Vijana wa Ngara : Mamlaka za Uteuzi Ingilieni Kati

    Mkuu wa wilaya ya Ngara COL. MATHIAS JULIUS KAHABI kupitia kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (W) Ngara cha mapema Mwezi huu Mei alinukuliwa akitoa kauli za vitisho dhidi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akitishia kuwakamata na akikishauri chama kutowateua katika nafasi za uongozi uchaguzi...
  17. JamiiForums Tanzania CHAUMMA kimekuwa kimbilio cha wenye uchu wa madaraka

    katika siku za karibuni tUmeona wanasiasa wenye UCHU wa mamlaka, CHAUMA kimekua kimbilio kwao, hii ni baada ya chama chao kutaka mabadiliko yakimfumo na kugomea kushiriki uchaguzi mkuu wa october 2025,Wengine wamejiengua mapema na kutimkia Chauma hasa kwa lengo la KUSAKA madaraka na kutimiza...
  18. JamiiForums Tanzania Unajua kama raia una wajibu kwenye ulinzi wa uhuru, mamlaka na umoja wa Taifa? Timiza nafasi yako

    Wewe kama raia una wajibu wa kuhakikisha unadumisha uhuru,amani na umoja katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi. Kama raia unatakiwa kudumisha uhuru,amani,umoja na kulinda rasilimali za nchi Ikiwa raia hatalinda hatotekeleza wajibu huo basi anaweza kushtakiwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Chadema fungua shauri mahakamani kupinga maagizo ya msajiri wa vyama vya siasa, "inaezekana" ana maagizo ya mamlaka yake ya uteuzi, anaweza kuifuta.

    TAKE IT SERIOUSLY Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake! Hawa CCM and it affiliates siyo watu tena, ni wanyama kabisa, na kweli ataifuta (ingawa inaweza kuleta...
  20. JamiiForums Tanzania Mamlaka husika zinawaza nini kuhusu Stendi ya Mbagala Rangi Tatu? Ni kero kipindi cha mvua

    Hali ni mbaya kwenye stendi hiyo yenye daladala na ofisi za mabasi yanayoenda mikoani hasa mikoa ya kusini, abiria tunaofika kwenye stendi hiyo tunakumbana na kero kubwa, daladala na mabasi kuna wakati yanapata shida ya kupita kutokana na tope. Lakini inashangaza kwa miaka yote Watu wa daladala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…