Al-Mamlaka (Arabic: المملكة, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.
Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa vikali na ukiukwaji mkubwa wa sheria za usalama barabarani. Waendesha bodaboda na bajaj wamekuwa...
Takriban mwezi mmoja uliopita, katika jukwaa hili kuliripotiwa malalamiko ya wadau wa elimu wa Wilaya ya Kigamboni Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwalalamikia wamiliki wa shule ya sekondari ya wasichana ya 'Competence' Girls' Islamic Seminary, kuwa wameweka Mkuu wa Shule anayetuhumiwa kwa vitendo vya...
Mwenyekiti wa Mamlaka ya mji mdogo Maswa mkoani Simiyu,Carolina Shayo amezuia mzabuni ya uondoshaji wa taka katika mji wa Maswa kutoendelea na kazi na hivyo kusababisha mji kuwa mchafu kila kona.
Ametumia vibaya madaraka yake kuzuia shughuli halali za serikali kufanyika baada ya mzabuni huyo...
Kuna haja kwa mamlaka husika kufuatilia kwa karibu kinachoendelea katika baadhi ya programu za incubation kwa vijana wabunifu zinazoendeshwa chini ya Atamiz/CBE. Kila mwaka vijana wengi hujiunga na programu hizi wakiahidiwa kupata msaada wa kukuza biashara na ubunifu wao kupitia mentorship, seed...
Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime
Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara.
Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
Anonymous
Thread
afya
binafsi
makini
mamlaka
mara
mjini
mkoa
mkoa wa mara
mwenendo
sauti
tarime
tarime mjini
usimamizi
vituo
vituo vya afya
wadau
wamiliki
wilaya
Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar.
Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa kawaida sana,
Lakini kitakwimu hakuna sehemu ambayo ina watu wengi maofisi ya taasisi kubwa au kwenye...
Wanajamvi
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vyakula kuwa na michanga hasa sukari na unga wa ngano au ugali na sijui shida ni nini
Tunaomba mamlaka zinazohisika zijaribu kulifatilia hili suala kwa ukaribu ili kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kujitokeza baadaya kwa walaji
Imekuwa ni jambo la...
JamiiForums, tunaomba utusaidie kupaza sauti zetu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji inayowakabili wakazi wa Misongeni A (Misongeni Juu, eneo la Msikitini).
Tumekuwa tukikosa huduma ya maji kwa muda mrefu sasa baada ya bomba la maji kupasuka takribani miaka miwili iliyopita. Licha...
Mamlaka ya maji safi na taka Mtwara mjini imeshindwa kutoa maji kwa wakazi wa shangani east, sijui na maeneo mengine kwa muda wa takriban miezi miwili.
Afya za watu hawa zipo hatarini kwani hakuna vyanzo vingine vya maji wanaweza kupata watu hawa.
Jitahidini kuja na majibu ya changamoto hii...
Anonymous
Thread
afya
hawana
kimya
maisha
maji
maji safi
mamlaka
miezi
miezi miwili
mjini
mtwara
mtwara mjini
muda
safi
taka
wananchi
KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika.
KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa.
Waheshimiwa Viongozi,
Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
Baraza la taifa la mazingira na mamlaka husika wananchi wenu tunateseka sana na makelele ya bar zilizopo kata ya Goba, mtaa wa Kulangwa kuanzia JOY ES LAVA, DEEZ PUB, LIVE LONGUE, MUSU PARK, BAMBA BEER na kuendelea
Imekuwa sio sehemu tena ya kuishi kwa amani, na furaha ukizingatia ni eneo la...
Anaandika Michael Mbiti
BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WETU.
Historia Inafutika Tanzania, Tunaweka Wapi Utu Wetu?
Ndugu Viongozi Tuliowapa Dhamana,
Leo ni Mei 21. Siku ambayo miaka ya nyuma (1996), Taifa letu lilikumbwa na simanzi kubwa baada ya meli ya abiria ya MV Bukoba kuzama katika Ziwa...
Mamlaka zichukue hatua kuhusu hizi Apps za mikopo online imekuwa ni tabia ukiingia kukopa unaoneshwa unaweza kukopa mfano Shilingi 25,000 marejesho ni Shilingi 41,600 ndani ya siku 7 hiyo Interest rate ni more than 50% hapana hii sio sawa.
Kwanza zingekuwa na nafasi ya kuchagua kwa mkopaji muda...
Tafadhali chukua hatua za dharura na za haraka ili kuokoa afya za watanzania wanaoishi dar es salaam
Kuna haya magari ya ukubwa wa canter lakini either ni ya china au india yameelekezwa bomba la moshi (exhaust ) chini so inapuliza kwenye barabara sasa inavyomwaga vumbi ni balaa, tafadhali sana...
NAOMBA UFICHUE UOVU DHIDI YA BI. NISILE MWAKALINGA - AFISA RASILIMALI WATU, TANESCO MKOA WA MANYARA
Mimi ni mtoa taarifa mwenye nia njema, naomba uchunguzi wa kina ufanyike dhidi ya Afisa Rasilimali Watu wa Mkoa wa Manyara, kwa madai yafuatayo:
1. Matumizi mabaya ya madaraka na kulipiza kisasi...
Anonymous
Thread
afisa
cheo
mamlaka
manyara
rasilimali
rasilimali watu
tanesco
vibaya
Naomba kujuzwa ,kwanini kesi ipelekwe kwenye mahakama ambayo haina uwezo wa kusikiliza kesi husika ?
Au utaratibu na protocol za kisheria ndio unataka hivyo. Naombeni wataalamu nisaidie majibu.
Habari!
Kuna mtazamo mmoja hivi kwamba watu ambao huwa wanaonekana ni wasumbufu lakini ni public figure mfano Balozi polepole na Mdude Nyagali pengine Kuna mahala wanaweza kuwa wamehifadhiwa kwa mda tu huku wanapata huduma muhimu hasa ikiwa watu kama hawa huwa wanahusishwa na serikali.
Huu...
Kuna tatizo kubwa la upungufu na ukosefu wa maji kwa vitongoji kadhaa kwenye vijiji hivi viwili ambapo baadhi ya wananchi wanapata maji kwa mgao na wengine hawapati kabisa.
Mamlaka ya maji (IRUWASA) haipokei wala kuunganisha maji kwa wateja wapya wa Kijiji cha Luhindo kwa maelezo ya upungufu wa...
Habarini wakubwa.
Kulingana na mnyumbulisho wa kodi na tozo za mafuta yanayoingia nchini, bado namuona TASAC anachukua Tsh 3/= kwa kila lita kwa kazi ipi hasa? ..Kumbuka TASAC alipewa majukumu la kushughulikia shereha za mafuta na gas zinazoingia nchini mwaka 2017 , mpaka kufika mwaka 2023...