pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,681
- 6,382
Tafadhali chukua hatua za dharura na za haraka ili kuokoa afya za watanzania wanaoishi dar es salaam
Kuna haya magari ya ukubwa wa canter lakini either ni ya china au india yameelekezwa bomba la moshi (exhaust ) chini so inapuliza kwenye barabara sasa inavyomwaga vumbi ni balaa, tafadhali sana mamlaka yeyote inayohusika ichukue hatua warekebishe hili la sivyo wawapige faini na iwe chanzo cha mapato