Uku mtaani Kuna mtu wa mamla ameibiwa, Sasa kimetembezwa kichapo Jana.
Mmh kwa wajuzi mnaojua Mambo hao Jamaa wakiibiwa ndo mwendo wa kutudunda makabwela,
Au Ndio washika mpini na mshika makali.
Duuu Duniani Kuna shida Kinoma.
Daaa Kuna Watu wanaishi kwa Raha Ila sisi wengine tunasindikiza...