mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro: Shughuli za utalii bado zinaendelea licha ya taarifa za Maandamano

    MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imetoa taarifa kwa Umma juu ya shughuli za utalii katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwamba zinaendelea vizuri pamoja na uwepo wa baadhi ya wananchi wanaoishi katika hifadhi hiyo kuandamana leo tarehe 18.08.2024. NCAA katika taarifa yao hiyo, imesema...
  2. appoh

    JamiiForums Tanzania Nguvu utukufu na mamlaka vyipo kwa hawa hapa fungua uone

    Kila kitu kinaendeshwa na watotonwa elf 2 ukubali ukatae game lipo mikonon mwao naomba tu watuvushe salama Mashangaz samahanini kama nimewakwaza Nimekaonja ka moja nimekua addicted sitoviacha
  3. Brojust

    JamiiForums Tanzania Doto magari na wasomi, mamlaka kuweni makini

    Salaam wakuu! Najua huwa anafanya ki utani utani tu na huwa hamaanishi ila sijajua tunajenga kizazi cha namna gani, Amekuwa akipata endorsement kubwa nyingi kutoka makampuni mengi sana na kupata hela ambazo yeye anaona amekuwa Tajiri na kudharau wasomi. Kuna namna baadhi ya vitu anatakiwa...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na kulaani, yapi mamlaka mengine ya TLS?

    Kila tukio likitokea ambalo liko ndivyo sivyo, TLS inajitokeza kulaani. Latest ilikuwa ya Chadema huko Mbeya. Wakati Mwambukusi akiomba kura alionekana akituaminisha kama TLS ni bonge ya chombo ambacho kinaweza kufanya chochote wakati wowote lakini badala yake nacho kimekuwa chombo cha kulaani...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makusanyo yaliyokusanywa na Mamlaka ya Mapato TRA kwa mwezi Julai katika kipindi cha miaka 6(2018/19 - 2024/25)

    Mwenendo wa Ukusanyaji Kodi uliofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kipindi cha miaka 7 2018/19: Tsh. Trilioni 1.20 2019/20: Tsh. Trilioni 1.26 2020/21: Tsh. Trilioni 1.29 2021/22: Tsh. Trilioni 1.54 2022/23: Tsh. Trilioni 1.76 2023/24: Tsh. Trilioni 1.94 2024/25: Tsh. Trilioni 2.34
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tumechoka wananchi wa Karagwe na mamlaka za TANESCO pamoja na TCRA

    Kutoka Rwambaizi Karagwe Kagera wananchi tumekuwa tukiteseka Sana kwanza kuna swala vocha wenye maduka wamekuwa wakijapangia Bei za vocha ya sh 500 wanaiuza kuanzia 600 hadi 700 tunaomba Jamiiforums mtupazie sauti watanzania kwa mamlaka husika. Pili swala la umeme wamekuwa wakikata umeme...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), hili la maegesho (parking) ni kero kubwa

    Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III. Kwanza, kaka aliyekuwa pale nikamuomba anisaidie (najua kuna uwezekano huo kwani mfumo unaona wazi gari limekaa muda mrefu hivyo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) yaingilia kati mgogoro wa Kampuni ya Bima ya IGT kushindwa kulipa madeni

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imefafanua juu ya kinachoendelea katika Kampuni ya Insurance Group of Tanzania (IGT) ambapo kuna Watanzania wanaodai kuwa wanaidai Kampuni hiyo lakini imekuwa ikiwazungusha malipo yao kwa miaka kadhaa sasa. Awali andiko la Mwanachama wa...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Waziri wa Maji Jumaa Aweso awaumbua mamlaka ya maji Morogoro, tangu mwezi February hawajaweka dawa ya kutibu maji katika matenki yao

    Hii kwa kweli inashangaza, tangu mwezi February mwaka 2024, jamaa wanasambaza maji kwa wananchi yakiwa hayajatibiwa (treated). Kwa hiyo kwa muda wote wananchi wamekuwa wakinywa maji yenye vimelea vya magonjwa. Si ajabu mkoa wa Morogoro una maambukizi makubwa sana ya magonjwa ya matumbo, hasa...
  10. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Rais Onyesha Mfano wa Kuheshimu Mamlaka Zilizopo Kisheria ili Iwe Mfano na Faida Kwako Ukistaafu.

    Nimesikitishwa sana na kauli iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu iliyo chini ya Jaji anayeheshimika kuhusu hukumu ya RC wa Arusha na kwamba mpaka dakika hii hujachukua hatua yeyote. Huku ni kuonyesha dharau kwa mamlaka hiyo ambayo ipo kikatiba na chombo kikubwa cha msaada kwako katika...
  11. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa na matumizi mabaya ya Madaraka: Waziri kapata wapi mamlaka kuwaweka mahabusu watanzania?

    Vifungu vya 7 na 15 vya Sheria ya Tawala za Mikoa ya mwaka 1997 imempa mamlaka Mkuu wa mkoa kuweka Mtu mahabusu Kwa masaa 48 (kif.7). Mkuu wa wilaya sheria imemruhusu kumweka Mtu ndani Kwa masaa 24 (kif.15) pale inapothibitika Mtu Huyo anàhatarisha Amani ya mbele yake. Nimejaribu kuisoma sheria...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa hapa umeonyesha Kiburi cha Mamlaka na hii haikusaidii na haiisaidii nchi jirekebishe

    Umeenda Kihonda, umetaka wananchi waeleze kero zao za ardhi. Mwananchi anakueleza wewe unamuinterrupt kwa kejeli na dharau kuwa "Hutaki kuhutubiwa". Huyo mwananchi pengine ana watoto, ana mke, ana ndugu na jamaa wanaoheshimiana naye- Wewe unamjibu kwa nyodo na kumuitia Polisi wamchuke. Hii...
  13. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kuna Picha Kuwa Mamlaka Inamuhofia Mwigulu Ndio Chanzo cha Migogoro Kuwa Endelevu

    Mwaka jana mgogoro kati ya serikali na wafanyabiashara ulikuwa mkubwa kiasi cha kumtoa Waziri mkuu ofisini na kuja kusuluhisha. Pamoja na waziri wa fedha Mwigulu kutupiwa lawama zote kwenye mkutano ule alitoa ahadi kadhaa za utatuzi mbele ya waziri mkuu. Ajabu, kama asemavyo CG wa TRA ni kuwa...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msiiiweke Tanzania majaribuni kwa hili la CHOPA isiyo na leseni; Mamlaka chukueni hatua

    https://x.com/i/status/1804579043171299343
  15. kimaus

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka haziioni barabara ya mtaa wa Lindi Kariakoo?

    Nimekuwa nikipita mara kwa mara mtaa wa Lindi kariakoo ili kuegesha gari kwenye eneo la maegesho gerezani. Ile barabara kuanzia makutano ya mtaa wa Lindi na Msimbazi mpaka makutano ya Lindi na Kawawa Road (Karume) ni mbaya mno. Eneo ambalo daladala za Tandika zinapaki lina mabwa makubwa ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Bishop Josephat Gwajima: Mamlaka ya Rais yadhibitiwe Ili asitoke nje ya mpango na Dira ya nchi ya muda mrefu

    Salaam, Shalom!! Askofu Gwajima ameendelea kusisitiza juu ya umuhimu wa KATIBA mpya kuwa mamlaka ya Rais ni muhimu yadhibitiwe, Rais aingiapo madarakani aikute dira na mipango na vipaumbele vya Taifa vya muda mrefu Ili ajikite hapo. Amesisitiza kuwa, maono ya Taifa ya muda mrefu yakiwekwa...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi viwango na uthibitishaji wa dawa za kuongeza maumbile mamlaka zinazingatia nini?

    Habari Wakuu, Kumekuwa na Ofisi mbalimbali zilizopewa vibali vya kuuza madawa ya kuongeza maumbile (Uume kwa Wanaume) na Shepu kwa wanawake. Ofisi hizo zimekuwa huru na zinajitangaza hadharani sambamba na kusifia huduma zao. Nimewauliza wataalamu wa Afya kadhaa wanadai hakuna dawa...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Elon Musk ana gundu gani na Tanzania?

    Wiki imeanza kwa raia wenzetu mbalimbali katika hii nchi kwenye nafasi za kisiasa za chama tawala na wale wa upande kidini kuitaka serikali ifungie mtandao wa Twitter/X Pia itakumbukwa Starlink kampuni ya mtandao ya Elon Musk imeshindwa kupata kibali cha kufanya kazi Tanzania ikesemwa na Nape...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuja na Mfumo Maalumu wa Kusaidia mamlaka ya Uteuzi kufanya uteuzi kwa Usahihi

    Ndugu zangu Watanzania, Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu, amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi kufanya maamuzi sahihi katika uteuzi wa viongozi mbalimbali wa mashirika na taasisi za Umma. Ameyasema...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ana mamlaka gani kufunga baa?

    Kuna clip inasambaaa DC kafunga sijui danguro la Riverside. Ajabu katangaza bar zilizo karibu na danguro zifungwe. Hizi bar zinalipa vibali vyote manispaa na TRA. Kuna kiki za kulazimisha zisizo na msingi. We umekamata danguro umefunga bar zinakuhusu nini. Otherwise pale Mwananyamala hospt lile...
Back
Top Bottom