mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Poleni sana wanywa pombe wa Tanzania Chukueni hatua mamlaka zimelala.

    GT Hakuna jambo linalonitia hasira kama energy drinks ..haya ni mauaji ya halaiki na sijui kwa nini haipigwi stop. Pombe nazo ni balaa jingine sasa tangu zamani watu.washasema pombe za TZ nyingi ni fake. Rwanda wamechukua hatua lakini sisi kimya. Walevi poleni sana na mchukue hatua mwafa .
  2. JamiiForums Tanzania Kuomba kwa Mamlaka

    KUOMBA KWA MAMLAKA. Utangulizi Maombi ni kitu cha ajabu sana. Kwa maana kupitia maombi yale yasiyowezekana yanawezekana. Lakini nataka nikutazamishe siri fulani hivi ya maombi, kwamba mwombaji akiomba kwa mamlaka ya Kristo dhidi ya chochote,miujiza hutokea Kuna kuomba nje ya mamlaka na kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Hata kama Tanzania ikijitoa kwenye Mahakama ya ICC leo, Mahakama hiyo ina mamlaka ya kuchunguza makosa yaliyofanywa wakati nchi ikiwa mwanachama

    Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya hivyo, gazeti la Le Monde liliripoti Jumanne. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Zote Zinatoka Kwa Mungu Mwenyewe. Huwezi Kuwa RAIS Kama Haijapangwa Na Mungu. Urais Wa Rais Samia Umetoka Kwa Mungu Mwenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Amini Nawaambieni Ya Kuwa Huwezi Kuwa Rais wa Nchi Hii Kama Haikupangwa Na Mungu toka katika Ulimwengu wa Kiroho hata kabla ya kuzaliwa Kwako. Huwezi Kuwa Rais Kama Hujapewa Kibali na Mungu. Huwezi Kuinuka Na kuinukia Kwenye Urais kwa Mbinu zako na mipango yako Bila ama...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Tume ya Jaji Lila haina mamlaka ya kisheria kupeleleza jinai

    Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka za Serikali zichunguze Mradi wa Kongani la viwanda Maranje wenye thamani ya zaidi ya Sh Bilioni 300

    Serikali kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inatekeleza mradi wa Kongani la Viwanda vya Korosho wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 katika eneo la Maranje, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, unaolenga kuongeza ubanguaji wa korosho ndani ya nchi ifikapo Mwaka 2030. Hata...
  7. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa "minara" kwenye magari ya abiria kusini unawakwaza wateja/wasafiri, mamlaka ondoeni hii adha

    Kina huu utaratibu nimeuona kwenye magari ya huku kusini sijui kwingine nako ni hivyo hivyo au la!? Yaani siku hizi gari ina vituo bubu (visivyo rasmi) njiani. Hatukatai vituo hivyo lakini kinachokera ni kwamba vituo hivyo vinamcontrol kila mtu anayehusika na gari kiasi kwamba nyinyi abiria...
  8. JamiiForums Tanzania Mamlaka za Ushirika Lindi: Wakulima wa Ufuta wamelipwa, mwenye changamoto ya malipo awasiliane nasi

    Baada ya hoja ya Mdau , kuandika Vyama vya USHIRIKA vinavyonunua mazao Lindi hasa Kilwa wafanyakazi wake wanazungusha malipo ya Wakulima ufafanuzi umetolewa na mamlaka zinazohusika: Mwenyekiti wa Bodi ya Chama Kikuu Cha Ushirika Lindi Mwambao Ltd anapenda kuwataarifu Wakuliwa na wadau wote...
  9. JamiiForums Tanzania Nawalilia enyi mamlaka muingilie kati hizi shughuli za kutunzana uswahilini zimejaa mashoga wengi na wanakuwa paraded makusudi na wadada waliomo mule

    Yani unakuta kijana wa kiume kweli anawashinda wadada waalikwa kutingisha makebo😬
  10. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Taasisi ya Kanisa la Upendo Masihi (KIUMA) inayumbishwa na wanasiasa mamlaka za Serikali zipo wapi ?

    Mimi ni mmoja wa wafanyakazi wa Taasisi ya KIUMA katika Idara ya Elimu. Kwa sasa, taasisi imekumbwa na mgogoro wa kiuongozi unaodaiwa kuhusisha wanasiasa na mfadhili wa KIUMA. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vijana wamefutiwa mikataba yao ya ajira, huku wengine wakinyimwa kuongezewa mikataba...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosekana Maji Nandagala Siku 3

    Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
  12. JamiiForums Tanzania HOJA Kwa ufaulu huu wa 99.9% mamlaka husika zitazame upya kozi za afya na uhitaji wake

    Kulingana na ufaulu wa kidato cha sita kuendelea kupanda na kuwa juu kadri miaka inavyozidi.Ni muda muafaka sasa mamlaka husika zikafanya jitihada za kimakusudi kutanua wigo wa masomo ya kozi za afya nchini. Katika nchi ya Tanzania bado wahitimu wengi wa kidato cha sita tahasusi ya PCB...
  13. JamiiForums Tanzania Mwananchi: Hatumtaki Mwenyekiti, aliingia madarakani kwa chenga chenga na Hatukumpigia kura

    Mmoja wa wananchi waliopata kuongea mbele ya Waziri Mkuu, leo Julai 04, 2026, katika kijiji cha Suguti-Musoma Vijijini, ameeleza kuwa Mwenyekiti wao hakuchaguliwa kwa kura na kuomba serikali ya kijiji ivunjwe. "Mwenyekiti anapenda kutumia mamlaka aliyo nayo kutunyanyasa. Aliingia madarakani kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nani mwemye mamlaka ya kuthibitisha wamekamatwa na ushaidi wanatumika au kufanya makosa.Maana kila mtu kawa kambale kuwa msemaji.

    Nikama uwezi kuelewa yupi IGP,RPC,OCD,Mwanajeshi,polisi,RC,DC, Mwaipopo, mwenyekiti wa kikundi cha bra bra mpaka raisi na waziri wake. kila mtu anakuja itelenjesia zake na uthibitisho wake. Huyu alishasema wageni,pesa zimetumwa,watu wamelipwa,mtu kapewa usd milion 1,mwaka jana kasahau sinema...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO UCHAFUZI WA KELELE ILEMELA NYAGUNGURO: Ni lini mamlaka za Mwanza zitazinduka?

    Tumechoka, tumenyanyasika, na tunapuuzwa kabisa! Kwa miezi kadhaa sasa, wakazi wa Ilemela Nyagunguro tumekuwa tukiteseka kwa kukosa usingizi usiku kucha kutokana na uchafuzi uliokithiri wa kelele. Muziki unaopigwa kwa sauti ya juu ya juu sana kutoka Kwa Tunza na Mamboleo umekuwa kero...
  16. K

    JamiiForums Tanzania IGP MSTAAFU MAHITA: NANUKUU "WAZIRI HANA MAMLAKA YA KUTOA AMRI KWA IGP NA JESHI LA POLISI LABDA JESHI LA MAGEREZA"

    IGP MSTAAFU MAHITA, akiwa anahojiwa katika podcast ya Mr&Mrs Kashera alisikika akisema, JESHI LA POLISI linapokea AMRI na maagizo kutoka katika Mamlaka tatu tu ambazo ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Sasa huyu Waziri wa Sasa WA mambo ya ndani haya Mamlaka nani aliyempa??? Je, IGP wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa BCEG Mbezi Beach tunashukuru Mamlaka Kufanyia Kazi Malalamiko yetu

    Siku chache zilizopita tuliwasilisha malalamiko kuhusu changamoto tulizokuwa tunakumbana nazo katika eneo letu la kazi la BCEG Mbezi Beach, ikiwemo madai ya makato ya michango ya NSSF kutowasilishwa pamoja na masuala mengine ya ustawi wa wafanyakazi. Hoja ya awali ~ Waziri wa Ujenzi na RC wa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nauli za Daladala Arusha: Tsh. 1,000 badala ya Tsh. 700?

    Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha. Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700. Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei. Je hii ni sahihi? Tunaziomba mamlaka zilitazame hili jambo limekuwa mwiba mchungu kwa wanachi wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Afrika Kusini yaipa Mamlaka Familia ya Edgar Lungu kuamua atakapozikwa, imetima mwaka mvutano na serikali ya Zambia

    Mahakama ya rufaa nchini Afrika Kusini ilisema Jumanne kwamba familia ya Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu ndiye yenyen maamuzi ya wapi atakapozikwa kiongozi huyo wa zamani, na kubatilisha amri ya mahakama kuu kwamba serikali ya Zambia inaweza kuurudisha nyumbani mwili wa Lungu kwa mazishi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kudhibiti matumizi sahihi ya barabara za mwendokasi, iundwe BRT Enforcement Agency

    Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa vikali na ukiukwaji mkubwa wa sheria za usalama barabarani. Waendesha bodaboda na bajaj wamekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…