Tengeneza jezi zako, andika , TANGANYIKA, ingiza mtaani Fanya BIASHARA ziuze bei chee TU achana na Simba na yanga we uza bei che vi faida kidogo TU ndani ya mwaka mmoja Yani 2026 TU, piga hesabu yako vizuri.
Masoko
Vyuo vikuu, mtandaoni ndo baba lao,
Haya tajirika na wewe, hakikisha Kuna chapa...