mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ukiwa unatumia simu au kompyuta

    Unapotumia simu au kompyuta, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia ili kuhakikisha usalama, afya, na ufanisi: 1. Usalama wa Mtandaoni: - Tumia nywila (password) ngumu na salama. - Epuka kubonyeza viungo vya kutatanisha au kutoka kwa vyanzo visivyoaminika. - Hakikisha kompyuta au simu ina...
  2. JamiiForums Tanzania Wahindu wa Bangladesh waonywa na waislamu wasithubutu kusheherekea mambo yao

    Unafiki wa waislamu, wao wanalazimisha sharia zao uzunguni, wakiguswa kidogo hung'aka sana, ila wao wachokozi, wana ugomvi na kila dini dunia hii, mavita vita kila mahali na ukizingatia uislamu ndio dini changa kati ya zote, dini iliyobuniwa miaka 500 baada ya Yesu, kabla hapo hakuna sehemu...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia aambiwe kwenye uongozi kuna Wajibu na Uwajibikaji

    Kumekuchaje wanajamvi? Wakati tukisubiria hukumu ya akina Nyundo Mjeda na wenzake dhidi ya Binti wa Yombo, hebu tumkumbushe mama kitu kimoja cha msingi maana huenda hajui. Kwenye uongozi kuna mambo 2 ya msingi ambayo kwa kiongozi yeyote yule hata mjumbe wa nyumba 10 huwa hayakwepeki. Mambo...
  4. JamiiForums Tanzania Fikiria kila mtu ni msaliti ila hajagundulika tu,hii itakusaidia kupunguza mshtuko endapo mambo yakienda vibaya

    Wale ambao mnatembelea mitandao mbali mbali,kuna habar huko katika ule mtandao wa kindege,kwamba kuna mwamba ambaye yupo karibu na mkuu wa kaya,huyu mwamba kamnunulia tamu yake apartments kadhaa,na kila mwezi humpa milioni ishirini (20ml) za matumizi tu. Sasa ebu fikiria,tamu ya mwamba pamoja...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona leo Dodoma Jiji Vs Simba S.C Club

    1. Kocha Fahdu anatakiwa aaambiwe ugumu wa mechi za mikoani otherwise atadondosha sana pointi ugenini hasa kule Mbeya, Kagera, Singida na Kigoma. 2. Fahdu amezidiwa kabisa kimbinu leo na Dodoma Jiji kama sio uzoefu mambo yangekuwa magumu leo 3.Fahdu akubali kuwa mechi za ugenini ni za akina...
  6. JamiiForums Tanzania Mungu anaongea na watu mara nyingi. Wengi hawaelewi kwa sababu ya ujinga wao wa mambo ya kiroho

    Mungu ni roho, Mungu anaongea kiroho Haongei kama sisi wanadamu, ana namna zake ambazo ni muhimu uzifahamu KUNA NJII KUU 3 ZA MUNGU KUONGEA NA WEWE 1. KUPITIA NDOTO/MAONO 2. KUPITIA NENO LAKE. Biblia Takatifu 3. KUPITIA WATUMISHI WAKE(MANABII, WALIMU N.K LEO TUONE NJIA YA NDOTO Ndoto...
  7. JamiiForums Tanzania Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

    Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake. Mojawapo ya tukio la ajabu ni...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Wameishiwa na wameshaona mbele mambo magumu kwao ndio maana wanaharibu amani

    Wakuu, Wote mnaotaka kuandamana hasa CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa; Amani na utulivu ndiyo inatufanya tucheke, tukae vizuri na tuangalie michezo, kukiharibika hayo yote hayapo. Niombe sana wale wanaokuja kuwashawishi kwa neno lolote lile kwa sababu yoyote ile kuharibu amani na utulivu wa eneo...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo sita (6) - hii inakuhusu wewe mjasiriamali mdogo

    📖MHADHARA WA 13 Hello mjasiriamali mwenzangu. Naomba leo nishee mambo sita (6) muhimu ambayo ukiyazingatia hutopoteza wateja. Kama unataka kufungua biashara, au tayari umefungua biashara zingatia mambo yafuatayo; 1. UCHESHI NA MATUMIZI YA LUGHA Jaribu kuwa mcheshi kwa wateja hata kama wewe ni...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu shemeji nimuache au nipite naye?

    Habari wakuu mbali mbali, kama ilivyo ada licha ya kuwepo kwa platforms mbalimbali za kijamii lakini kwangu Mimi JF bado ndo sehemu ninapoweza pata hekima za watu makini mwezi mmoja uliopita mshkaji wangu wa karibu akanambia demu wake hana hisia kabisa wakinyanduana ni kama ananyanduana na gogo...
  11. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ya kuzingatia unapoibiwa simu?

    Tufahamishane hapa mambo ya kuzingatia pale unapoibiwa simu. Ikumbukwe hakuna mtu yeyote anayejiandaa kuibiwa. Wizi hutokea pasipo hata kujiandaa. Wengi wetu huhosi kuchanganyikiwa. Sasa ni nini cha kufanya unapoibiwa simu? Wengine husema katoe kwanza report polisi. Wengine husema block line...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayosababisha nionekane nina dharau.

    Wakuu wangu, Watanzania wenzangu, kwema? Sifahamu bado kama natakiwa kuwahishwa milembe au la! 1. Kutojibana Nimegombana mno na wanawake kuhusu hili. Mimi ni mtu wa totoz kiasi. Mara nyingi wananiita mchoyo, na nina gubu, kwa sababu nanunua 1kg ya nyama au maini, napika na kula peke yangu. Mimi...
  13. JamiiForums Tanzania Makonda: Jakobo alipochinjwa, Kanisa liliomba, halikutoa tamko au waraka.

  14. F

    JamiiForums Tanzania University students: ResearchLink inatoa usaidizi katika mambo mbalimbali ikiwapo data analysis, thesis planning, scholarhip application, etc

    Fuatilia link ya shirika la ResearchLink International kupata usaidizi kwenye mambo mbalimbali ya kitaaluma na hata scholarship application assistance.
  15. G

    JamiiForums Tanzania wadau wa IT wa jamiiforums, Israel ipo kwenye level zipi kwenye masuala ya teknolojia za udukuzi na mambo ya cyber ?

    Israel imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location. Kikundi cha Hezbollah waliamua kukwepa tundu hili kwa kutumia pagers zinazotumia mawimbi ya redio pamoja na radiocalls kuwasiliana lakini bado Israel iliweza kudukua mawasiliano, kujua...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia wakati wa kununua kiwanja

    Wakuu humu kuna watu wa aina mbalimbali ambao wana ujuzi wa mambo tofauti tofauti. Una yapi ya kumwambia kijana ambae anataka kununua kiwanja? Mambo gani azingatie ili asije akajuta huko mbeleni?
  17. JamiiForums Tanzania MAMBO YA KUZINGATIA UNAPONUNUA ENEO LA URITHI/MALI YOYOTE YA URITHI

    Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi) AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa viwanja vizuri Goba, Madale, Salasala, Mbezi beach, Makongo hakikisha unawasiliana nasi

    Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi) AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Ubalozi Malaysia, Wizara mambo ya nje na mambo ya ndani Tanzania fanyeni kazi zenu badala ya kula raha ofisini

    Naomba wizara hizi turekebishane. Kuna mambo ya kifilauni yantendeka ndani ya wizara. Nasikia baadhi ya mabalozi wanateuliwa ili kulea na kusomesha watoto wa waliowateua huko nje ya nchi. hii imeleta tabia ya kiburi na kutowajibika na mambo ya wa-TZ wa kawaida ktk nchi wanazowakilisha. Kuna...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Chris Mauki elimu yake ya saikolojia ni against wanaume tu?

    Jamaa tangu nimfahamu YEYE NI KUWAPONDA TU WANAUME linapokuja suala la mahusiano. Na kwa hili amefanikiwa sana kujipatia UJIKO kwa kina Mama Anyway ninachoamini ni kwamba jamaa mada zake zote anazozitoa anazitoa kwa muamvuli wa taaluma ya psychology lakini kiuhalisia MENGI NI MAONI YAKE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…