Mimi Huwa sielewi hasa huu ugonjwa wa kutafuta social validation, hasa wadada na wakaka wasiojielewa ndo Huwa Wana tabia hizi.
Unakuta kidada kimepewa trip ya kuenjoy nje ya nchi, Sasa buana akienda Kule Kila kitu anapost status ya wasap au insta, akiwa swimming pool, kwenye ndege, akiwa...