The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
1.Sadaka ya fungu la 10
2. Kusaidia wahitaji mfano yatima na wajane
3.Wazazi au walezi wako
4.Ujenzi au kuchangia kazi za Mungu mfano ujenzi wa nyumba za ibada.
Hii ndo njia halali ya kutoboa kimaisha, anza na ulichonacho
Watu wengi wanapopatwa na shida, magonjwa na majanga, huamua kufunga na kuomba kwa muda mrefu, wakitarajia kuwa Mungu atawatatulia shida zao. Jambo wasilolijua wengi ni kwamba ili Mungu atupatie haja zetu tunapomuomba, ni lazima tukidhi vigezo na masharti aliyoyaweka.
Kama unafanya mambo...
Manung'uniko yamezidi. Lawama zimejaa. Kelele zimeongezeka. Eti kwanini Mungu anatuacha tunateseka? Eti kwanini anatuacha tunaumia, tunaugua, tunakufa..?
Ulisoma kitabu gani wewe kwamba Mungu aliumba bunduki, mabomu na virungu? Wanadamu wenyewe ndio wanaotengeneza silaha hizo kisha wanazitumia...
Nilirudia mara tatu kumsikilisha sasa sijui anatemebelea kabla au baada ya matukio.
Kuna hoja moja ameiongelea kwamba aliyewalrta atamalizam hapa ni ishara ya kiwakisanya na kuondoa ushahidi. Inamaana gani
Wakati jamaa aliinhiziwa kitu kwenye kinyeo, halafu baadae unaingiza vidole. Hakika...
GTs,
Hebu fikiria tu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya...
BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.
“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4...
Watanzania kama hamjui baadhi yenu mnatengeneza nchi mbayo itakuja kuwa kama Uganda ya mtu mmoja na family yake. Ndiyo kitu mabacho hizo familia chache za maraisi wastaafu wanataka kufanya. Mkiwaacha itafika wakati hata ndani ya hiko chama kitakuwa ni ndugu na jamaa pekee.
Kuna watu wanaweka...
Labda ni falsafa ya kizembe TU kwamba Mungu alimuona shetani kama muasi ingawa Kuna malaika ambao waliyaunga mkono malalamiko ya shetani Mungu aliona ni Bora kumtupa duniani kuliko kumuua!!
Vipi angemuua wale malaika theluthi wangeendelea kuwa wapinzani wa Mungu ndani ya mbingu yenyewe...
🌀 Kumbuka: Katika somo letu la kwanza, tulijifunza kwa ujumla nini maana ya uwekezaji na kwa nini ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuanza safari hiyo mapema iwezekanavyo.
📍 Leo, tunazama ndani zaidi kwa kuangalia mambo ya msingi unayopaswa kuyazingatia kabla hujawekeza hata shilingi moja. Hii...
Kuna hizi taasisi zetu kubwa kama TANAPA/NCAA/WMA nk wameboresha mifumo yao na kuhusisha kukusanya taarifa binafsi za MTALII zilizopo kwenye Passport yake kabla hajafika Nchini.
Nafikiri ifike mahala hayo majukumu yaachiwe Idara husika ambayo ni ya mambo ya ndani kwani sioni kwa nini Kampuni...
If I could be a president.
Ninge-ruhusu wagombea binafsi .
Hapa Tanzania kuna watu wengi wenye akili Sana hawataki kujiingiza katika siasa kwakuwa siasa zetu zimejaa uongo mwingi na fitina majungu na michezo michafu.
Kutokuwepo kwa wagombea binafsi ni hasara kwa Taifa .
Tunaishia kupata...
Friends and our Enemies,
Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake.
Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
I will be short
kuna theory inasema
" NOTHING IS TO BIG TO FAIL"
ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently.
so to stay in power you have to innovate and improve every single day...
Unataka kununua laptop mpya? Usikurupuke! Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia:
1. Matumizi Yako Ni Yapi?
Kwa kazi za kawaida – laptop ya bei nafuu inatosha. Kwa gaming, design au programming – chagua yenye nguvu zaidi.
2. Processor (CPU)
Core i5/Ryzen 5 au zaidi ni bora kwa kazi nzito...
https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg
"Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia."
"Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
afrika
afrika mashariki
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
bunge
bunge la 12
dodoma
kikao
mahmoud thabit kombo
mambomambo ya
mambo ya nje
mashariki
mei
mkutano
mkutano wa 19
nje
tarehe
thabit kombo
ukumbi
ushirikiano
ushirikiano wa afrika mashariki
waziri