mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo makuu niliyobaini katika hotuba ya polepole usiku wa kuamkia leo ni kama ifuatavyo

    1. Ni kwamba ccm na serikali kwa mda mrefu imekuwa na chaguzi ambazo siyo za kweli na za kihuni mbele ya jamii na ndiyo maana viongozi wao hata kwa macho yao walikuwa na kiburi cha kuwasikiliza wananchi. 2. Imeonekana wazi kabisa kama haramu hii itaendelea tujiandae watanzania kuwa na kizazi...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mohammed Mawinda: Walioko kwenye mfumo hawataki kufuata utaratibu. Vyama vinapotaka mambo yao wanatakiwa kufuata utaratibu

    Mmemuelewa huyu Sheikh lakini wakuu? Huyu mnadhani atakuwa ame-target chama gani hapa ambacho hakifuati utaratibu? ========================================== Akiwa anazungumza leo katika Mdahalo wa Wadau wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 amesema kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania TAKUKURU inafanya kazi gani kama mambo yanafanywa hadharani hivi?

    Hii video inaonesha Chama cha Mapinduzi kikiwapa wananchi wote elfu kumi kumi wakiwa wanatoka kwenye mkutano huo wa CCM Hii ni RUSHWA, TAKUKURU inafanya kazi gani sasa ikiwa haya mambo yanafanywa hadharani hivi?
  4. JamiiForums Tanzania Ila wanangu hii JF ina mambo hata kama kuna watu wanatuangaliaga kama series huwa wanacheka sana na kutamani season mpya

    Mwamba anasema amejaribu kupata mtoto na mkewe kakosa, akapewa connection na jirani akajaribu kwa mganga ila bado chali alafu anamuambia jirani mtoa connection amjaribu yeye kama kweli atapata mimba, mara paaap jirani kapata mimba na mtoto hataki kutoa🤣🤣🤣 Ila sisi waafrika🚮🚮
  5. JamiiForums Tanzania Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

    KUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮 1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake. 2: Wakurya ni...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mambo Samia kamzidi Magufuli. Ila amechagua kumzidi kwa mambo ambayo ni haya

    1. Magufuli hakuwa mwongeaji mzuri. Mi huwa naweka tu mambo wazi wala sina wa kumwogopa. Magufuli hakuwa na good communication skills. Ila akili ya utendaji na misimamo alikuwa nayo. Bi Chamdele. Hajui cha kuongea. Anaweza kuwa na sauti nzuri ya kuongelea au kutamka maneno vizuri ya kiswahili...
  7. JamiiForums Tanzania Jiku Tech Tips | Mambo ya SIRI ya TEHAMA

    Kuna Siri nyingi katika Dunia na ulimwengu wote, zilifichwa muda mrefu sana na mataifa machache, lakini muda mrefu ni mrefu kwetu sisi kutokana na ukomo wetu wa muda wa kuishi duniani ila kwa nature (universe ) ni kama usiku na mchana. Siku hizi kuna AI Inakupa hata mambo ya sirini, inakutolea...
  8. JamiiForums Tanzania Hersi usilazimishe Mambo, Muda ukifika utapata.

    Umegombea ubunge Kigamboni Chama kikakupiga chini, ukachangia mil.100 Kwa jina la Yanga kelele zikatoka Kila mahali kukshambulia. Katikati ya kelele hizo bila kupima madhara yake ghafla unajikeza kuchukua fomu upigiwe Kura na bado wamefyeka jina. Hii siyo speed ya kawaida brother. Binadamu ana...
  9. JamiiForums Tanzania Ukienda migodoni, hasa hii local ndipo utajionea mambo ya ajabu na watu wa ajabu

    Huko Shinyanga watu takribani 25 wamekufa kwa kufunikwa na kifusi. Hii si mara ya kwanza. Inatokea mara kwa mara. Na vifo vingine hata kwenye vyombo vya habari havitangazwi. Watu wa migodoni wana roho za ajabu, ni kama wanyama. Yaani ikitokea duara (shimo) limeua huo usiku watafurahi sana...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi unafanyaje minadi na watu kama wabongo🤣🤣, mwenyekiti yeye akitoka akafanye mambo yake na akale upepo wa bahari kuuguza majeraha yake.

    Wabongo hamfai, ustadi wenu ni mitungi, kubeti na mikasi tu 🤣🤣 Yani mwamba amekimbiwa na watu kama vile bomu limeanguka pale HQ 🤣🤣
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 Niliyoyaona kwenye Video Clip ya Mabao Mawili Safi Kabisa na Yasiyo na Utata ya Simba huko Misri Leo

    1.Dua kubwa na nzito inatakiwa kufanyika kuwalinda wachezaji wetu, narudia kama hakuna Dua wachezaji Hawa wakitua uwanja wa Ndege tu wakati wanarudi wameyakanyaga, asikwambie mtu Utopolo hawana wanachokitegemea zaidi ya kuwategeshea miba.Uwanja wa Bunju hadi wanakokaa wachezaji walindwe kwa Dua...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania wanapenda sana kujadili mambo kwa mlengo wa dini

    Kuna mtu alituma andiko kua mafanikio ya taifa stars ni kua waislamu wamepewa nafasi. Hilo ni andiko la ajabu sana na huyu mtu ningekua na mlaka ningempa onyo kali sana kwa kuleta fitna. Kwenye sakata la wake wa Ndugai wapo wanaosema ndoa ya kwanza ya kanisa ndio inayotambulika kwakua hawa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Mambo muhimu ya kumdai Rais Samia kwa mwaka 2025-2030

    Hii ni thread muhimu ya Mambo muhimu ya kumdai mgombea Urais kupitia CCM tunapoelekea kufanya uchaguzi oktoba 29. Katika thread hii tuweke bila aibu ni mambo gani muhimu anatakiwa atimize iwapo atachaguliwa kushika kiti adhimu cha Urais mwaka 2025 hadi 2030. Ni wazi na bila shaka watanzania...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo kwenye Biblia mengine Huwa yanafuraisha

    Pia Uliza yona alitumwa ninawi alikoenda anajua yeye🤣🤣😁 shusheni comments wakuu mambo yaliyowafuraisha katika Biblia
  15. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole anatamba kwamba analindwa, cha ajabu anaongea akiwa kajificha

    Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake. Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
  16. JamiiForums Tanzania Kama unatumia akili za ubongo sahau kujua mambo haya

    Kabla ya kuingia kwenye elimu ya yote, ni muhimu kuelewa kwamba mwanadamu anaguswa na aina mbalimbali za elimu za kimaumbile ambazo husaidia kufafanua ulimwengu unaoonekana. Fizikia hutufundisha kanuni za mwendo, nguvu, na nishati; Kemia hueleza muundo na mabadiliko ya vitu; Baiolojia huchunguza...
  17. JamiiForums Tanzania COST EFFECTIVE APARTMENTS DESIGN 2BEDROOM EACH UNIT ,HII HAINA MAMBO YA KUVUJA VUJA TO GET YOUR DESIGN 0624004650

    4UNITS ON 400SQM PLOT, EACH UNIT WITH 2BEDROOMS COST EFFECTIVE SANA CALL US +255624004650
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Sita walivyotimuliwa TANU kwa kupinga uchaguzi wa chama hicho. Kumbe haya mambo kitambo sana

    Gazeti la Mwafrika mwaka 1958, Oktoba 11 liliandika "WAMEFUKUZWA KATIKA TANU NA MKUTANO MKUU WA MWAKA" Gazeti hilo liliandika Mkutano mkuu wa TANU umemfukuza katika chama Sh. Sulemani Takadiri wa Dar es Salaam, ambaye alijaribu kuingiza chuki ya dini katika siasa siku chache zilizopita...
  19. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

    Umeifanyia mengi nchi hii Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
  20. JamiiForums Tanzania Mambo ni mengi lakini mpaka sasa hakuna aliyeweza kuzifungua code

    Mambo yakiwa bado ni mengi katika jamuhuri ya watu wa giningi, gafla kunatokea tukio ambalo linaleta maneno na hisia nyingi kwa wanagingi Wengine wanasema jamaa alikua anajiandaa kuja na bonge la movie 🍿 ambalo lingetikisa tasinia ya movie industry katika jamuhuri ya watu wa Giningi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…